Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli zitakazotumika kuanzia leo Januari 7, 2026 . . .
Kijiji cha Spruce Creek Fly-In Florida ni eneo la kipekee ambapo wakazi wake wengi wanamiliki ndege binafsi. Makazi yamejengwa kuzunguka uwa . . .
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa eneo la Katindiuka, wilayani Mvomero, kwa tuhuma za . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro, limewakamata watuhumiwa watatu wa matukio tofauti ya mauaji na ukatili wa kijinsia yaliyotokea mkoani hapa . . .
Kijana mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka 13 William Rabillo kutoka Nevada nchini Marekani ametikisa mitandao ya kijamii baada ya kufanikiw . . .
Timu ya taifa ya Ivory Coast imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3–0 dhidi . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya ziara ya ukaguzi katika karakana ya UDART eneo la Ubungo Ji . . .
Waziri wa mambo ya nje wa Israel Gideon Saar ameahidi kwamba nchi yake itakuza uhusiano wenye mafanikio na Somaliland baada ya kuwa nchi ya . . .
Shirika la Wananchi la Amani na Uwiano wa Jamii (CPCC), limesema hivi majuzi kwamba takriban raia 105 kutoka DRC wamefariki dunia katika kip . . .
Rais Donald Trump, anathmini njia za namna Marekani inavyoweza kuchukua na kudhibiti kisiwa cha Greenland, kinachomilikiwa na Denmark.Ikulu . . .
Hatua ya Waziri wa Mambo ya nje wa Israel Gideon Saar kuzuru jimbo la Somaliland siku 10 baada ya kulitambua jimbo hilo kama nchi huru, imes . . .
Bondia wa kulipwa kutoka nchini Tanzania Hassan Mwakinyo Jr ametangaza kurejea nafasi ya kwanza barani Afrika katika uzito wa kati (middlewe . . .
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjær, ameonyesha nia ya kurejea Old Trafford kuinoa klabu hiyo kama Kocha wa Muda . . .
Klabu ya Chelsea ipo hatua za mwisho kumtangaza Liam Rosenior kuwa Kocha Mkuu mpya wa kikosi hicho, baada ya pande zote kufikia makubaliano . . .
Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Venezuela kufuatia kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kutaka kuachiliwa kwa Rais aliy . . .
TAKRIBANI robo ya wateja wa Safaricom (asilimia 23) hawana imani na ada wanazotozwa kwa matumizi ya data na jumbe fupi (SMS), kulingana na u . . .
Bilionea namba moja duniani Elon Musk ametoa bure huduma ya internet kwa wananchi wa Venezuela.Ambapo huduma hii ametoa kuanzia january 3 ha . . .
Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye upatikanaji wa elimu tangu uhuru mwaka1961,hasa katika kuandikisha wanafunzi wengi shuleni.Hata hivyo,ta . . .
Mkoa wa kagera,ulioko kaskazini magharibi mwa Tanzania,ni moja ya maeneo yenye historia ya kipekee.Kabla ya uhuru ,eneo hili lilijukana kama . . .
Mjane wa Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Maria Nyerere amepokea nishani ya heshima kutoka Jamhuri y . . .
RIPOTI ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya mwaka 2024 imeiweka Kenya katika nafasi ya nne barani Afrika kwa idadi ya watu walioathiriwa na m . . .
Maandamano makubwa yanayoendelea nchini Iran yameingia wiki ya pili huku idadi ya watu waliopoteza maisha ikifikia 29, kwa mujibu wa taarifa . . .
Urusi na China zimetoa wito kwa Marekani kumuachilia kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro pamoja na mke wake Cilia Flores kufuatia kukamatw . . .
Kiongozi wa Venezuela Nicolás Maduro amejitangaza kuwa "rais halali wa Venezuela" wakati akipinga kukamatwa kwake nchini Marekani na amekan . . .
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya . . .
Nchini Burundi, Rais Evariste Ndayishimiye alilazimika kumkemea waziri wake wa mambo ya nje baada ya waziri huyo kutuma ujumbe wa kuikosoa Q . . .
Cuba imethibitisha kuwa raia wake 32 waliuawa wakati wa operesheni ya Marekani ya kumkamata Nicolás Maduro.Nchi inayoongozwa kikomunisti am . . .
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Agostino Magere amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kubainisha kuwa chanzo c . . .
Rais wa Marekani Donald TrumP ametoa kauli kali dhidi ya Makamu wa Rais wa Venezuela Delcy Rodríguez akionyesha msimamo mkali wa Washington . . .
Kocha wa timu mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON 2025 Morocco Walid Regragui amewaonya wachezaji wake dhidi ya kuwapuuza wapin . . .
Mahakama ya Juu nchini Guinea imeeidhinisha siku ya Jumapili jioni, Januari 5, ushindi wa Mamadi Doumbouya katika uchaguzi wa urais wa Desem . . .
Watu 114 wameuwa nchini Sudan, baada ya kushuhudiwa kwa makabiliano makali kati ya wanajeshi wa wanamgambo wa RSF, Magharibi mwa jimbo la Da . . .
Jumla ya Wapiga Kura 20,851 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kuchagua madiwani katika . . .
Aliyekuwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro aliyekamatwa pamoja mkewe Cilia Flores wakati wa operesheni maalum iliyotekelezwa na vikosi vya M . . .
Watu wote 40 waliokufa katika moto uliotokea kwenye baa wakati wa mkesha wa Mwaka Mpya nchini Uswisi wametambuliwa na mamlaka za nchi hiyo.P . . .
Morocco imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kupata ushindi mwembamba wa 1–0 dhidi ya Taifa Stars Tanzania kat . . .
Mwanamume kutoka kijiji cha Sigomere katika kaunti ya Siaya amepata nafuu na faraja kufuatia kifo cha kusikitisha cha mbwa wake. Mwanam . . .
Wapiganaji saba wa kundi la waasi wanaotaka kujitenga wameuawa katika mashambulizi ya angani huku muungano unaoongozwa na Saudi Arabia nchin . . .