logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afrika
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Kiongozi wa wanamgambo Sudan apatikana na hatia ya uhalifu wa kivita

KIONGOZI wa wanamgambo wa Sudan amepatikana na hatia ya kufanya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu katika eneo la Darfur zaidi y . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Bobi kwa Museveni "Nitakulinda ikiwa utaachilia mamlaka kwa amani"

KIONGOZI wa National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi, almaarufu Bobi Wine, amesema Rais Museveni atalindwa iwapo atakabidhi madaraka . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

FIFA Yamteua Rais wa Yanga, Eng. Hersi Said, Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu Duniani

Rais wa Klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said, ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Vilabu vy . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Burkina Faso yawatia mbaroni watu 8 wakiwemo 3 wa Ulaya

Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imetangaza kuwakamata watu wanane wa shirika la misaada ya kibinadamu, wakiwemo raia watatu wa Ulaya, kw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Rais Macron akabiliwa na shinikizo la kujiuzulu

Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, katika hatua ya kushangaza, amemtaka kiongozi huyo ajiuzulu kuinusuru . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Ethiopia yaituhumu Eriteria kwa kuungana na TPLF kuandaa vita

Ethiopia imeishtumu Eritrea kwa kuungana na vikosi vya Tigray People's Liberation Front (TPLF), kujiandaa kwa ajili ya vita.Wizara ya Mambo . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CUF, Daud Mtuyehabi, Auawa Kwa Kupigwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linaendelea na uchunguzi wa tukio la mauaji ya Daud Mtuyehabi, aliyewahi kuwa mgombe . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 8, 2025

FIFA Yamteua Wallace Karia Kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka la Ufukweni Duniani

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Soka . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

TISEZA imesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu haujaathiri kasi ya uwekezaji nchini.

MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu haujaathiri kasi ya uwekezaji nchini. . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

EAC kusimamia vyema Itifaki ya Soko la pamoja

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imefanikiwa kusimamia vyema Itifaki ya Soko la Pamoja katika miaka 25 baada ya kuanzishwa tena mwaka 1999. . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

THRDC kujadili Katiba mpya

 VYAMA vikuu vya siasa nchini vimeweka upatikanaji wa Katiba Mpya kama kipaumbele katika ilani zao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, . . .

Burudani
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

Aggy Baby Afichua Ukweli wa Poshqueeen

MSANII wa Bongo Movie, Agness Suleiman Kihamba maarufu kama Aggy Baby ameendelea kusisitiza kuwa mrembo wa mitandaoni Poshqueeen hajaolewa h . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

Kibatala Aitaka Serikali Kutoa Taarifa Rasmi Kuhusu Usalama wa Polepole

Wakili maarufu wa Tanzania, Peter Kibatala, ametoa wito kwa mamlaka za usalama nchini kutumia rasilimali zote kuhakikisha hal . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

Uchaguzi Mkuu 2025 INEC yafanya marekebisho ya wapiga kura na vituo vya kupigia kura

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imefanya marekebisho ya takwimu za wapiga kura na vituo vya kupigia kura vitakavyotumika katika Uchagu . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 7, 2025

Tuhuma za Utekwaji wa Humphrey Polepole Polisi Waanza Uchunguzi

Jeshi la Polisi nchini limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizotolewa na Augustino Polepole kuhusu madai ya kutekwa kwa ndugu yake, Humphrey Pole . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

Watu wawili wafariki ajali ya basi na lori Geita

Watu wawili wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la abiria la Kampuni ya Mallesa na gari la mizigo iliyotokea katika kijiji cha R . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

Mahakama Kuu Yaamua Hatima ya Mpina Oktoba 10

Mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema kuwa matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea nafasi ya Urais wa Jamh . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

Diddy Ampiga Simu Trump – Aomba Msamaha Baada ya Kifungo cha Miezi 50!

Rais wa Marekani, Donald Trump, amethibitisha kwamba rapa maarufu Diddy (Puff Daddy) amempigia simu akiomba msamaha wa rais, kufuatia hukumu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

Donald Trump Aongoza Orodha ya Wagombea Tuzo ya Amani ya Nobel

Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kutangazwa rasmi kwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Rais wa Marekani, Donald Trump, anashika nafasi k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

TFF Yamsimamisha Mchezaji wa Yanga Princess Kupisha Uchunguzi wa Jinsia

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesimamisha kwa muda mchezaji wa klabu ya Yanga Queens, Princess Jeanine Mukandiyisenga, raia wa Rwanda, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

Imetimia miaka miwili tangu shambulizi la Hamas la Oktoba 7

Waisrael wanajiandaa kuomboleza waliouawa, wakati taifa hilo linaadhimisha miaka miwili tangu shambulio la Hamas la Oktoba 7, ambalo liliing . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

Jenerali wa jeshi ateuliwa kuwa Waziri Mkuu nchini Madagascar

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, amemteua Jenerali wa jeshi Ruphin Fortunat Dimbisoa Zafisambo, kuwa Waziri Mkuu mpya, wakati huu kisiwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 7, 2025

ICC yamkuta na hatia aliyekuwa mbabe wa kivita nchini Sudan Ali Kushayb

Mahakama ya kimataifa ya ICC, imemkuta na hatia ya makosa ya uhalifu wa kivita na dhulma dhidi ya binadamu, aliyekuwa muasi na mbabe wa kivi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Bunda wameishukuru serikali kwa kuwajengea vizimba

Wananchi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara wameishukuru serikali kwa kuwajengea vizimba maalum vya kuzuia mamba, hatua iliyosaidia kuwalinda wa . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Lissu ahoji ratiba ya kuhudhuria mahakamani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehoji ratiba ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baad . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Diarra achaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba Ligi Kuu NBC

Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC, Djigui Diarra, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa ms . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

TEF Yalaani Vikali Wanajeshi Kujihusisha na Siasa

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limelaani vikali kauli na maudhui yaliyosambazwa katika mitandao ya kijamii Oktoba 4 mwaka huu yakionesha . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Matumizi Mabaya ya Mitandao ya Kijamii Polisi Watoa Onyo

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa on warning kali dhidi ya kile lilichokiita matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kwa kusambaza maud . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba

Kocha mkuu wa klabu ya JKT Tanzania, Ahmad Ali amechaguliwa kuwa Kocha bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa mwak . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Mzee Butiku Amlipua Captain Tesha

Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Warioba Butiku amewahimiza Watanzania kuungana na Kauli rasmi iliyotolewa na Jeshi la W . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Madaiwa ya Kutekwa kwa Polepole Polisi Waanza Uchunguzi

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma, likieleza kuwa limeona taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ndugu wa Humphrey Pole . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 6, 2025

Kesi ya Lissu kuanza kusikilizwa kwa mfululizo kuanzia leo Oktoba 6 hadi Oktoba 24 mwaka huu

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa mf . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Jaji Mkuu Masaju Atoa Wito Wa Ushirikiano Kati Ya Mahakama, Polisi Na Mawakili

JAJI MKUU wa Mahakama ya Tanzania,  George Masaju, ametoa wito kwa askari wa Jeshi la Polisi, mawakili na wadau wote wa mahakama kufany . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Vikosi vya serikali Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro

Vikosi vya serikali ya Somalia vimefanikiwa kumaliza mzingiro wa saa sita uliofanywa na wapiganaji katika gereza kubwa lililoko karibu na of . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Uchaguzi umefanyika kwa usalama bila kuingiliwa

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria, Noureddine al-Baba, amesema uchaguzi wa bunge nchini humo umekamilika katika vituo vyote vya k . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Rais Macron atangaza baraza jipya la Mawaziri

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, litakaloongozwa na Waziri Mkuu Sébastien Lecornu.Hatua hii inakuja, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 6, 2025

Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Sebastien Lecornu ajiuzulu

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekubali hatua ya Waziri wake Mkuu Sebastien Lecornu kutangaza kujiuzulu saa chache baada ya kulitaja bara . . .

Marathoni
  • Na Nattyebrandy
  • October 5, 2025

YAS WAIPAMBA LAKE VICTORIA MARATHON MSIMU WA 5

Kama wasemavyo kila hatua mixx  ndivyo mtandao unaoongoza Tanzania nzima kwa 4G na 5G iliyoenea kila kona wamefanikiwa kuigusa kil . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Yatambue Mambo Sita Yasiyopaswa Kufanywa Wakati Wa Ujauzito

Kuna mambo mengi yasiyopaswa kufanywa na mjamzito na leo tutadodosa kwa pamoja  kama ifuatavyo:Kunywa PombeMwanamke mjamzito hapaswi ku . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • October 4, 2025

Ibrahim Bacca Afungiwa na TFF Mechi 5 kwa kucheza Rafu Mbaya

Shirikisho la Soka nchini (TFF) limemchukulia hatua kali mchezaji wa Young Africans, Ibrahim Abdullah, baada ya kumpiga rafu mbaya mchezaji . . .

Kurasa 17 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category