Vijana 57 kati ya 61 waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya uhaini, wamefutiwa mashtaka na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) leo, Jumatatu Nove . . .
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ameahidi kuimarisha na kupanua ushirikiano kati ya Wizara yake na Mkoa wa Morog . . .
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya na Mbunge wa Busanda, Dk. Jafari Seif, amewataka watumishi wa afya kote nchini kut . . .
Katika enzi hizi ambapo mawasiliano hutegemea simu za mkononi, wataalamu wanasisitiza kwamba unavyotumia kifaa hiki kwa mwenzi wako inaweza . . .
Wananchi wametakiwa kutojikuta wakigawanyika kwa misingi ya kidini, kikabila au kisiasa, badala yake waenzi na kudumisha utambulisho wao kam . . .
eshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume cha sheria kwa . . .
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kiserikali nchini Gabon siku ya Jumapili, Novemba 23, yenye lengo la "kuimarisha na kufufu . . .
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV ametoa wito siku ya Jumapili, Novemba 23, wa kuachiliwa "mara moja" kwa wanafunzi na walim . . .
Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Busanda, Dkt. Jafari Rajabu Seif, ametoa wito kw . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa . . .
Waasi wa AFC/M23 wanakalia mji wa Mahanga, mji ulio katika wilaya ya Masisi, tangu Jumamosi Novemba 22. Mji wa Mahanga unapatikana zaidi ya . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wa Wakala wa Barabara wa Taifa (TANROADS) waliohusika na uzembe w . . .
Mwanasiasa wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary amekimbilia nchini Gambia hii ikiwa ni kulingana na serikali ya Gambia siku ya . . .
Ikulu ya White House imesema siku ya Jumapili kwamba mazungumzo kuhusu pendekezo la Marekani la kuvimaliza vita nchini Ukraine yalionyesha " . . .
Bondia wa Kitanzania, Lupakisyo Mohamedi Shoti, ameandika historia mpya katika ngumi za kulipwa baada ya kumshinda Mromania Daniel “Magic . . .
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwavisha Bawa la . . .
Wenyeviti wa Mitaa yote 27 kutoka katika kata za Njombe Mijini, Ramadhani na Mjimwema wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya NJUWASA . . .
WAAJIRIWA wapya wa Tume ya Madini wametakiwa kufuata kikamilifu miongozo, kanuni na taratibu za utumishi wa umma, sambamba na kudumisha maad . . .
MWANA wa aliyekuwa mkuu wa kampuni ya Gateway Insurance, marehemu Godfrey Wairegi, ameungana na mama yake katika mzozo dhidi ya nyanya yake . . .
Tanzania yaendelea kupiga hatua katika Mpango wa ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani madini kutokana na ujenzi wa kiwanda kipya cha usin . . .
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha Kuhimili Mab . . .
Duru kutoka wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa imesema nchi hiyo imeanza kupunguza wafanyakazi wake wa kidiplomasia nchini Mali kutokana na . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ameibuka na kuweka wazi kuhusu uvumi unaosambazwa katika mitandao ya ki . . .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ametoa agizo kwa Waandishi na Wachapishaji wa Vitabu kuunda Shi . . .
Katika jamii ya leo,matukio ya vijana kuwanyanyasa wake zao yanaonekana kuongezeka na kusababisha uharibikaji wa ndoa nyingi. Huku chan . . .
Idadi ya wanafunzi waliotekwa nyara katika shule ya Kikatoliki katika Jimbo la Niger, katikati mwa Nigeria, siku ya Ijumaa, Novemba 21, ilif . . .
Nchini Mali, wakati wa miaka mitano ya Mpito, uhuru wa raia umepunguzwa kwa kiasi kikubwa. Vyama vya siasa vimevunjwa, vyombo vya habari na . . .
China imesaini makubaliano ya mradi wa dola bilioni 1.4 na Zambia na Tanzania, kuboresha barabara ya reli ya TAZARA inayoyaunganisha Zambia, . . .
Watu waliojihami kwa silaha wanadaiwa kuwateka nyara wanafunzi 52 katika shule moja ya kikatoliki katika jimbo la Niger nchini Nigeria.Taari . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzu . . .
Ofisi ya Uhamiaji Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu inaendelea na juhudi za kuhakikisha usalama wa Taifa kwa kudhibiti wahamiaji haramu kupi . . .
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema inafuatilia kwa umakini makala iliyochapishwa na kurushwa na chombo cha habari cha kimat . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Arusha kuan . . .
MKAZI mmoja wa Nyamira ameelekea kortini kulenga kuzuia Mawaziri watatu kuendelea na ujenzi wa Chuo Kikuu cha Nyamira katika eneo Kiabonyoru . . .
“Nia yake ilikuwa wazi kabisa kwani aliamini kwa kutumia vurugu. Vitisho hivi vya vurugu vilikuwa ni matendo ya kigaidi, ambayo yalitekele . . .
Kabla ya tukio hilo baba mzazi wa mtoto huyo ambao wote ni marehemu, alikwenda nyumbani kwa mzazi kwenzie Violeth Edward (19) na kumchukua k . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzu . . .
Nchini Cameroon, kiongozi wa upinzani Issa Tchiroma Bakary ametangaza siku nyingine ya watu "kusalia numbani" leo Ijumaa, Novemba 21, kwa he . . .
Bunge la Marekani mnamo Novemba 20 limeijadili Nigeria. Wiki tatu zilizopita, Donald Trump aliitaja Nigeria kama nchi "inayotia wasiwasi kuh . . .
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Novemba, 20 mwaka huu amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa N . . .