logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 21, 2025

Mtoto Ramin Ahmed akutwa amefariki dunia

Mtoto Ramin Ahmed mwenye umri wa miaka 3, aliyekuwa anaishi na wazazi wake eneo la Malabi, Kata ya Mpela mkoani Tabora, amepatikana akiwa am . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 21, 2025

TARURA imetoa mafunzo kwa watumishi wapya 98

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetoa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo watumishi wapya 98 wa Kada ya Uhandisi, Fundi S . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 21, 2025

Mtanzania kuongoza baraza la habari duniania

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabaraza ya Habari Duniani (WAP . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 21, 2025

mwanaharakati Boniface Mwangi afikishwa mahakamani leo

Jeshi la Polisi nchini Kenya limewekwa kwenye mzingo wa shinikizo kutoka kwa familia, mashirika ya haki za binadamu na umma, baada ya kumkam . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Polepole akemea utekaji nchini kwa madai ya kutekwa kwa dada yake

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema kuwa anapinga vikali vitendo vya utekaji na kudai kuwa dada yake alitek . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Hakuna amani bila haki

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole @hpolepole ametoa wito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kutokuka . . .

AJALI
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Wanafunzi wawili wafariki kwa ajili Morogoro

Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Watatu wafariki na sita majeruhi kwa ajali Iringa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imehusisha gari ya abiria lenye namba za usajili T 562 EBK aina y . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Majibu ya DNA kwa wazazi na watoto laki 3 kwa siku 21

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema licha ya kwamba gharama za upimaji DNA nchini zinafikia hadi Tsh milioni moja lakini S . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Yanga wamsajili Mussa Balla Conte kiungo kutoka Tunisia

Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamepiga hatua nyingine kubwa kwenye dirisha la usajili baada ya kufanikiwa kumn . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Akutwa amefariki akiwa chumbani kwake

Mwili wa aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kageme Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga  Juliana Mkumbo (30) amek . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 18, 2025

Kijana adaiwa kumuua baba yake na kumtumbukiza kwenye shimo la choo

Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Rajabu Hamis (23), mkazi wa Mtaa wa Muheza, wilaya ya Kibaha, kwa tuhuma za kumuua baba yake mza . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 18, 2025

Meno ya tembo, kiboko yampeleka jela miaka 20

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imemuhukumu mfanyabiashara Abubakari Msangi (48), kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikan . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 18, 2025

Polisi wachunguza tukio la dada wa Polepole

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 18, 2025

Ahmed Ally" Safari Hii Sitazungumza Sana, Usajili Utaongea Wenyewe"

KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26, Simba wamebainisha kuwa watafanya usajili mkubwa kupata timu imara ya ushindani kitaifa na kimataifa.Ipo waz . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Ahukumiwa miaka 60 kwa kulawiti

Mahakama ya wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga  imemuhukumu Saidi Omary Mtangi mkazi wa Maramba wilaya ya Mkinga kifungo cha miaka 60 jela m . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Tukio la dada wa Polepole kufanyiwa uchunguzi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Utawala wa Burkina Faso wafuta tume ya uchaguzi

Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso chini ya Kapteni Ibrahim Traoré umevunjalia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Mbulu zaidi ya wananchi laki 1 wanufaika na mradi wa maji safi

Mradi wa wa tenki la maji Dambia  uliopo kata ya Bashay, Kijiji cha harsha Mkoani Manyara, wenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya lita laki . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 18, 2025

Chaumma watwaa ofisi ya Chadema wilayani Same

Katika tukio la kushangaza na kuzua gumzo mapema leo, viongozi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wamechukua rasmi ofisi iliyokuwa inam . . .

Top Story
  • Na Baba Juti
  • July 17, 2025

UTAFITI: Ishara Ya Jicho Inaweza Kukusaidia Haraka Zaidi.

Watafiti kutoka chuo kikuu cha Flinders kilichopo nchini Australia, wamesema kuwa mawasiliano ya ishara kwa njia ya jicho, ndiyo njia sahi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Uzinduzi wa Dira ya taifa ya 2050 yaja na maagizo sita ya utekelezaji

Rais  Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania wote kujielekeza katika kutekeleza kwa vitendo Dira ya Taifa 2050 badala ya kuish . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Fahamu shabaha 18 za Dira ya taifa mwaka 20250

Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema zipo shabaha 18 za Dira ya Taifa ya mwaka 20250 ikiwemo  Tanzania kuwa Mz . . .

afrika mashariki
  • Na Baba Juti
  • July 17, 2025

Akamatwa na Bomu katika Uchaguzi wa Chama cha NRM, Uganda

Polisi nchini Uganda wanamshikilia mwanaume mmoja baada ya kukutwa na bomu la mkononi aina ya “guruneti” (Grenade) wakati wa uchaguzi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Dira ya taifa nyonzo muhimu kujua wajibu wetu

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kuipokea kwa matumaini Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025–2050, akisema inaaki . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Wastaafu wameridhishwa na dira ya taifa 2050

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amepongeza uzinduzi wa Dira 2050 akisema kuwa ni hatua kubwa katika historia ya maendele . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Ifikapo 2050 uchumi wa kila Mtanzania kwa siku ni Sh50,000

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa Tanzania ina uwezo wa kufikia uchumi wa kati wa juu i . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Polisi" Hatuhusiki kutoweka kijana Kongowe"

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazoeleza kuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Kongowe, Wilaya ya Kibaha, alihusi . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Lamine Yamal akabidhiwa jezi namba 10 ya Messi Barcelona, asaini Mkataba mpya mpaka 2031

Kinda mahiri wa FC Barcelona, Lamine Yamal, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu hiyo, ambao utamuweka Camp Nou hadi tarehe 30 Juni . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Davido Atikisa Tena! Anunua Lamborghini Revuelto Yenye Thamani Ya Bilioni 2.6

Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke, anayefahamika zaidi kwa jina la Davido, ameendelea kuthibitisha kuwa ni mmoj . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Nigeria yadhoofika kimataifa kutokana na kutokuwa na mabalozi

Nigeria iko chini ya shinikizo la kidiplomasia kutoka Marekani na Falme za Kiarabu, ambazo zimeweka vikwazo vikali kwa upataji visa kwa raia . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 17, 2025

Agizo la kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo lapingwa

Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Serikali yatoa onyo la uuzaji, usambazaji dawa bandia

SERIKALI imeonya kwamba haitamvumilia mfanyabiashara yeyote atakayeuza au kusambaza dawa bandia au vifaatiba duni kwa wananchi.Mkuu wa Mkoa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Mama na watoto wake wanne waangamizwa kwa kuchomwa katika mzozo wa mapenzi

Watu sita akiwemo mama na watoto wake wanne kutoka Bulapesa, Isiolo, walifariki kwa kuchomeka hadi kutotambulika, huku nyumba mbili zikiteke . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Uzinduzi wa Dira ya taifa 2025_2050 kufanyika leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Julai 17, 2025 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwet . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Rais Samia afanya teuzi na mabadiliko ya viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyoto . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Liverpool mbioni kumsajil mshambuliaji Hugo Ekitike kutoka Ujerumani

Klabu ya Liverpool ya England inaendelea kuweka juhudi zake za kumtia mikononi mshambuliaji chipukizi Hugo Ekitike kutoka Eintracht Frankfur . . .

Top Story
  • Na Baba Juti
  • July 16, 2025

Barack Obama na Michelle Obama Watoa Ufafanuzi kuhusu Kupeana Talaka

Hatimaye Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama na mke wake Michelle Obama, wametolea ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kuwa ndoa yao ip . . .

Kitaifa
  • Na Baba Juti
  • July 16, 2025

Ekari 614 za Bangi Zateketezwa kwa moto Morogoro

MOROGOROJumla ya Ekari 614 za mashamba ya dawa za kulevya aina ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za ban . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Wahamiaji haramu kurejeshwa kwao Burundi

Katika oparesheni maalum inayoendelea mkoani Geita, Idara ya Uhamiaji imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 126 kutoka nchini Burundi weng . . .

Kurasa 37 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category