Watu wawili wameuliwa katika shambulizi la Urusi lililofanywa katika mji wa Kharkiv mashariki mwa Ukraine ambapo shambulio la Urusi katika m . . .
Ndoa iliyokuwa ikitazamwa kama mfano wa upendo wa kudumu imani na mshikamano wa kifamilia sasa imevunjika hadharani Kristy na Desmond Scott . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema siku ya Jumatatu kwamba hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya ukandamizaji . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran lenye makao yake nchini Norway limesema mamlaka za Iran zimefanya mauaji ya halaiki.Hayo yamesem . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul anakutana siku ya Jumatatu na mwenzake wa Marekani Marco Rubio mjini Washington kuhusu v . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Joseph Daudi Mwakalinga maarufu kama @jiggerman mkazi wa Zimbili . . .
Wakati leo Januari 12 ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia . . .
Katika jiji kuu la Kampala, baadhi ya wakaazi wameanza kusafiri kwenda vijijini au Charo kwa lugha ambayo wanaielewa kushiriki kura za Alham . . .
Tanzania pamoja na Kenya na Uganda,imepata nafasi ya kipekee yakuwa mmoja wa wenyeji wa mashindano ya kombe la mataifa ya kombe la mataifa y . . .
Bodi ya Brute SACCOs inayopatikana katika Manispaa ya Bukoba imeendesha mafunzo ya uandishi wa habari kwa lengo la kuwajengea uwezo viongozi . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Bw. Duan Campbell (kati kati) akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh . . .
Wazazi na walezi mkoa wa Mwanza wameaswa kusimamia malezi bora na shirikishi kwa lengo la kuwakinga watoto na shughuli ama mambo mbalimbali . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili uliofanyika Oktoba na . . .
Jina la Enzo Maresca, kocha raia wa Italia aliyemaliza hivi karibuni kazi yake na klabu ya Chelsea, limo kwenye orodha ya makocha wanaotajwa . . .
Bilionea na mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, amemlipa aliyekuwa mke wake, Melinda Gates kiasi cha dola bilioni 8 za Kimarekani, . . .
Klabu ya Yanga imeanza rasmi mchakato wa kuwarahisishia wawekezaji na wabia wa kimkakati kuwasilisha barua za kuonesha nia (EOI) kwa ajili y . . .
Hatua hiyo imekuja kufuatia ukaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kubaini kuwa kat . . .
Wananchi hao wameiomba serikali kurejesha huduma muhimu kama umeme maji pamoja na kutuma wataalamu kuja kutibu madimbwi ya maji yanayozagaa . . .
Urusi imesema hivi leo kwamba imetumia kombora jipya chapa Oreshnik pamoja na silaha nyingine katika shambulizi kubwa dhidi ya Ukraine.Maafi . . .
Waandamanaji nchini Iran wamepiga kelele na kuandamana hadi Ijumaa asubuhi kuendelea kupinga ugumu wa maisha.Waandamanaji wa Iran wamepiga k . . .
Rasmi Antoine Semenyo amesaini mkataba wa kuitumikia Manchester City akitokea klabu ya AFC Bournemouth ya pale pale England.Semenyo anakuwa . . .
Maelfu ya waombolezaji walijitokeza jijini Goma Mashariki ya DRC Januari 8 kuhudhuria ibaada ya mazishi ya watu 22 waliouawa wak . . .
Maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa jeshi la Kongo, waliokamatwa kwa miezi kadhaa iliopita, wameshtakiwa rasmi na tayari wamehamishiwa katika . . .
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), a . . .
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha via ya uzazi kwa mwanaume katika shughul . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza nchi yake kujiondoa katika mashirika 66 ya kimataifa akieleza kuwa taasisi hizo hazihudumii tena masl . . .
Umoja wa Mataifa amesema Marekani ina ‘wajibu wa kisheria' kuendelea kulipa michango inayofadhili mashirika ya umoja huo hata baada ya Iku . . .
Rais wa muda wa Venezuela, Delcy Rodriguez amesisitiza kwamba nchi yake haina hofu yoyote licha ya madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kw . . .
Ikulu ya Tanzania jana imetangaza mabadiliko katika Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu . . .
Afisa wa uhamiaji nchini Marekani, amempiga risasi mwanamke mwenye umri wa miaka 37 siku ya Jumatano kwenye mji wa Minneapolis.Maafisa wa se . . .
Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnester Lambart, amefanya ziara katika Kata ya Bonyokwa, kusikiliza kero za maji katika eneo hilo.Miongoni mwa . . .
Hatua hiyo imekuja, miezi miwili baada ya rais Ouattara kuchaguliwa tena kuongoza nchi hiyo, baada ya kupata ushindi wa karibu asilimia 90 y . . .
Habari za hivi punde zinaeleza kuwa wachezaji wa timu ya taifa ya Algeria, kupitia shirikisho lao la soka, wamemwandalia zawadi ya dola za K . . .
Hali ya wasiwasi imetanda katika kambi ya timu ya taifa ya Nigeria, “Super Eagles,” baada ya kuripotiwa kuwa wachezaji wamegoma kufanya . . .
Papa Leo anaongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la maaskofu tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo mwaka jana kufuatia kifo cha mtangulizi . . .
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imeingia hatua ya Robo Fainali ambapo timu nane bora barani Afrika zimejipanga vyema kuw . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican huku akisema kuwa kushindwa katika uchaguzi w . . .
Raia wawili wa ambao ni wakazi wa China Weisi Wang (41) pamoja na Yao Licong wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mk . . .
Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Antonio Costa amesema kuwa Umoja wa Ulaya utaiunga mkono Greenland na Denmark inapohitajika na hautakubali . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela Diosdado Cabello amesema watu 100 wameuawa katika shambulio la Marekani mnamo siku ya Jumamosi lililom . . .