Watu zaidi ya 800 wamefariki na wengine zaidi ya 2,700 wamejeruhiwa mashariki mwa Afghanistan, ambayo imekumbwa usiku na tetemeko la ardhi l . . .
Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika banda la kuchomelea vyuma . . .
DUNIA ya sasa mambo yamekuwa rahisi. Teknolojia imefanya vitu vingi ambavyo vilikuwa vinachukua mlolongo mrefu kutendeka kwa muda mfupi . . .
Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, ameondolewa rasmi katika benchi la ufundi la klabu ya Ujerumani Bayer Leverkusen baada y . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Agosti 31 mwaka huu, kinatarajia kuzindua rasmi kampeni za mgombea wake wa urais, Salum Mwalimu, . . .
Historia nyingine imeandikwa jana jioni katika mji wa Kibaigwa, Dodoma, baada ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa sasa . . .
MBIO za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 zimeingia rasmi mkoani Geita zikikitokea mkoani Mwanza Septemba 01, 2025, na ukiwa mkoani Geita Mwenge hu . . .
TATIZO la utoro wa madaktari katika Kisiwa cha Pemba limepungua kwa kiwango kikubwa baada ya Serikali kuwajengea makazi ya kisasa kari . . .
Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama Demokrasia Makini, Ameir Hassan Ameir (kushoto), amesema iwapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi Zanzi . . .
Wananchi Kata ya Shibula Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza walioko kwenye mgogoro wa ardhi kati yao na uwanja wa ndege wameazimia kuanza kuy . . .
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema limemuua msemaji wa kundi la Hamas, Abu Obeida, katika shambulio la anga lililofanywa Jumamosi kwen . . .
Tamasha jipya la muziki na utamaduni, Futopia Festival 2025, limeendelea kuteka hisia za mashabiki waliomiminika Fumba Town, Zanzibar. Baada . . .
Zanzibar jana ilikuwa sehemu ya moto kabisa baada ya kuzinduliwa rasmi kwa tamasha jipya la Futopia. Siku ya kwanza pekee imeonyesha wazi ku . . .
“Kuanzishwa kwa Tamasha la Futopia hakumaanishi tumeliacha Sauti za Busara,” alisema Lorenzo, Mkurugenzi wa Busara Promotions, katika uf . . .
Msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 17, 2025 kwa michezo miwili ya ufunguzi.KMC FC wataikaribisha . . .
KHALID Aucho kiungo wa zamani wa Yanga SC inatajwa kuwa amefikia makubaliano mazuri na Singida Black kuelekea msimu wa 2025/26.Kiungo huyo n . . .
Asisitiza umuhimu wa Ushirikiano zaidi wa kiuchumi baina ya Mataifa mawiliMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungan . . .
Mahakama ya Kikatiba ya Thailand imemuondoa madarakani Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Paetongtarn Shinawatra, kufuatia sakata la simu iliyovuja k . . .
Mamlaka nchini Kenya zimeanza uchunguzi dhidi ya raia wa Uhispania aliyenaswa kwenye video akimnywesha tembo bia katika hifadhi ya kibinafsi . . .
SHIRIKA la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema kuwa takribani nchi nne za Afrika zinatarajiwa kukumbwa na upungufu w . . .
SHIRIKA la kimataifa la hisani kwa watoto, Save the Children, limesema kuwa takribani nchi nne za Afrika zinatarajiwa kukumbwa na upungufu w . . .
AGOSTI 30, kila mwaka dunia inaadhimisha Siku ya Papa Potwe duniani ikiwa na lengo kuibua ufahamu na kuelimisha umma kuhusu samaki huyo na k . . .
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Ngwada Mubarak Twaha, amewekewa pingamizi la kugombea . . .
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutoa shilingi bilioni 2.6 kwa ajili ya mikopo kwa wanawa . . .
MGOMBEA mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya kampeni za cham . . .
WAGOMBEA 16 wa nafasi za udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Kigoma wamefanikiwa kuwa wagombea pekee baada ya vyama vingine kus . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza siku ya Jumatano kwamba wajumbe wa utawala wake watakutana na maafisa wa Marekani mjini New Yo . . .
Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu wawili na kuwateka nyara zaidi ya watu 100, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, katika shambulio . . .
MTU mwenye mawazo, ni yule ambaye muda wote anayatazama mambo kwa ubaya, analalamika, analaumu wengine, anapenda kuwashambulia wengine . . .
Mshambuliaji Clement Mzize wa Yanga SC ameboreshewa mkataba wake ambapo mshahara wake inatajwa itakuwa ni milioni 40 kwa mwezi akiwa mchezaj . . .
Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos, Nigeria, imemhukumu mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 (sawa na zaidi y . . .
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya kazi, kudumisha uadilifu na kulinda usiri . . .
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga vikali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wao wa Urais, Luhaga Joelson Mpina, . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania leo inatarajiwa kuanza kusikiliza kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, hatu . . .
MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuanza kuinadi Ilani ya Uchaguzi ya ch . . .
Ikiwa leo Agosti 28 mwaka huu tunashuhudia hekoheko za uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwak . . .
WAGOMBEA urais 17, ubunge na udiwani leo wanatarajiwa kuanza kampeni kuomba wananchi wawapigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka hu . . .
TANZANIA imeingia makubaliano ya kimataifa na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu ili kudhibiti matumizi yake katika uteng . . .
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limesema DRC na Rwanda zimekubaliana kuwarejesha makwao wakimbizi walioathiriwa na machafuk . . .
SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika lakini likitegemea um . . .