Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) limetakiwa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibi . . .
Makubaliano ya hivi karibuni ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, yanatarajiwa kuanza kutekelezwa wiki hii.Kwa wataalamu wa masual . . .
SERIKALI imesema asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika kama Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha baada ya serikali kukusanya fedha kwa ajili ya kuokoa afya ya mama na mtoto.“Taarifa . . .
Katika historia ya siasa za Tanzania, Julai 26, 2025 inabaki kuwa siku ya kipekee. Siku ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliandika ukurasa mpya wa mageuzi kwa kufanya Mkutano Mkuu wa Taifa kwa njia y . . .
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema kuwa ameiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza kukubaliana na washirika wake juu ya utoaji wa mifumo mitatu . . .
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, na mkewe Brigitte Macron, wamefungua kesi ya madai ya uchafuzi wa jina dhidi ya mtangazaji maarufu wa Marekani, Candace Owens. Kesi hiyo iliwasilishwa rasmi katika M . . .
Katika kuhakikisha jitihada za kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV), kuondoa unyanyapaa, na kupunguza vifo kufikia mwaka 2030, jamii imetakiwa kuendelea kuchukua tahadhari kwa kuacha . . .
SHIRIKA lisilo la kiserikali linaloshughulika na maswala ya kilimo cha mazao, Cafe Africa, linatarajia kuwajengea uwezo na kutoa huduma za ugani kwa wakulima wa kahawa zaidi ya 35,000.Lengo la ku . . .
SERIKALI ya Kenya imetangaza kushindwa kumudu gharama za kufadhili elilmu ya bure kwa shule za msingi na sekondari, hatua itakayoathiri maelfu ya wanafunzi na kuongeza mzigo kwa wazazi.Akizungumza Jul . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu duniani Amnesty International limetangaza kuwa Serikali ya Iran ilitumia mabomu ya vishada katika maeneo ya makazi wakati wa mapigano ya siku 12 kati yake na Israel . . .
Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yatakayofanyika Julai 25 mwaka huu katika Mnara wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dod . . .
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Katavi kimewatoa wasiwasi wananchi wa Kata ya Kakese, Manispaa ya Mpanda, kuhusu usalama wa kura zao kwenye uchaguzi mkuu ujao, kikiahidi kuwa na mikakati m . . .
Jumla ya vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi yanayotoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani- Tanga, vinatarajia kujengwa ili kusaidia upunguzaji wa kasi ya mafuta ghafi yanayosafirishwa s . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Fatma Mbaruok Khamis amesema Serikali ina mpango wa kutengeneza chakula Cha kuku kupitia zao la mwani ili kuongeza thamani na kuwapatia tija waku . . .
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeonesha dhamira thabiti ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano na Jamhuri ya Rwanda kupitia Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC), unaofanyi . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za seri . . .
Waziri Mkuu alisema Belmedepreparaty ni kampuni sahihi kuja kuwekeza nchini kutokana na kutumia teknolojia ya kisasa ya kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango vya kimataifa.Kwa upande wa sekta ya mad . . .
RAIS William Ruto amewataka viongozi wa upinzani wawasilishe mpango mbadala ambao wanao kuinua uchumi wa nchi badala ya kumwandama kisiasa na kumlaumu kwa kila kitu.Matamshi ya kiongozi wa nchi yanaku . . .
Mpango wowote wa chama cha Labour nchini Uingereza Kupunguza misaada ya nje kutaathiri elimu ya watoto na kuongeza hatari ya magonjwa na vifo katika baadhi ya nchi za Afrika, hii ni kulingana na tathm . . .
Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila ameripotiwa kupinga mkataba wa uchimbaji madini kati ya DRC na Marekani baada ya Washington, kufanikisha makubaliano kati ya Kinshasa na Kigali.Rais Kabila anaripo . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Bandari kavu ya Kwala na safari za ubebaji wa mizigo kwa kutumia treni ya mwendokasi ya SGR kwenda Dodoma.Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge alisema . . .
Watu 125 wanatuhumiwa kuhusika na makosa mbalimbali wakiwemo wenye makosa ya kutumia dawa za kulevya na kusambaza,pamoja na wizi wa mali mbalimbali katika kipindi cha kuanzia mwezi juni 27 mwaka huu&n . . .
Jeshi la Mali na kundi la mamluki wa Urusi, Wagner, waliwaua makumi ya watu wa kabila la Fulani mwanzoni mwa mwaka huu wakati wa operesheni dhidi ya wanajihadi kaskazini mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa t . . .
SERIKALI imewafungulia mashtaka yanayohusiana na ugaidi vijana saba waliokamatwa Kaunti ya Machakos wakati wa maandamano ya Saba Saba mwanzoni mwa mwezi huu, huku Mbunge wa Manyatta, John Mukunji, aki . . .
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Taasisi ya WIOMSA (West Indian Ocean Marine Science Association) wameanza warsha ya siku mbili kwa wadau kutoka se . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetekeleza operesheni ya mafanikio usiku wa tarehe 22 Julai 2025 kwa kukamata boti aina ya fibre, rangi nyeupe iliyokuwa ikisafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi ku . . .
Mtu mmoja Mkazi wa Mtaa wa Kusenha Kata ya Matumbulu jijini Dodoma ajulikanaye kama Frank Sanga (33) ameuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi kutokana na mvutano uliotokea kati ya askari hao na wan . . .
Jeshi la polisi Mkoani Tanga, linafanya uchunguzi na kuwasaka watu waliohusika katika tukio la kufukua kaburi na kuondoka na kichwa cha marehemu aliyezikwa na kuondoka nacho Kamanda wa polisi mko . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja mikoa zaidi ya 20 ikiwemo visiwa vya Unguja na Pemba itakayokuwa na hali ya ukavu na baadhi kupata mvua nyepesi na upepo mkali kwa siku 10 kuanzia leo Ju . . .
Uchaguzi wa Madiwani wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Morogoro Mjini limehitimishwa kwa amani, huku baadhi ya vigogo maarufu wakianguka na madiwani sita wa zamani wakirejea . . .