Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Magazeti ya Uingereza ya The Independent na The Guardian, Marehemu Martyn Latchman alikuwa akijiandaa . . .
Mwanamke mmoja raia wa Australia, anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini humo baada ya kubainika kuwa alimuweka mtoto wake mwenye umri wa . . .
Kijana mmoja raia wa Australia ambaye ni mtaalamu wa Akili Mnemba (Artificial intelligence- AI), amekataa Ofa ya kiasi cha USD Bilioni . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Kilimo kuweka utaratibu wa kuzisaidia taasisi zinazojihusisha na kilimo zikiwemo Magereza na . . .
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli lina . . .
Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Ku . . .
Wakati hali ya uchumi ikiendelea kuzorota na mfumuko wa bei ukielekea asilimia 30, vigogo wawili wa siasa nchini Malaw- marais wa zamani Pet . . .
Takribani wahamiaji 68 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba takriban watu 150 kuzama katika pwani ya Yemen kufuatia hali mbaya y . . .
Takriban watu 80 wamefariki kutokana na kipindupindu huku zaidi ya maambukizi mapya 2,100 yakirekodiwa katika majimbo matano ya Darfur kufik . . .
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jacobs Mwambegele, amewataka wanahabari kote nchini kutumia taalu . . .
Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha vikali madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Antiphas Li . . .
Mnamo Agosti 2 mwaka huu watia nia wa nafasi za udiwani katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani, wameandamana hadi katika ofisi ya Chama Cha M . . .
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa msamaha wa kodi kwa wamiliki wa magari yasiyokidhi matakwa ya forodha kwa kipindi cha kuanzia Agost . . .
Msimamizi wa uchaguzi wa Viti Maalum kupitia kundi la UVCCM Bara na Zanzibar aliyeteuliwa katika uwakilisha wa Vijana kwenye Bunge la Tanzan . . .
Geita, Agosti 1, 2025 – Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendeleza juhudi zake za kusaidia watoto wa kike kuondokana na chang . . .
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema hakuna sheria inayoruhusu kura za mapema kupigwa kwa upande wa Tanzania bara katika uchaguz . . .
Mwanaume mwenye umri unaokadiriwa (25-30) ambaye hajafahamika jina wala makazi yake, amekutwa amefariki dunia kwenye dimbwi la maji linalotu . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu Mjini Mtwar . . .
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Laban Kihongosi leo Agosti Mosi mwaka huu mekutana na kuzungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanz . . .
JAJI wa Mahakama Kuu, Lucy Njuguna, amepitia upya agizo lake la awali na kukataa ombi la Ferdinand Waititu la kuachiliwa kwa dhamana akisubi . . .
MAKUBALIANO ya pamoja ya mwaka 2021–2025 (CBA) kati ya vyama vya walimu na Tume ya Huduma kwa Walimu (TSC) ya kima cha Sh33.8 bilioni yame . . .
CHAMA cha Makandarasi na Watoa Huduma za Kikandarasi (TUCASA), kimeikumbusha serikali kuchukua hatua madhubuti kuzuia ucheleweshaji wa malip . . .
WAJUMBE wa mikutano mikuu maalumu ya uchaguzi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mikoa wamepiga kura ku . . .
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACL . . .
Wakazi watatu wa Kyela, mkoani Mbeya wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 51, yakiwemo ya kujipatia . . .
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, ametoa wito kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa Mashariki na maeneo jirani kujitokeza kwa wingi ka . . .
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makelele nchini Uganda, Tumwine Elson anatarajia kuhukumiwa hivi karibuni nchini humo baada ya kukutwa na . . .
Vizualizer (Video Taswira) ya Wimbo wa “Tonge Nyama” kutoka kwa msanii Nandy akiwa amemshirikisha Marioo, imeondolewa katika mtanda . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Julai 31, 2025 amekagua na kuzindua rasmi Bandari Kavu ya Kwal . . .
Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku uuzwaji wa pombe katika maeneo mbalimbali ya wazi nchini humo kama kwenye fukwe, bustani za kup . . .
Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Sean "Diddy" Combs anataka kuondolewa katika gereza la MDC Brooklyn, akidai kuwa mazingira ya gerezani . . .
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania Carles Perez ,ambaye anakipiga kwenye klabu ya Aris Thessalon . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi ameweka jiwe la msingi katika Kongani ya Viwanda ya Kwa . . .
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa serikali yake itaanza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingizwa kutoka India, kuanz . . .
WAZIRI Mkuu wa Canada, Mark Carney, ametangaza kuwa nchi yake inapanga kulitambua rasmi Taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja . . .
UMOJA wa Mataifa kupitia Shirika lake la Uhamiaji (IOM), umesema biashara haramu ya binadamu inaendelea kuongezeka kwa kasi ya kutisha, huku . . .
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura kuzingatia sheria, kanun . . .
Ndoto za waliokuwa wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Catherine Magige na Zaytun Swai, kurejea bungeni zimetumbukia nyongo, baada ya kus . . .
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine, amesema kuwa hali ya kisiasa nchini humo imezidi . . .
Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza wakikabiliwa na jumla ya mashtaka matano yanayohusiana na uhalifu wa kiuchumi . . .