logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Matukio

  • Pata Habari za Matukio Mbalimbali
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 27, 2026

Israel yamuua kamanda mpya wa tawi la kijeshi la Hamas

Israel imetangaza leo kuwa imemuua kiongozi mpya wa tawi la kijeshi la Hamas huko Gaza Mohammed Odeh mauaji hayo yamefanyika baada ya Israel kumuua mtangulizi wa kamanda huyo mapema mwezi huu.Israel i . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • May 24, 2026

Urusi yazidisha mashambulizi Ukraine

Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya makombora na droni dhidi ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, na kusababisha vifo vya watu wanne na wengine kujeruhiwa.Maafisa wa Ukraine wanasema mashambulizi hayo yam . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 21, 2026

Familia ya msanii aliyechomwa kwa madai ya kujichora chale ya Ruto mwilini yalilia haki

FAMILIA ya mwimbaji wa nyimbo za injili Rachel Wandeto aliyefariki baada ya kuchomwa imetoa wito kwa polisi kuharakisha uchunguzi kuhusu shambulio la kikatili lililosababisha kifo chake, na kuhakikish . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

Israel na Hezbollah zaendelea kushambuliana

Mapigano yanaendelea kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Hezbollah la nchini Lebanon licha kuwepo makubaliano ya kusitisha vita na jitihada za mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani.Jeshi la Israe . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • May 15, 2026

Zelensky ;shambulizi la Urusi limewaua watu 24

Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amesema leo Ijumaa kuwa shambulizi la Urusi dhidi ya jengo moja la makaazi kwenye mji mkuu Kyiv limewaua watu 24 ikiwemo watoto wa watatu.Ingawa taarifa hizo amezit . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • May 7, 2026

Argentina yahaha kubaini chanzo cha virusi vya hanta

Mlipuko wa virusi vya hanta kwenye meli ya kitalii wazua taharuki huko nchini Argentina huku ikichunguzwa kama chanzo huku abiria wakipelekwa Ulaya kwa matibabu ya dharura.Maafisa wa afya na wataalamu . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • May 6, 2026

Mtanzania Macha Mongu Afariki Hormuz Baada ya Meli Kushambuliwa, TASAC Yathibitisha

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC limethibitisha kifo cha baharia raia wa Tanzania, Macha Maregesi Mongu, baada ya meli aliyokuwa akifanyia kazi kushambuliwa kwa bomu katika Mfereji wa Hormuz. . . .

Mauaji
  • Na Jembe Digital
  • April 28, 2026

29 wauawa Nigeria; washambuliaji walenga vijana uwanjani

Watu waliokuwa na silaha wamewaua takriban watu 29 katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Nigeria, huku mashuhuda wakisema washambuliaji waliwalenga vijana waliokuwa wamekusanyika katika uwanja wa mpi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 25, 2026

Milipuko, milio ya risasi yatikisa miji ya Mali

Milio ya risasi imesikika pia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Modibo Keita kwenye mji mkuu Bamako huku mashuhuda wakisema kuwa wameshuhudia pia mapigano kwenye mji wa kaskazini wa Gao na Sev . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 24, 2026

Trump atangaza Iran kusitisha hukumu ya kifo kwa wanawake 8 wanaharakati

Donald Trump ametangaza kile alichokiita habari njema, akidai kuwa Iran imesitisha mpango wa kuwanyonga wanawake wanaharakati wanane waliokuwa wakikabiliwa na adhabu ya kifo.Kupitia uju . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 23, 2026

Serikali Yachukua Mwili wa Edgar Lungu, Familia Yapinga Mazishi ya Kitaifa

Serikali ya Zambia imethibitisha kuuchukua mwili wa Rais wa zamani Edgar Lungu aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini miezi 10 iliyopita, hatua iliyozua mjadala mkubwa na mvutano m . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 22, 2026

Ongezeko la joto kali laathiri mifumo ya chakula duniani

Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebainisha kuwa kiwango kikubwa cha joto kinachoshuhudiwa duniani, kinaiweka mashakani mifumo ya upatikanaji wa chakula hali hiyo inahatarisha maisha ya zaidi ya watu bilio . . .

Mauaji
  • Na Jembe Digital
  • April 20, 2026

Watoto wanane wauawa katika shambulizi Louisiana

Mwanamume mmoja amewauwa watoto wanane, saba ambao wakiwa wake mwenyewe na kuwapiga risasi wanawake wawili katika shambulizi moja mjini Shreveport, jimboni Louisiana nchini Marekani.Kulingana na taari . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • April 17, 2026

Utata Wagubika Kifo cha Waziri wa Mawasiliano Burundi Gabby Bugaga Akiwa Ndani ya Gari

Serikali ya Burundi imethibitisha kifo cha Waziri wa Mawasiliano na Vyombo vya Habari, Gabby Bugaga, kilichotokea Alhamisi asubuhi katika kile kilichoelezwa kuwa ajali, huku utata ukigubika mazingira . . .

AJALI
  • Na Jembe Digital
  • April 10, 2026

Wawili Wafariki na wengine kujeruhiwa ajali Morogoro

Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha gari dogo aina ya Subaru lenye namba za usajili T 743 EKD kugongana na lori lililokuwa limebeba shehen . . .

Dini
  • Na Asha Business
  • April 6, 2026

Makanisa kuendelea na kelele Mombasa wamiliki hoteli wakilalamika

HOTELI zilizo karibu na maeneo ya ibada jijini Mombasa zimepata pigo baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi kubatilisha uamuzi uliokuwa umewalinda dhidi ya kelele na kutoka makanisa jirani.Awali, B . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 4, 2026

Tetemeko la ardhi lawauwa watu wanane nchini Afghanistan

Watu wanane wa familia moja wameuawa usiku wa kuamkia leo katika tetemeko la ardhi lililokumba eneo la Gosfand Dara mkoani Kabul, nchini Afghanistan. Hayo yamesemwa leo na wizara ya afya nchini humo n . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 4, 2026

Vita Yazidi Kuchemka, Marekani Yapoteza Ndege Mbili

Ndege mbili za kijeshi za Marekani, F-15E Strike Eagle na A-10 Thunderbolt II, zimeripotiwa kuangushwa na mashambulizi ya Iran, huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwa baadhi ya wahudumu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • April 2, 2026

Tetemeko la 7.4 Indonesia latishia tsunami, mawimbi hatari

Tetemeko hilo lilisababisha tahadhari ya tsunami kutolewa kwa maeneo ya Indonesia pamoja na nchi jirani za Ufilipino na Malaysia.Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.4 limetokea katika Bahari ya . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • April 2, 2026

Moto na milipuko kambi ya kijeshi Burundi vyaua watu 13

Watu 13 wamefariki na wengine 57 kujeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliosababishwa na moto katika kambi ya kijeshi nchini Burundi.Jeshi limesema moto huo ulizuka usiku katika ghala la kuhifadhia vifaa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • March 30, 2026

Bunge la Israel kuamua kuhusu hukumu ya kifo kwa Wapalestina

Bunge la Israel kuamua kuhusu hukumu ya kifo kwa Wapalestina wanaowaua Waisraeli Ukingo wa MagharibiBunge la Israel linatarajiwa kujadili muswada utakaohalalisha hukumu ya kifo kwa Wapalestina watakao . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • March 29, 2026

Baadhi ya miili iliyofukuliwa Kericho ilikuwa na majereha kichwani uchunguzi wabaini

MIILI mitano kati ya 33 iliyofukuliwa katika kaburi la pamoja Makaburini mjini Kericho ina majeraha kichwani yaliyosababishwa na kupigwa kwa vitu butu, hali iliyozua maswali mapya kuhusu vifo hivyo vy . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • March 23, 2026

Mvua kubwa nchini Kenya yauwa watu 81

Mvua kubwa iliyosababisha mafuriko nchini Kenya imewaua watu wasiopungua 81 mwezi huu. Hayo ni kwa mujibu wa mamlaka za nchini humo huku mvua ikiendelea kunyesha sehemu nyingi za nchi.Katika eneo la m . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • March 23, 2026

Iran yatoa onyo kali endapo itashambuliwa

Jeshi la Ulinzi la Mapinduzi la Iran (IRGC) limetoa onyo kali kwamba litachukua hatua za kulipiza kisasi iwapo sekta ya umeme ya nchi hiyo itashambuliwa.Katika taarifa iliyotolewa leo Jumatatu, jeshi . . .

Kurasa 2 ya 60

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Unaweza Kupenda Hizi
Habari
news
  • 2 masaa yaliopita

Wahamiaji 139 wamefariki na wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

Habari
news
  • 2 masaa yaliopita

Serikali yafikiria kuweka faini kwa wanaochelewa kuchukua NIDA

Habari
news
  • 2 masaa yaliopita

Hakuna kisa kipya cha Ebola baada ya vipimo 293

Habari
news
  • 2 masaa yaliopita

Karibia wachimba madini 72 wameuawa katika shambulio la angani

Habari
news
  • 2 masaa yaliopita

Iran na Saudi Arabia zafanya mazungumzo ya njia ya simu

Habari
news
  • 24 masaa yaliopita

Trump Aitaka Ukraine Kupata Rais Mpya, Watofautiana Kuhusu Urusi

Burudani
news
  • 24 masaa yaliopita

Billboard Yaitangaza Despacito Kuwa Wimbo Bora wa Wakati Wote

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Wahamiaji 139 wamefariki na wengine 84 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama

    • 2 masaa yaliopita
  • Serikali yafikiria kuweka faini kwa wanaochelewa kuchukua NIDA

    • 2 masaa yaliopita
  • Hakuna kisa kipya cha Ebola baada ya vipimo 293

    • 2 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode