logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Michezo

  • Pata Habari za Michezo Kwa Undani
news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 6, 2026

Ole Gunnar Solskjær Ajiandaa Kurejea Man United kama Kocha wa Muda

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Manchester United Ole Gunnar Solskjær, ameonyesha nia ya kurejea Old Trafford kuinoa klabu hiyo kama Kocha wa Muda (Caretaker) hadi mwisho wa msi . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • January 6, 2026

Liam Rosenior Yupo Mbioni Kujiunga na Chelsea Kama Kocha Mkuu

Klabu ya Chelsea ipo hatua za mwisho kumtangaza Liam Rosenior kuwa Kocha Mkuu mpya wa kikosi hicho, baada ya pande zote kufikia makubaliano ya awali. Rosenior anatar . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 5, 2026

Kocha wa Morocco aonya dhidi ya kuidharau Taifa Stars

Kocha wa timu mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika – AFCON 2025 Morocco Walid Regragui amewaonya wachezaji wake dhidi ya kuwapuuza wapinzani wao wasio na uzoefu Tanza . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 5, 2026

Wenyeji Morocco wafuzu robo fainali AFCON 2025

Morocco imefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 baada ya kupata ushindi mwembamba wa 1–0 dhidi ya Taifa Stars Tanzania katika mechi iliochezwa katika uw . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • January 2, 2026

Gabon Yasimamisha Timu, Aubameyang Afungiwa na Kocha Atimuliwa!

Serikali ya Gabon imesitisha ushiriki wa timu ya taifa ya soka “The Panthers” na kumfungia mshambuliaji nyota Pierre-Emerick Aubameyang, kufuatia kutolewa kwao kwenye . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • January 1, 2026

AFCON hatua ya 16 bora kuanza kutimua vumbi wikiendi hii

Januari 3 Sudan watakipiga na Senegal katika mechi ya mwanzo kabisa katika uwanja wa Grand Stade de Tanger na usiku wake kutakuwa na mtanange mkali kati ya Mali dhidi ya . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

Arsenal Yaizamisha Aston Villa 4–1

Ligi Kuu ya England iliendelea kwa hamasa kubwa, na matokeo ya mwisho ya mechi za jana yanaonyesha wazi kwamba msimu huu bado umejaa presha, ushindani na matokeo ya kusha . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 31, 2025

Tanzania yaweka historia kwa kutinga hatua ya mchujo AFCON

Senegal na Congo zimetuma ujumbe wa nia yao baada ya kupata ushindi wa uhakika katika mechi zao za Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025 ambapo Tanzania na Tunisia  . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 30, 2025

Mourinho awapa maua yao wachezaji kutoka Afrika

Miongoni mwa Kocha bora duniani Jose Mourihno (The Special one) katika moja ya mazungumzo yake na Rio Ferdinand amefunguka kuhusu wachezaji wa Afrika."Siwezi kwenda Afrik . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 29, 2025

Lamine Yamal Atwaa Tuzo ya Mshambuliaji Bora wa Mwaka 2025

Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona Lamine Yamal ametwaa Tuzo ya mshambuliaji bora wa mwaka 2025 kutoka Global Soccer 2025.Lamine ametwaa Tuzo hiyo baada ya kuwa na . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 29, 2025

Algeria yatinga hatua ya mtoano ya AFCON nchini Morocco

Algeria imekuwa nchi ya tatu baada ya Misri na Nigeria kutinga hatua ya mtoano ya Kombe la Mataifa ya Afrika - AFCON 2025. Iliifunga Burkina Faso bao moja kwa sifuri mjin . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 29, 2025

Msimamo wa Makundi Wazidi Kuchanganya vichwa Morocco

Michuano ya AFCON 2025 imeendelea kuwasha moto nchini Morocco na sasa picha ya nani anaweza kusonga mbele hatua ya 16 bora inaanza kuonekana kwa  baadhi ya vigogo wa . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 26, 2025

Mechi za Mzunguko wa pili AFCON 2025 kuendelea hii leo

Mechi ya awali kabisa hii leo ni kati ya Angola dhidi ya  Zimbabwe timu hizi za kundi zinakutana baada ya kila mmoja kuchapwa katika mechi zao za mzunguko wa kw . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 25, 2025

AFCON 2025 Yaendelea Kupamba Moto Morocco

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) inaendelea kushika kasi nchini Morocco, huku mashindano hayo yakizidi kuvutia mashabiki wa soka barani Afrika.Usiku wa . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 24, 2025

TANZANIA NA UGANDA ZAANZA AFCON 2025 KWA KICHAPO

Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) yameanza vibaya kwa mataifa ya Afrika Mashariki, Tanzania na Uganda, baada ya timu hizo kukubali kichapo katika mech . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 23, 2025

Tanzania, Uganda na Kongo kutupa karata zao AFCON

Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne.Baaday . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

AFCON yafunguliwa rasmi Rabat, Morocco waanza kwa kishindo

Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika AFCON 2025 imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waliibamiza timu ya taifa ya visiwa vya Com . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • December 21, 2025

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Nyota wa soka wa Ufaransa, Kylian Mbappé, ameandika historia mpya ndani ya klabu ya Real Madrid baada ya kufikia rekodi ya muda mrefu iliyowekwa na Cristiano Ronaldo mwa . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi muundo wa zawadi za fedha kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, itakayofanyika nchini Morocco . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

Simba Yamteua Steve Barker Kuwa Kocha Mkuu Mpya

Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kumteua Steve Barker kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho, akichukua nafasi ya Meneja Dimitar Pantev ambaye ameo . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Khalid Aucho Afungiwa Michezo 5 na Kutozwa Faini Sh. 1,000,000

wachezaji wa klabu ya Singida Big Stars Khalid Aucho amefungiwa michezo mitano (5) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 kwa kosa la kufanya kitendo kisicho cha kiuanamichezo . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Mahakama yaamua PSG imlipe Mbappé zaidi ya dola milioni 70

Mahakama ya Paris inayohusika na masuala ya ajira imeamua kwamba Paris Saint-Germain lazima imlipe Kylian Mbappé zaidi ya euro milioni 60 (dola milioni 70).Ni kuhusu mzo . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Aliyetemwa taifa Stars aongoza mabao ya vichwa Ligi Tanzania Bara

STRAIKA wa JKT Tanzania, Peter Paul, ambaye alienguliwa katika kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars), kilichoelekea Misri kuweka kambi ili kujiandaa na Fainali za Kombe . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

JKT Queens yaifuata Ceasiaa Iringa

KIKOSI cha mabingwa watetezi JKT Queens kimeondoka jijini Dar es Salaam jana kuelekea Iringa ili kuwafuata wenyeji Ceasiaa Queens kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu ya Wanawa . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Rushine aivuruga Simba

KLABU ya Simba imepiga hodi Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini ikisema inahitaji kumsajili moja kwa moja beki wa kati anayeichezea timu hiyo kwa mkopo Rushine De Reuc . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Liverpool Yazidi Kumvizia Semenyo Kufuatia Tetesi za Kuondoka kwa Salah

Klabu ya Liverpool inaonekana tayari kuanza kupanga maisha bila nyota wao Mohamed Salah, kufuatia taarifa zinazoenea kuhusu uwezekano wa mshambuliaji huyo kuondoka mwezi . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 6, 2025

Makundi ya Kombe la Dunia 2026 Yatangazwa

Droo ya hatua ya makundi ya kombe la Dunia 2026 imekamilika huko Kennedy Center Jijini Washington, D.C Marekani ljumaa, Desemba 5, 2025 ambapo wababe wa soka Duniani waki . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • December 5, 2025

Droo ya Kombe la Dunia kufanyika Ijumaa huko Marekani

Droo ya Kombe la Dunia la Shirikisho la Kandanda Duniani, FIFA, litakalofanyika mwakani huko Marekani, Canada na Mexico itafanyika leo katika Kituo cha Sanaa cha Kennedy . . .

news
SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • December 5, 2025

Droo kombe la dunia 2026 kufanyika leo Desemba 05

Droo ya Kombe la Dunia la Shirikisho la Kandanda Duniani FIFA litakalochezwa mwakani huko Marekani Canada na Mexico itafanyika leo katika Kituo cha Sanaa cha Kennedy huko . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 2, 2025

Yanga na Pyramid ndio zina safu bora ya ulinzi kwenye mizunguko miwili ya CAF Champions league

Vigogo wa Afrika, Young Africans SC ya Tanzania na Pyramids FC ya Misri, ndiyo timu pekee ambazo hadi sasa hazijaruhusu goli katika mizunguko miwili ya hatua ya makundi y . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 30, 2025

Wajumbe wa Simba wamgomea Mangungu kwenye mkutano wa Simba

Baada ya Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu kuwajibu wajumbe wasubiri uchaguzi kutokana na suala la fedha lililoulizwa hivi ndivyo ambavyo wajumbe hawa wamepokea jibu h . . .

news
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

TFF yahairisha hafla ya tuzo za msimu 2024/2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuahirishwa kwa hafla ya utoaji wa tuzo za msimu wa 2024/2025, ambayo awali ilipangwa kufanyika tarehe 5 Desemba&n . . .

news
SOKA
  • Na Asha Business
  • November 26, 2025

Vikosi Vikubwa Barani Ulaya Vitakutana London Leo Usiku

Vikosi viwili vyenye kiwango bora zaidi barani Ulaya vitachuana usiku wa kesho jumatano tarehe 26 kwenye Ligi ya Mabingwa Ndani ya uwanja wa Emirates, London.The Gunners, . . .

Kurasa 2 ya 27

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita
  • Spika Zungu: Hakuna Udini Kwenye Miradi ya Utalii

    • 2 siku zilizopita
  • Ukraine na Urusi zimefanya ubadilishanaji wa wafungwa

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode