Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amezindua rasmi Programu ya Mafunzo ya Ujasiriamali na Ajira, inayolenga kuwasai . . .
Kesi ya mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo inatarajiwa kuendelea leo Julai 10, 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump barua rasmi ya pendekezo lake la uteuzi kwa Tuzo ya Amani . . .
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ndio nchi pekee ni Taifa, na kwamba nchi nyingine za . . .
Taarifa ya tume hiyo pia imeeleza watu waliojeruhiwa ni 107, wasiojulikana walipo ni 2, huku 532 wamekamatwa na Polisi wa nchi hiyo, na tham . . .
IKIWA kuna msemo unaomfafanua vyema Richard Mwangi, basi ni huu: “Nipe tatizo, nitaligeuza kuwa fursa yenye thamani.”Mwangi ndiye mwanzi . . .
Wakati bei ya mafuta ya petroli ikipanda kwa Sh29 mafuta ya dizeli imeshuka kwa Sh255 ikilinganishwa na mwezi uliopita.Mamlaka ya Udhibiti w . . .
Aliyekuwa kipa wa Simba SC na timu ya taifa, Taifa Stars, Aishi Salum Manula, amerejea rasmi katika klabu yake ya zamani ya Azam FC baada ya . . .
Rais wa Kenya William Ruto akiwa na hasira kali ameapa kuwachukulia hatua kali wale anaowaita wapanga njama wa kutaka kumuondoa madarakani k . . .
SERIKALI imesema inatafakati kuona namna ya kufadhili vyombo vya habari kwa kuvipa ruzuku.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa na mwelekeo wa itik . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA imeeleza kubaini na kuwakamata wamiliki wa kiwanda bubu cha kuzalisha biskuti zeny . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuanza awamu ya pili ya ziara yake katika maeneo mbalimbali ambayo kimeiita ziara hiyo kuwa . . .
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema tukio la yeye kushambuliwa na watu wasiojulika . . .
Wadau wa elimu nchini wamependekeza kuchukuliwa hatua madhubuti kuhusu suala la wizi wa mitihani, ambalo limeonekana kuanza kuota mizizi na . . .
Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha usimamizi na uendelezaji wa sekta ya madini na kuimarisha masoko na minada ya uuzaji . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuongeza usimamizi wa ukusanyaji wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwemo w . . .
Jeshi la Polisi linamshikilia Samwel Kayoka (16) Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza Shule ya Sekondari Mtenga kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wak . . .
Utajiri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, umepungua kwa kiasi cha dola bilioni 15 kwa siku ya leo pekee baada ya hisa za . . .
Mahakama moja Nchini Australia imemkuta Mwanamke aitwae Erin Patterson na hatia ya kuwaua Wakwe zake kwa kuwalisha uyoga wenye sumu katika c . . .
Machafuko yalitanda mjini Embu wakati wa maandamano ya Saba Saba huku gari la wagonjwa kutoka Hospitali ya Embu Level 5 likipigwa mawe na ku . . .
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amesema mashamba ya uzalishaji mifugo ya Serikali lazima yaachwe yafanye shughuli za kiser . . .
FAMILIA ya Brian Kimutai, mwandamanaji mwenye umri wa miaka 21, aliyedaiwa kupigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa maandamano ya Saba Sa . . .
Vladimirovich Starovoit, aliyekuwa Waziri wa Usafirishaji wa Urusi kati ya mwaka 2024 na 2025, amekutwa amefariki dunia kwa kile kinachoelez . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), kimetangaza awamu ya pili ya ziara yake baada ya ile iliyofanyika Juni mwaka huu.Kwa mujibu wa Mkurugen . . .
Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimechaguliwa na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa mwenyeji . . .
MKURUGENZI Mkuu na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Hassan Saidy amesema wakala huo umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumi . . .
SERIKALI imetangaza kuwa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yamefikia ukingoni, baada ya kupitia mchakato wa hatua mbalimba . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 Julai 17, 2025, akiweka rekodi ya kuwa R . . .
KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limekemea watu wanaokimbilia kwa waganga wa kienyeji na sehemu zisizofaa kutafuta ufumbuzi wa cha . . .
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Jamii . . .
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu adoshaibuado ameitaka Tume Huru ya Uchaguzi tumeyauchaguzi_tanzania nchini kuongeza uwazi katika mchakato . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule n . . .
Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi wa Urusi Roman Starovoy, anashukiwa kujiua ikiwa ni saa chache baada ya Rais Vladmir Putin kumfukuza kazi, Vyom . . .
Chama tawala nchini Uganda NRM, mwishoni mwa juma kilimuidhinisha, Rais Yoweri Museveni, mwenye umri wa miaka 80 kuwa mgombea pekee wa kiti . . .
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuwa uamuzi wa baadhi ya vyama kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ni sawa na kuipa Chama Cha Mapinduzi (CC . . .
Ufaulu wa jumla wa wanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2025 umeongezeka na kufikia asilimia 99.95, ambapo wanafunzi 125,779 kati ya 125,847 w . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) pamoja na Mitihani ya Ualimu, iliyofa . . .
VIONGOZI wa Kiislamu wameonya kwamba huenda jamii yao itajitenga na mfumo wa kisheria wa Kenya iwapo serikali haitachukua hatua ya kufuta au . . .
Alisainiwa kwa mkopo wa miezi mitatu kwa Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA ya 2025. Baada ya mashindano kumalizika, walitaka kumsaini.Lakini k . . .