logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 10, 2025

Hasira na wito kwa mahakama baada ya kifo cha Albert Ojwang kizuizini

Mzozo unaendelea kutanda nchini Kenya kufuatia kifo cha Albert Ojwang, aliyekamatwa Jumamosi, Juni 7, 2025, kufuatia malalamishi kutoka kwa kamanda wa pili wa polisi, ambaye alimshutumu kwa kumharibia . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • June 10, 2025

Serikali kutovumilia mashirika ya Umma kunufaika bila kurejesha faida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitavumilia baadhi ya mashirika ya umma kuendelea kunufaika kwa kutumia rasilimali za umma bila kurejesha faida inayostah . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 9, 2025

Wanajeshi waliotumwa Los Angeles watarejesha 'utulivu,' asema Trump

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza Jumapili, Juni 8, kwamba askari wa kikosi cha walinzi wa taifa aliowatuma Los Angeles kinyume na matakwa ya mamlaka ya jimbo hilo kushughulikia maandamano dhid . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 8, 2025

Aliyekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Jonathan Fonati Koffa azuiliwa

Aliyekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi nchini Liberia, Jonathan Fonati Koffa, amezuiliwa katika makao makuu ya polisi ya taifa. Anashtakiwa pamoja na maafisa wengine kadhaa waliochaguliwa kwa kisa c . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 8, 2025

Rwanda yajiondoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati

Rwanda imetangaza kujiondoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika ya Kati (ECCAS) kufuatia mkutano wa 26 wa shirika hilo siku ya Jumamosi, Juni 7, mjini Malabo. Kigali imeshutumu kushindwa kwak . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • June 6, 2025

Mchengerwa " Hakuna Fursa Kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano Kubadili Shule Walizopangiwa"

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa, uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo umefanyika kwa kuzingatia ufaulu na nafasi zilizopo, hivyo hakutak . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • June 6, 2025

Uganda yakaribisha uamuzi wa benki ya dunia kuanza tena kuipa misaada

Serikali ya Uganda, imekaribisha kwa mikono miwili uamuzi wa benki ya dunia ambayo imetangaza kuanza tena kutoa misaada kwa nchi hiyo baada ya kuisitisha mwaka 2023 kutokana na sheria tata kuhusu usho . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • June 4, 2025

Wafungwa watano wameuawa Ivory Coast

Wafungwa watano wameuawa katika gereza nchini Ivory Coast wakati wa msako ambao ulibadilika na kuwa makabiliano baina ya maafisa na wafungwa, mwendesha mashtaka wa umma amesema. Taarifa ya mwendesha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • June 4, 2025

EWURA yatanga kushuka kwa bei za mafuta aina ya petroli, dizeli na mafuta ya taa.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika Jumatano, Juni 4, huku gharama za bidhaa hizo zikipungua kidogo ikilinganishwa na mwezi uli . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 3, 2025

Iran Yatoa Mwito wa Kusitishwa Mapigano Gaza

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, ametoa mwito wa kusitishwa haraka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kuruhusiwa misaada ya kibinadamu kuwafikia wananchi wa Ukanda huo.Sayyid Abbas Aragh . . .

Top Story
  • Na Jembe Digital
  • June 2, 2025

Waliofaulu usaili jeshi la polisi kuripoti juni 12 kwaajili ya kuhudhuria mafunzo.

Jeshi la Polisi Tanzania limewataka vijana waliochaguliwa kujiunga nalo kuripoti katika Shule ya Polisi Moshi kuanzia Juni 12 hadi 14 2025 kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo. Vijana hao ni wale waliofan . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • June 1, 2025

Kutoweka kwa kiongozi wa upinzani Matata Ponyo kunatia wasiwasi chama chake na ndugu zake

Yuko wapi kiongozi wa upinzani Matata Ponyo, Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa kitaifa? Akiwa amehukumiwa tangu Mei 20 hadi miaka 10 ya kazi ya kulazimishwa na Mahakama ya Kikatiba kwa ubadhirifu wa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 30, 2025

Mkutano mkuu wa SADC kuhamasisha utalii nchini Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amefungua rasmi Mkutano wa 33 wa mwaka wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika ji . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 30, 2025

Korti yakataa kuwarudisha kazini wafanyakazi wa Gachagua

Mahakama ya Uajiri na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi imetupilia mbali kesi iliyopinga kufutwa kazi kwa wafanyakazi waliokuwa wakihudumu katika afisi ya Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, kufuati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 30, 2025

Uturuki yapendekeza kuandaa mkutano wa Putin-Zelensky-Trump

Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan, akizuru Kyiv, amependekeza siku ya Ijumaa kuwa Uturuki iandae mkutano kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, na Rais w . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

EID EL-ADH’HAA KUANGUKIA SIKU YA JUMAMOSI JUNE 7

Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetoa taarifa kwa Waislamu na Wananchi wote kwa jumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa itakuwa siku ya Jumamosi June 07, 2025. Taarifa iliyotolewa na Ka . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 29, 2025

Kipindupindu chaua sabini ndani ya siku mbili katika mji mkuu, kulingana na Wizara ya Afya

Ugonjwa wa kipindupindu umeua watu 70 ndani ya siku mbili katika mji mkuu wa Sudani, Wizara ya Afya meitangaza leo Alhamisi, Mei 29. Haya yanajiri wakati Khartoum ikikumbwa na kuzorota kwa huduma zake . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 29, 2025

Elon Musk Aacha Kazi, Akosoa Utawala Wa Trump

Elon Musk, bilionea wa teknolojia na mmiliki wa jukwaa la kijamii X (zamani Twitter), ametangaza rasmi kuondoka kwake kama mfanyakazi maalum wa serikali ya Rais Donald J. Trump.Musk alikuwa na jukumu . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • May 29, 2025

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA AJIRA TRA WATAKIWA KUFIKA MAPEMA JUNI 2,2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza ajira mpya 300 za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanya jumla ya ajira zote kufikia 1,896 kutoka 1,596 zilizot . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 28, 2025

Visa 30 vya maambukizo ya mpox vyaripotiwa katika gereza la Ndolo

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mamlaka ya umma inayohusika na masuala ya afya imesema maambukizo ya mpox yameanza kupungua.Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni, DRC ilisajili vis . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 28, 2025

Kiswahili kitumike bungeni mara kwa mara, si tu wakati ‘tunapochokozwa’ na jirani

KUNA kauli iliyotolewa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna wiki hii ambayo inapiga darubini matumizi ya Kiswahili bungeni nchini Kenya.Seneta Sifuna aliwarai maseneta watumie Kiswahili katika Bunge la S . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • May 27, 2025

Wagonjwa hatarini madaktari katika kaunti tatu wakigoma

KWA wiki kadhaa sasa, maelfu ya wagonjwa katika kaunti za Marsabit, Kakamega na Kiambu wameachwa bila huduma za matibabu baada ya zaidi ya madaktari 1,000 kugoma.Akina mama waja wazito hawawezi kupata . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • May 27, 2025

Uganda Yasitisha Ushirikiano Wa Kijeshi Na Ujerumani Kufuatia Tuuma Za Kuhujumu Usalama Wa Taifa

Jeshi la Uganda limetangaza kusitisha mara moja ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, likimtuhumu balozi wa taifa hilo mjini Kampala, Mathias Schauer, kwa kushiriki katika “harakati za kuhujumu usala . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2025

WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA 2025 KUANZA KURIPOTI KATIKA KAMBI ZA JESHI MEI 28 HADI JUNI 8

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa wito kwa vijana waliomaliza elimu ya kidato cha sita mwaka 2025 kutoka shule zote za Tanzania Bara kujiunga na jeshi hilo kwa mujibu wa sheria mwaka 2025. Akizung . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 26, 2025

Wafanyabiashara, wasanii Nairobi wakemea matamshi ya Gachagua

ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua amekashifiwa na baadhi ya wafanyabiashara Nairobi waliodai kuwa analenga kuhujumu amani nchini kwa kuamsha makovu ya ghasia za uchaguzi tata wa 2007.Wakiongea Jum . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

UGANDA YAVUNJA USHIRIKIANO WA KIJESHI UJERUMANI

 Jeshi la Uganda limesema nchi hiyo imesimamisha ushirikiano wote wa kijeshi na Ujerumani huku likidai kuwa balozi wa Ujerumani anajihusisha na shughuli za uasi katika nchi hiyo ya Afrika Mashari . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • May 26, 2025

ARUSHA MWENYEJI MKUTANO WA 33 WA (SADC)

Mkoa wa Arusha umechaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 33 wa mwaka wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) mkutano unaotarajiwa  kufa . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • May 24, 2025

ULAJI WA NYAMA NCHINI UMEONGEZEJA KUTOKA KILO 16 HADI 17.6

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kutokana na  kuimarika kwa biashara ya mazao ya mifugo nchini kwa Mwaka 2024/2025 kumechangia kuongezeka kwa ulaji wa mazao ya mifugo amb . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • May 23, 2025

WAISLAM WAHIMIZWA KUTUNZA AMANI YA NCHI

Waislam mkoani Mwanza wamehimizwa kutunza amani wakati huu Nchii inaelekea kwenye uchaguzi mkuu baadae Mwaka huu.Akitoa hutuba ya ijumaa katika msikiti mkuu wa bakwata mkoa wa Mwanza katibu wa kadhi&n . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • May 23, 2025

Gachagua kutumia mamilioni kuzindua rasmi chama chake cha DCP Juni 3

ALIYEKUWA naibu rais Rigathi Gachagua atazindua rasmi chama chake cha Democracy for the Citizens (DCP) mnamo Juni 3, 2025.Tarehe hiyo ilifichuliwa katika barua ambayo chama kimeomba kutumia Ukumbi wa . . .

Kurasa 28 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Polisi Pwani Wakanusha Taarifa zinazosambaa Mitandaoni

    • 4 masaa yaliopita
  • Serikali Yaendelea Kuimarisha Ustawi wa Wazee Nchini

    • 4 masaa yaliopita
  • Unywaji wa kahawa waweza kukuongezea miaka mitano ya ziada ya ujana

    • 7 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode