Chama tawala cha Moldova na kinachounga mkono Umoja wa Ulaya kinaongoza kwenye uchaguzi wa bunge hii ikiwa ni kulingana na kura ambazo tayar . . .
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi miradi mikubwa ya mae . . .
Mfanyabiashara na staa maarufu wa Afrika, Zari The Bosslady, amethibitisha kuwa amepata ajali ya gari akiwa ndani ya Range Rover&n . . .
Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na uko . . .
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya ana . . .
Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeoneka . . .
Liverpool na Manchester United wanatazamiwa kushindania usajili wa pauni milioni 65 wa mlinzi wa Everton mwenye umri wa miaka 23 wa Uingerez . . .
Maafisa wa upelelezi wanapigwa darubini vikali kwa kushindwa kumkamata mshukiwa hata mmoja kuhusiana na mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbobu, . . .
KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Tuzo za Uhifadhi na Utalii maarufu kama Serengeti Awards zitafanyika . . .
Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran vimerejeshwa rasmi siku ya Jumapili, Septemba 29 usiku wa manane, kufuatia kushindwa kwa mazungum . . .
MGOMBEA Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema serikali yake haitataka wakuu wa Wilaya na wakuu wa mikoa 'macha . . .
WAKAZI 1,022 wa vijiji vya Butibu na Igunda Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga, wamepatiwa hati miliki za kimila ili kuimarisha umiliki . . .
Msanii chipukizi wa muziki duniani, D4vd, amejikuta katikati ya tuhuma nzito baada ya kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana . . .
Mamlaka za nchi 14 barani Afrika zawakamata watu 260 katika msako mkubwa dhidi ya uhalifu wa kimtandao unaohusisha utapeli wa kimapenzi. Ope . . .
Maji ni msingi wa afya ya mwili. Yana jukumu la kusafisha sumu mwilini, kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kulinda afya ya ngozi, kudhibiti p . . .
Kuelekea uchaguzi mkuu oktobar 29 mwaka huu Jeshi la Polisi wilaya ya Arusha kwa kushirikiana na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), limetoa mafun . . .
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Amir Mkalipa amewataka Wananchi kujitokeza kushiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika mnamo Oktoba 29 mwaka hu . . .
Klabu ya Simba SC haitaruhusiwa kuwa na mashabiki kwenye mchezo wake wa pili dhidi ya Gaborone United baada ya CAF kukataa rufaa yao ya kupi . . .
Waandamanaji 33 waliouawa wakati wa maandamano ya kupinga ufisadi nchini Nepal mwezi huu wanasemekana kupigwa na risasi za moja kwa moja zil . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Kuu Dodoma) imetoa kibali kwa Chama cha ACT Wazalendo na Ndugu Luhaga Joelson Mpina kufungua shauri la kup . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inalaani kuibuka upya kwa ukiukwaji wa sheria za . . .
Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mara Septemba 25 mwaka huu imeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala mbalimbali ya ki- u . . .
Madaktari bingwa na wataalamu wa afya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa-Bugando kwa kushirikiana na Zahanati ya Polisi Mabatini, wa . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Loveness Daniel Kisile (30), mkazi wa mtaa wa Temeke kata ya Mhandu wilayani Nyamagana kwa kosa . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje, ikiwemo dawa na malori.Ametangaza kuongeza ushuru . . .
MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino amemlaumu Kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa masaibu yake ya kisiasa huku akisema kuwa sasa anaji . . .
Rais mstaafu wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kula njama y . . .
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapiga kura leo Ijumaa asubuhi juu ya azimio la kuchelewesha kurejeshwa kwa vikwazo vya kimataifa dh . . .
Serikali ya Madagascar, kisiwa kilicho katika Bahari ya Hindi, siku ya Alhamisi kimetangaza marufuku ya kutotoka nje usiku kufuatia maandama . . .
Donald Trump amebainisha siku ya Alhamisi, Julai 25, kwamba "hataruhusu Israel kutwaa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu," hatua iliy . . .
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Samia Hassan Suluhu ameahidi Bilioni mia mbili (200) kwa wafanyabiashara wadogo wadogo Nch . . .
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi . . .
Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imewaidhinisha Rais Yoweri Museveni na kiongozi wa upinzani Bobi Wine kugombea katika uchaguzi wa 2026 nchini . . .
Hatima ya kesi ya rufaa waliyoikata Nyundo na wenzake watatu ya kupinga kifungo cha maisha gerezani itajulikana leo Septemba 25 mwaka huu ka . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Meena amesema kuwa Kongamano la Kisayansi la Chama cha Wataalam wa Sekta za Mifugo na Uvuvi . . .
Mtoto wa Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi . . .
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Rushwa na Uhujumu Uchumi, imemhukumu Hemed Juma Mrisho maarufu kwa jina la “Horohoro” kifungo cha . . .
Ufaransa iko tayari kuunda ndege ya kivita ya siku za usoni ikiwa peke yake ikiwa mazungumzo na Berlin na Madrid yatashindwa kuhusu mradi wa . . .
Nchini Uganda, sasa inajulikana Yoweri Museveni atapambana na nani katika uchaguzi wa urais wa mwezi Januari 2026. Katika taarifa iliyotolew . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubali kuanza kutekeleza hatua za kiusalama chini ya makubaliano yaliyoidhinishwa na Marekani . . .