Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga mapema hii leo Agosti 5, 2025 amekagua mabanda mbalimbali katika maonesho ya Wakulima nane nane na kujionea shughuli mbalimbali, ikiwemo za Kilimo na Mifugo.Maon . . .
MKUTANO wa sita wa wapatanishi wa kimataifa kuhusu mkataba wa marufuku ya plastiki umeanza nchini Uswisi, huku mataifa ya visiwa yakisisitiza umuhimu wa kupitishwa kwa mkataba huo kama sehemu ya . . .
SERIKALI ya Rwanda imeripotiwa kusaini makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji 250 waliotimuliwa nchini humo, katika kile kinachotajwa kuwa sehemu ya mkakati wa Marekani kudhibiti uhamiaj . . .
Mwaka mmoja uliopita, tarehe 5 Agosti 2024, Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina alikimbia nchi, akishinikizwa na wiki kadhaa za maandamano. Wanafunzi walikuwa wakipinga mageuzi ya kujiunga na chuo . . .
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04 mwaka huu jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha . . .
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikish . . .
Takribani wahamiaji 68 wamefariki dunia baada ya boti iliyokuwa imebeba takriban watu 150 kuzama katika pwani ya Yemen kufuatia hali mbaya ya hewa mnamo Agosti 3 mwaka huu Chombo hicho kilizama k . . .
Jeshi la Magereza Tanzania limekanusha vikali madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Antiphas Lissu, yaliyotolewa na mawakili wanaomwakilisha wakiongozwa na . . .
Geita, Agosti 1, 2025 – Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendeleza juhudi zake za kusaidia watoto wa kike kuondokana na changamoto ya kukosa masomo wakati wa hedhi kwa kutoa taulo za ki . . .
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema hakuna sheria inayoruhusu kura za mapema kupigwa kwa upande wa Tanzania bara katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.Kura hiyo ni ile am . . .
Mwanaume mwenye umri unaokadiriwa (25-30) ambaye hajafahamika jina wala makazi yake, amekutwa amefariki dunia kwenye dimbwi la maji linalotumika kumwagilia mbogamboga kwenye bustani katika Mtaa wa Mal . . .
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara limesema limemkamata Anastanzia Exavery Mahatane (27), maarufu Ebitoke katika fukwe za Msanga Mkuu Mjini Mtwara akiwa katika hali inayoonekana kuwa amechanganyikiwa na wa . . .
JAJI wa Mahakama Kuu, Lucy Njuguna, amepitia upya agizo lake la awali na kukataa ombi la Ferdinand Waititu la kuachiliwa kwa dhamana akisubiri uamuzi wa rufaa yake.Badala yake, aliamuru kuwa Waititu a . . .
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anamringi Macha, ametoa wito kwa wakazi wa mikoa ya Kanda ya ziwa Mashariki na maeneo jirani kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya Nanenane yatakayofanyika kwenye viwanja vya . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Julai 31, 2025 amekagua na kuzindua rasmi Bandari Kavu ya Kwala mkoani Pwani pamoja na kupokea mabehewa mapya na yaliyokar . . .
Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku uuzwaji wa pombe katika maeneo mbalimbali ya wazi nchini humo kama kwenye fukwe, bustani za kupumzika, vituo vya huduma za afya, vituo vya mabasi, vituo vy . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi ameweka jiwe la msingi katika Kongani ya Viwanda ya Kwala, iliyopo mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serik . . .
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa serikali yake itaanza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingizwa kutoka India, kuanzia Ijumaa ijayo.Akizungumza kupitia mtandao wake wa Truth So . . .
WAZIRI Mkuu wa Canada, Mark Carney, ametangaza kuwa nchi yake inapanga kulitambua rasmi Taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi Septemba mwaka huu.Tangazo hilo linakuja si . . .
UMOJA wa Mataifa kupitia Shirika lake la Uhamiaji (IOM), umesema biashara haramu ya binadamu inaendelea kuongezeka kwa kasi ya kutisha, huku maelfu ya watu wakikumbwa na udanganyifu wa mitandaoni kati . . .
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi imezitaka taasisi na asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura kuzingatia sheria, kanuni na maelekezo ya Tume wakati wa utekelezaji wa majukumu yao . . .
Mchakato wa kuwapata wabunge viti maalumu kwa mkoa wa Lindi umetamatika baada ya mtangazaji wa Clouds Media, Kijakazi Yunus kushinda kwa kura nyingi huku akiwabwaga wakongwe.Akitangaza msimamizi wa uc . . .
Thailand imeishutumu Cambodia leo Jumatano, Julai 30, kwa "ukiukaji wa wazi" wa usitishaji mapigano uliotekelezwa kati ya nchi hizo mbili jirani baada ya siku kadhaa za mapigano mabaya, ikidai kuwa wa . . .
RAIA wa Jamhuri ya Korea Kusini, wametoa mafunzo ya matumizi ya Akili Unde (AI) kwa wanafunzi 50 wa Uhandisi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha (ATC) kilichopo jijini hapa ili kuwajengea maarifa ya kutumia . . .
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila, amesema kuwa kukosekana kwa maadili katika ngazi ya familia ndiyo chanzo cha kukithiri kwa rushwa kwa watumish . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hakubaliani na kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kwamba hakuna njaa huko Gaza. Akiwa kwenye uwanja wake wa gofu nchini Scotland, Trump alisema . . .
Leo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, amefanya mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Johari Rotana, ambapo ametangaza rasmi uzinduzi wa Kituo cha East Africa Logis . . .
Wanajeshi wasiopunguwa watatu wa Ukraine wameuawa na kumi na wanane kujeruhiwa katika shambulio la Urusi siku ya Jumanne, Julai 29, dhidi ya kambi ya mafunzo ya kijeshi, jeshi la Ukraine limetangaza.M . . .
UJERUMANI , Ufaransa na Uingereza zinapanga kuwatuma mawaziri wao wa mambo ya nje katika Ukanda wa Gaza wiki ijayo, ikiwa ni juhudi za kushinikiza hatua za haraka kukabiliana na hali mbaya ya kibinada . . .
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses Kusiluka amesema serikali inaboresha utaratibu wa utumishi wa umma kwamba ili mtumishi apande daraja au athibitishwe kazini atalazimika kufanya mtihani kupima uwe . . .