logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

TLP kujenga kambi za wazee 2,000 kila mkoa

CHAMA cha Tanzania Labour (TLP) kimesema kikipata ushindi katika Uchaguzi Mkuu serikali yake itajenga kambi za kutunza wazee kwenye kila mkoa.TLP imesema kila kambi itakuwa na uwezo wa kutunza wazee 1 . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Mikakati yaendelee kupunguza foleni barabarani Dar

MKOA wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa inayoshuhudia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara kwa kiwango kikubwa.Mji huu wa biashara ‘unasukwa’ kila kona, hasa kwa ujenzi wa barabara . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 10, 2025

Tanesco Yaendelea Kuboresha Huduma Kwa Wateja Kwa Kuwafikishia Vitendea Kazi Vya Usafiri

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mpango mpya wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kununua vitendea kazi ikiwemo magari 100, bajaji 100 na pikipiki 284, hatua inayolenga kuongeza ufanisi ka . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 8, 2025

Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman watembelea viwanda vilivyopo Pwani

 Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Oman umetembelea Mkoa wa Pwani kwa lengo la kujionea shughuli za viwanda na biashara, na kuangazia fursa za uwekezaji kati ya Tanzania na Oman katika sekta mbali . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Tanzania yatwaa ushindi wa kidijitali duniani

SERIKALI ya China imesema itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuhakikisha taifa linapiga hatua za haraka kwenye maendeleo ya kiuchumi yanayochochewa na teknolojia ya kidijitali.Kauli hiyo imeto . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 5, 2025

Kabudi, Tulia wataja sababu kutiki kwa Dk Samia

Profesa Palamagamba Kabudi na Spika Dk Tulia Ackson wamebainisha sababu za wananchi kumuamini Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa kura za kishindo katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu.Akizu . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Kilimo, mifuko na Miundombinu kipaumbele cha Samia Mbeya

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapiduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kuwekeza kwenye sekta za kilimo, mifugo na miundombinu ili kuinua maisha y . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Mwili wa aliyekuwa Askofu KKKT Dk Martin Shao waagwa rasmi

Viongozi mbalimbali wameshiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini, Dk Martin Shao. Miongoni mwa viongozi h . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Bwawa la JNHPP kuwa kielelezo cha ushirikiano maonyesho ya IATF2025

Mradi wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji, umetajwa kuwa kielelezo cha ushirikiano wa Bara la Afrika wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Nne ya Biashara ya Ndani ya Afrika . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

TANESCO wafanya maboresho njia ya kusafirisha umeme

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya matengenezo kinga kwenye njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 kutoka kituo cha kupoza umeme cha Chalinze hadi Kinyerezi Dar es Salaam bila . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 4, 2025

Afreximbank yataka mapambano mapya ya kiuchumi

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Uagizaji na Uuzaji Nje ya Afrika (Afreximbank), Profesa Benedict Oramah, amewataka viongozi, wawekezaji na wafanyabiashara barani Afrika kuendeleza “mapambano mapya” . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Kampuni ya ORYX GAS yaendelea kutoa elimu juu ya matumizi ya nishati safi

KAMPUNI ya ORYX GAS kwa kushirikiana na meneja mkuu wa mauzo na  masoko tanzania bara na visiwani Shaban Sungi wameendelea kujidhatiti na kuwafikia wananchi wa Buhongwa wilaya ya nyamagana mko . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Wawekezaji migodini watakiwa kuzingatia usalama Tanga

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, amewataka wawekezaji wa migodi ya madini kuhakikisha wanazingatia kikamilifu kanuni na miongozo ya usalama ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika.Akizungumz . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 3, 2025

Kampuni ya Marekani Yapata Leseni kuchunguza madini ya lithium Kongo

Kampuni ya madini ya Marekani, KoBold Metals, inayoungwa mkono na Bill Gates na Jeff Bezos, imepata leseni saba za kuchunguza madini ya lithium katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), maafisa w . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 1, 2025

AU yaeleza kuguswa na kuongezeka kwa fedha haramu barani Afrika

Umoja wa Afrika, umeeleza kuguswa na kuongezeka kwa fedha haramu kwenye bara hilo, fedha ambazo zimetokana na ukwepaji kodi, rushwa, utakatishaji wa fedha, utoroshaji wa mitaji na ufadhili wa ugaidi, . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • September 1, 2025

Utoro wa madaktari Pemba wapungua

 TATIZO la utoro wa madaktari katika Kisiwa cha Pemba limepungua kwa kiwango kikubwa baada ya Serikali kuwajengea makazi ya kisasa karibu na Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoa wa Kusini Pemba . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 29, 2025

Makamu Wa Rais Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa Ghana Nchini Tanzania

Asisitiza umuhimu wa  Ushirikiano zaidi wa  kiuchumi  baina  ya Mataifa  mawiliMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya m . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 29, 2025

Wagombea 16 Udiwani hawana upinzani

WAGOMBEA 16 wa nafasi za udiwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Kigoma wamefanikiwa kuwa wagombea pekee baada ya vyama vingine kushindwa kusimamisha wagombea na baadhi ya wagombea wa upinzan . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 28, 2025

Ujumbe wa Ukraine utakutana na maafisa wa Marekani mjini New York Ijumaa

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametangaza siku ya Jumatano kwamba wajumbe wa utawala wake watakutana na maafisa wa Marekani mjini New York siku ya Ijumaa kama sehemu ya juhudi za kumaliza vita na . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 28, 2025

Wawili wauawa na zaidi ya mia moja watekwa nyara Zamfara

Watu wenye silaha wamewauwa takriban watu wawili na kuwateka nyara zaidi ya watu 100, wengi wao wakiwa wanawake na watoto, katika shambulio lililotokea katika Jimbo la Zamfara, Nigeria, maafisa wa ene . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 28, 2025

Watunza Kumbukumbu watakiwa Kulinda Usiri na Kuendeleza Utumishi Bora

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watunza kumbukumbu wote nchini kuzingatia maadili ya kazi, kudumisha uadilifu na kulinda usiri wa taarifa zote zinazohifadhiwa kwani taarifa hizo ni nyenzo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 28, 2025

Tanzania imeingia makubaliano na nchi zakimataifa dhidi ya dawa za kulevya

 TANZANIA imeingia makubaliano ya kimataifa na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu ili kudhibiti matumizi yake katika utengenezaji wa dawa za kulevya.Makubaliano hayo yaliafikiwa kupi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

DRC, Rwanda zakubaliana kurejesha wakimbizi

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR) limesema DRC na Rwanda zimekubaliana kuwarejesha makwao wakimbizi walioathiriwa na machafuko Mashariki mwa Congo.Mkuu wa UNHCR, Filippo Grandi, am . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia

SERIKALI ya Urusi imeahidi kujenga kituo cha umeme wa nyuklia nchini Niger, taifa linaloongoza kwa urani barani Afrika lakini likitegemea umeme kutoka nje.Kampuni ya Serikali ya Rosatom imesaini makub . . .

Uwekezaji
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Watendaji Tume Madini wahimizwa kuimarisha usalama migodini

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuimarisha usalama kwenye migodi ya madini kwa kufanya kaguzi za mara kwa mara sambamba na kutoa elim . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Mapafu ya nguruwe yatumika kupandikizwa binadamu

MADAKTARI Bingwa nchini China wamefanikiwa kupandikiza mapafu kutoka kwa nguruwe kwenda kwa binadamu. Kwa mujibu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Njia ya Hewa ya mjini Guangzhou umeonyesha kuwa ma . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 27, 2025

Namna Wagombea wanavyopishana fomu za ubunge

WAGOMBEA ubunge katika majimbo mbalimbali wamechukua fomu za kuomba uteuzi kugombea nafasi hiyo.Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Doto Biteko alichukua fomu jana ya kuomba uteuzi agombee nafasi h . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • August 26, 2025

WANANCHI WA NYAKATO MWANZA WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO

Wananchi wa kata ya Nyakato mtaa wa NHC, uliopo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea jengo jipya la mama na mtoto katika zahanati ya Nyakato.Wakizungumza na Jembe Haba . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 26, 2025

MWENGE WA UHURU KUKIMBIZWA WILAYA YA ILEMELA KWA UMBALI WA KILOMETA 48.8 NA KUZINDUA MIRADI 9 YENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 27.6

Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya ya Ilemela kwa umbali wa zaidi ya  kilometa 48.8, ambapo utazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi 9 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 27 . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 26, 2025

Katibu wa CCM wilaya ya Mafia afariki dunia

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mafia mkoani Pwani Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni Mkoa wa Tanga.Taarifa ya kifo hicho imetolew . . .

Kurasa 16 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara

    • 13 dakika zilizopita
  • Familia za waathiriwa wa maandamano kuandamana hadi ikulu ya rais kudai haki

    • 20 dakika zilizopita
  • Rwanda Yafunga Zaidi ya Makanisa 10,000 ya Kiinjili kwa Ukiukwaji wa Sheria

    • 2 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode