Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Mbeya ambapo asubuhi ya leo umeingia katika Jiji la Mbeya Halmashauri ya mwisho kukimbizwa mw . . .
Mratibu wa Mradi wa BOOST kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Ally Swalehe amesema Programu ya BOOST imeendelea kuleta matokeo makubwa katika kubo . . .
Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutekeleza mikakati ya kuhakikisha . . .
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Balozi Mobhare Matinyi Oktoba 9 mwaka huu aliongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Biashara kati . . .
Wizara ya Kilimo imeendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za kisasa katika uzalishaji wa mazao ikitoa mafunzo ya urushaji wa ndege nyuki . . .
Pingamizi lililowekwa siku ya Ijumaa na upande wa Jamhuri kuhusiana na maombi ya mshtakiwa Tundu Lissu ambaye amekuwa akijitetea . . .
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu amepandishwa kizimbani asubuhi hii ya leo Oktoba 13 mwaka huu katik . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa amesema Michezo ni ajira uchumi . . .
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inaendelea na utekelezaji wa ujenzi wa miradi 13 ya dharura katika mkoa wa Lindi amb . . .
Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mrefu wenye hisia kali kupitia ukurasa wak . . .
Wanajeshi 15 wa Pakistan wameuawa katika mapigano makali kati ya vikosi vya Taliban na jeshi la Pakistan karibu na mpaka wa Durand, baada ya . . .
Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Oktoba 14, 2025 amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DA . . .
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Songea Damian Dallu aatangaza kuhusu tukio la kutoweka kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la . . .
Ufunguo wa maisha ya kila mmoja wetu yanapatikana kwa njia ya utulivu na uwiano uliopo katika kutunza afya ya akili kwa umakini na uangalizi . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia kijana aitwaye Piere Saimoni (20) mkazi wa Nzuguni B kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya u . . .
Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekabidhi Vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya U . . .
WIZARA ya Maliasili na Utalii imeweka mikakati madhubuti katika utekelezaji wa Sera mpya ya Misitu na Ufugaji Nyuki ili kuimarisha usimamizi . . .
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkat. Batilda Burian amewataka Viongozi wa Vijiji na Kata kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya kuhakikis . . .
KIONGOZI wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka, amejipata tena katika hali tata ya kisiasa anapojiandaa ama kuwania urais au kuamua ni nani at . . .
HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) imejipata katika hali ngumu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wanaofika kwa wingi, hasa ku . . .
MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman Kihamba maarufu kama Aggy Baby ameendelea kusisitiza kuwa mrembo wa mitandaoni Poshqueeen hajaolewa, a . . .
Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua mjada . . .
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeruhusu uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, uliopo mkoani Tabora, kutumika kwa michezo ya Ligi baada . . .
Rais wa Peru Dina Boluarte ametimuliwa usiku wa Alhamisi, Oktoba 9, kuamkia Ijumaa, Oktoba 10, kwa kura nyingi za wabugne, kufuatia hoja kad . . .
Kampeni za uchaguzi nchini Côte d'Ivoire zinaanza leo Ijumaa, Oktoba 10. Uchaguzi wa urais utafanyika Jumamosi, Oktoba 25. Kabla ya hapo, k . . .
Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe (graphite) uliofanywa na . . .
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Juma Mkomi amewakumbusha Watumishi wa Umma kupitia Vyombo mbalimbali vya Habar . . .
Mkurugenzi wa Mashtaka, Bw. Sylvester Mwakitalu amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kudumisha nidhamu kwa kufuata taratibu k . . .
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Mary Maganga,ametembelea mabanda ya vijana katika Maadhimisho . . .
Uwekezaji uliofanywa na serikali ndani na nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia 7 hadi kufikia Sh92.29 trilioni Juni 30 mwaka huu kutoka Sh86 . . .
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa soko la Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu umechelew . . .
Serikali ya Tanzania imesema itafanya mazungumzo na Serikali ya Marekani kuhusiana na utaratibu uliowekwa kwa Tanzania na nchi zingine za Af . . .
WATAALAMU kutoka taasisi mbalimbali za serikali wamefanya kikao cha kujadili mikakati ya kudhibiti utoroshaji wa madini nchini, chini ya uon . . .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Rais Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya sekta ya . . .
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa V . . .
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likibainisha kuwa mwongozo wa kupima na kuthibitisha jinsia za wachezaji wa kike uta . . .
Waziri wa Nigeria wa Ubunifu Sayansi na Teknolojia Uche Nnaji amejiondoa madarakani siku chache baada ya kuibuka kwa madai ya kw . . .
Mshambuliaji nyota wa Ureno na klabu ya Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, ametajwa kuwa mchezaji wa kwanza wa soka kufikia hadhi ya bilionea, kwa . . .
Wanaharakati sita wa Afrika Kusini waliokamatwa na Israel walipokuwa wakijaribu kufika Gaza kupitia msafara wa misaada wamesema walite . . .
Shirika la Posta Tanzania limetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya W . . .