logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Jaji Mkuu Masaju Atoa Wito Wa Ushirikiano Kati Ya Mahakama, Polisi Na Mawakili

JAJI MKUU wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju, ametoa wito kwa askari wa Jeshi la Polisi, mawakili na wadau wote wa mahakama kufanya kazi kwa kushirikiana, kuheshimiana na kuepuka migongano i . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro

Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro wa saa sita uliofanywa na wapiganaji katika gereza kubwa lililoko karibu na ofisi ya rais jijini Mogadishu, kwa kuwaua washambuliaji wote . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Rais Macron atangaza baraza jipya la Mawaziri

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, litakaloongozwa na Waziri Mkuu Sébastien Lecornu.Hatua hii inakuja, wakati huu serikali ya Rais Macron ikikabiliwa na changamoto . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Sebastien Lecornu ajiuzulu

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekubali hatua ya Waziri wake Mkuu Sebastien Lecornu kutangaza kujiuzulu saa chache baada ya kulitaja baraza lake la Mawaziri kulingana na taarifa kutoka kwa Ofisi ya . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

MKUTANO MKUU WA WAFANYAKAZI WA MOI WAFANYIKA

Mkutano Mkuu wa mwaka wa wafanyakazi wote wa Taasisi ya MOI umefanyika leo  Oktoba 03 mwaka huu katika ukumbi wa CPL Muhimbili jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wafanyakazi kutoka vitengo m . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Mwalimu ndio nguzo kuu ya maendeleo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa walimu ni nguzo kuu ya maendeleo ya taifa lolote hapa duniani kwani ndio wanaotoa rasilimaliwatu yenye elimu ambayo ni muhimu zaidi ya Taifa.Amesema kuwa mafa . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Sarah Mullally ateuliwa kuwa Askofu Mkuu kanisa la Anglikana Duniani

Mhashamu Askofu Sarah Mullally ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury Muadhama Mkuu Sarah Mullally anakuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury.Hivyo anakuwa Askofu Mkuu wa 106 kuto . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

"Happy boyfriend day "sema neno moja kwa umpendae

Dunia leo inaadhimisha Boyfriend Day, siku maalumu inayotambuliwa kila mwaka tarehe 3 Oktoba kwa ajili ya kuwakumbuka na kuwasherehekea wanaume waliopo kwenye mahusiano na wanawake.Leo ndiyo siku tuna . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • October 3, 2025

Watoto Watatu Wafariki Dunia kwa ajali ya moto Kibaha

Watoto watatu wamefariki dunia baada ya nyumba ya ghorofa moja kuteketea kwa moto katika Mtaa wa Kitende, Kwa Mfipa, Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani.Tukio hilo lilitokea majira ya saa 10:00 alasiri ka . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 2, 2025

Tanzania ,Ufaransa kushirikiana kilimo ikolojia

 SERIKALI ya Ufaransa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kilimo ikolojia kinachohifadhi ardhi na mazingira kwa lengo la kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa uhakika wa usalama wa ch . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

Maandamano ya Gen Z nchini Morocco yaingia siku ya tano

Vijana waliokuwa wamefunika nyuso zao wamekabiliana na polisi na kusababisha uharibifu wa mali katika miji kadhaa nchini Morocco wakati maandamano ya kuipinga serikali yakiendelea kwa siku ya tano mfu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

Maandamano Italia baada ya Israel kuzuia meli ya misaada

Maandamano makubwa yamezuka nchini Italia kufuatia hatua ya Israel kuzuia msafara wa meli uliokuwa umebeba misaada kuelekea ukanda wa Gaza.Mjini Rome, maelfu ya waandamanaji walikusanyika jana jioni n . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 2, 2025

WHO yatangaza vifo 42 kufuatia mlipuko wa hivi punde wa Ebola nchini DRC

Mlipuko mpya wa Ebola umekuwa ukiendelea tangu mapema mwezi Septemba nchiniJamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika Mkoa wa Kasai. Kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), watu 42 wamefariki kati y . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Vyuo vikuu vyatakiwa kuunganisha nguvu mabadiliko ya tabianchi

KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amevitaka vyuo vikuu nchini kuunganisha nguvu katika kufanya tafiti za pamoja ili kukabiliana na changamoto mbalimbali hasa z . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Serikali ya Zanzibar kuendeleza miradi ya kimkakati katika sekta ya nishati

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendeleza miradi ya kimkakati katika sekta ya nishati ili kuhakikisha Zanzibar inakuwa na umeme . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Majaji, mahakimu na waendesha mashtaka wa Tanzania wapewa Elimu ya ushirikiano makosa ya jinai

Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Italia ( Sant’Anna School of Advanced Studies -Scuola) kupitia ufadhili wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kim . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Mabasi ya Mwendokasi zaidi ya 200 kuingia barabarani

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kuwa watulivu na wavumilivu wakati Serikali ikiendelea kushughulikia changamoto ya usafiri wa Mwendokasi, hususan katika kituo cha K . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Joseph Kabila ahukumiwa kifo kwa uhaini

Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila baada ya kumtia hatiani kwa makosa kadhaa makubwa yakiwemo uhaini, uasi na uhalifu . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Deni lililofichwa nchini Senegal: Macky Sall aanzisha mjadala

Aliyekuwa rais wa Senegal Macky Sall, wakati wa mahojiano yake nje ya nchi, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu deni lililoikabili Senegal. Baada ya kuondoka kwa rais huyo wa zamani, mamlaka ya Sene . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 1, 2025

Maelfu ya waandamanaji waandamana na kumtaka Rajoelina ajiuzulu

Watu zaidi na zaidi wanajiunga na vuguvugu la maandamano yanayotikisa mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo. Licha ya tangazo la Andry Rajoelina siku ya Jumatatu, Septemba 29, la kufutwa kwa serikali n . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 1, 2025

Serikali Yalenga Kuifanya Elimu ya Juu Kuwa ya Ushindani Kimataifa

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuwa inaendelea kutekeleza ajenda yake ya kuifanya elimu ya juu nchini kuwa ya ushindani katika ngazi ya kimataifa kupitia utekelezaji mpango wa Umataif . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Raila aanza kulinda gome zake

KIONGOZI wa chama cha ODM Raila Odinga ameanza kulinda ngome zake za kisiasa dhidi ya uwezekano wa kuvamiwa na mshirika wake Rais William Ruto.Bw Odinga ameanza harakati kali za kukifufua chama chake . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Mamlaka ya Taliban yazima mtandao wa intaneti

Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."Mapema chanzo cha serikali kilichozungumza na shirika la habari la . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 30, 2025

Netanyahu aukubali mpango wa amani wa rais Donald Trump

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump siku ya Jumatatu.Hata hivyo wakuu hao wawili wametah . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

WAZIRI KOMBO AMPOKEA RASMI WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA BIASHARA WA HUNGARY

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó baada ya kuwasili kati . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 29, 2025

WAHAMIAJI HARAMU ZAIDI YA 190 WAKAMATWA MKOANI DODOMA. ? ?

‎Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu zaidi ya 190 kutoka mataifa mbalimbali kwa kipindi cha septemba 2025 kufuatia Oparesheni Maalumu inayoendelea nchi nzima.‎ . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

Chama tawala cha Moldova chaongoza uchaguzi wa bunge

Chama tawala cha Moldova na kinachounga mkono Umoja wa Ulaya kinaongoza kwenye uchaguzi wa bunge hii ikiwa ni kulingana na kura ambazo tayari zimehesabiwa hadi mapema siku ya Jumatatu.Uchaguzi wa Juma . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

Netanyahu kukutana na Trump huku Israel ikikabiliwa na ukosoaji kutokana na vita vya Gaza

Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na ukosoaji kutoka nje ya nchi kutokana na vita hivyo. Hata hivyo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 29, 2025

Paul Biya hakuonekana wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikianza

Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya anayewania kuchaguliwa kwa muhula wa nane hakuonekana.Kwa mujib . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 28, 2025

Droni zisizofahamika zashuhudiwa tena Denmark

Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeonekana siku chache baada ya droni nyingine tatu zilizoshuhudiwa . . .

Kurasa 13 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 19 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 2 siku zilizopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode