Umoja wa Mataifa umeonya kwamba takribani watu milioni 55 katika Afrika Magharibi na Kati wanakabiliwa na uhaba mkali wa chakula mwaka huu.S . . .
Takribani watu saba wameuwawa katika machafuko usiku wa kuamkia leo katikati mwa Uganda ikiwa ni siku moja baada ya uchaguzi wa kitaifa amba . . .
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, ambaye aliondolewa madarakani, ametiwa hatiani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kughushi ny . . .
Marekani kwa mara nyingine imeitishia serikali ya Iran juu ya uwezekano wa kuchukua hatua za kijeshi kutokana na ukandamizaji wakati wa maan . . .
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais yanaonyesha Yoweri Museveni akiongoza kwa kura 14,232 (61.7%); Bobi Wine anashika nafasi ya pili kwa k . . .
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine anaripotiwa kuwekwa katika kizuizi cha nyumbani huku mchakato wa kuhesabu kura za uchaguzi mkuu . . .
Spika wa Bunge la India Mheshimiwa Shri Om Birla amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshi . . .
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Idara ya Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbog . . .
Vikosi vya kijeshi kutoka mataifa kadhaa ya Ulaya ikiwemo Ujerumani na Ufaransa vinaendelea kuwasili katika kisiwa kinachojitawala cha Green . . .
Rais wa Angola Joao Lourenco ambaye pia ni mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) alikutana na viongozi wa kidini kutoka nchini Jamhuri ya Kidem . . .
Shughuli ya upigaji kura nchini Uganda imechelewa kuanza katika maeneo mengi ya nchi hali iliyozua wasiwasi miongoni mwa wapiga kura waliowa . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atatangaza hali ya dharura katika sekta ya nishati kote nchini humo.Zelensky amesema hatua hiyo i . . .
Senegal na wenyeji Morocco ndio wamefuzu hatua ya fainali kwenye mashindano ya Kombe la Afrika AFCON baada ya kushinda mechi zao za nusu fai . . .
Maafisa wa Denmark na Greeland wamesema wameshindwa kuafikiana na kubadili mawazo ya utawala wa Rais Donald Trump kuhusu azma ya Marekani ku . . .
Idadi ya vifo kufuatia maandamano yanayoendelea kuitikisa Iran imeongezeka na kufikia watu 3,428 hayo ikiwa ni kulingana na shirika la haki . . .
Raia zaidi ya milioni 21 wa Uganda wanapiga kura Alhamisi ya leo katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kuendeleza utawala wa muda mrefu . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Denis Ogesa (28) mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa tuhuma za kuvunj . . .
MBUNGE wa Iran ameonya kuwa serikali itakabiliwa na maandamano makubwa zaidi iwapo haitashughulikia malalamishi ya wananchi huku maandamano . . .
UCHUNGUZI wa maiti umebaini kuwa mwanamume aliyefariki akikwema Mlima Kenya, alifariki kutokana na kukosa hewa ya oksijeni, hatua iliyosaidi . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linafanya uchunguzi wa tukio la kujinyonga kwa mtuhumiwa aitwaye Michael Lambau (18), mkazi wa mtaa wa K . . .
Mamlaka za mahakama zimefungua uchunguzi na kutoa wito kwa mashahidi wowote kujitokeza kutoa taarifa kuhusu waziri wa zamani wa Burkina Faso . . .
Mareani imesema itafuta hadhi ya ulinzi wa muda kwa baadhi ya wahamiaji kutoka Somalia ambapo hatua hii ni katika kuendeleza juhudi za rais . . .
Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya, Ursula von der Leyen, amesema Umoja huo unajiandaa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Iran.Rais wa Hal . . .
Iran imedai Marekani inatafuta sababu ya kuingilia kati kijeshi kwa kutumia maandamano ya machafuko ya Wairan wanaopinga hali ngumu ya maish . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema baada ya karibu miaka minne ya vita, hali ya ugumu wa maisha nchini mwake inaendelea kuwa m . . .
Denmark na Greenland zimeungana kupinga wito wa rais wa Marekani Donald Trump kutaka kukitwaa kisiwa cha Greenland hivyo viongozi wa nchi hi . . .
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema zaidi ya watu 400 wameachiliwa kutoka gerezani kama sehemu ya mchakato unaoendelea wa ku . . .
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya mdomo na Michael Carrick kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu wa muda hadi mwisho w . . .
MAHAKAMA Kuu imepiga marufuku kwa muda mashirika ya umma na serikali za kaunti kuajiri mawakili binafsi pale ambapo kuna mawakili wa serikal . . .
msanii maarufu wa RnB JUMA JUX kutoka Tanzania, anayejulikana kwa midundo yake ya kipekee na mashairi yenye hisia, amejivunia ushindi w . . .
Klabu ya Brighton & Hove Albion inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini England haitaendelea na mshambuliaji wa Kitanzania, Aisha Masak . . .
Tukio hilo limetokea January 12, 2026 katika mtaa wa Ligula "A" kata ya Chuno halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.Baad . . .
Maambukizi ya damu yanayosababishwa na vimelea zaidi ya mmoja yanaendelea kuwa changamoto kubwa katika hospitali za rufani nchini Tanzania, . . .
Tume Huru ya Uchaguzi ya Uganda (EC) imepiga marufuku wapigakura kubeba au kupeperusha Bendera ya Taifa katika vituo vya kupiga kura, ikiony . . .
Wafanyabiashara sita wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inayohusisha kuwasilisha nyaraka za uongo katika Bandari ya Dar es Salaam na ku . . .
Kiongozi wa upinzani wa Venezuela Maria Corina Machado atakutana na rais wa Marekani Donald Trump wiki hii. Mkutano huo utafanyika wakati Ve . . .
Myanmar ilifanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya jamii ya wachache wa Rohingya kwa lengo la kuiangamiza jamii hiyo Gambia iliripoti taarif . . .
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel amesema mpaka sasa hakuna mazungumzo yoyote ya kutafuta makubaliano na Marekani yanayoendelea kufuatia vitis . . .
Rais Donald Trump amesema kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Iran itatozwa ushuru wa asilimia 25 kufuatia hatua ya Iran kuyakandamiza . . .
Serikali ya Somalia imefuta makubaliano yote iliyotia saini na Umoja wa Falme za Kiarabu kuhusiana na mvutano juu ya hatua ya Israel kuitamb . . .