logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 16, 2025

Trump amezungumza na Zelensky pamoja na viongozi wa Ulaya

Rais wa Marekani Donald Trump alikuwa na mazungumzo ya njia ya simu mapema Jumamosi na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky pamoja na vion . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 15, 2025

Mapya yaibuka mwili uliodaiwa kuzuiwa mochwari

Sakata la ndugu wa marehemu, Mohamed Ally (20), mkazi wa Jiji la Arusha, mwili wake kudaiwa kuzuiwa kuchukuliwa na ndugu zake katika Hospita . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

China imeanza rasmi maonesho Michezo ya Roboti

China imeanza maonesho ya Michezo ya siku tatu kwa Roboti wenye umbo la binadamu, ikilenga kuonesha maendeleo katika teknolojia ya akili ban . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Upatikanaji mikopo nchini waongezeka kupitia mfuko wa SELF

Mfuko wa SELF ulio chini ya Wizara ya Fedha umefanikiwa kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Shilingi bilioni 196.9 kuanzia 2021 hadi Juni 30, . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Mgombea urais UPD ataja kipaumbele cha kuwainua wananchi wanyonge kiuchumi

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid, akiambatana na mgo . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Ubwabwa wa Chaumma wazua jipya Same

Vijana wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wameeleza kuwa wapo radhi kutoa kadi zao za kupiga kura kwa . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • August 15, 2025

Wadau wa Afya watakiwa kushirikiana na Serikali kuboresha huduma za lishe

Wadau wa Sekta ya Afya wametakiwa kushirikiana na Serikali ili kuboresha huduma za lishe kwa kuwekeza kwenye upatikanaji wa mashine za urutu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • August 15, 2025

MGOMBEA URAIS WA SHIRIKISHO LA RIADHA TANZANIA ASISITIZA USIMAMIZI WA KATIBA NA USHIRIKIANO NA WADAU

Mgombea urais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Nsolo Malongo Mlozi, amesema kuwa endapo atachaguliwa kushika wadhifa huo, atahakikisha anas . . .

Afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Wimbi la ghasia lazuka Embu biashara za mamilioni ya pesa zikichomwa

SERIKALI imetuma kikosi maalum cha wapelelezi mjini Siakago, Kaunti ya Embu, kufuatia wingu la visa vya ghasia ambavyo vimesababisha mali ye . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Juba yakanusha kuwapokea Wapalestina

WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel kuhusu kuwapokea Wapalestina kutoka en . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Watu 40 wapoteza maisha Darfur

DARFUR, SUDAN : SHIRIKA la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa takriban watu 40 wamefariki dunia katika eneo la Darfur, Sudan, k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

ADC kulea watoto, kufuta madeni wadaiwa Bodi ya Mikopo

MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya chama cha Alliance For Democratic Change (ADC), Wilson Mulumbe amesema endapo atapewa ridhaa ya kuiongoza nc . . .

Top Story
  • Na Baba Juti
  • August 14, 2025

Atupwa Jela Kwa Kuwatapeli Wanawake Wanne Kwa Njia Ya Mapenzi

Kijana mmoja raia wa Uingereza amejikuta akitupwa Jela kwa kosa utapeli kupitia mahusiano ya kimapenzi ili kujipatia kiasi kikubwa cha . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Mtunzi wa nyimbo za Chadema afariki dunia

Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za mbalimbali za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ikiwemo ya ‘Tundu Lissu wapeleke mcha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Wajumbe UWT geita kizimbani kwa tuhuma za kupokea rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Sudan Kusini yakanusha mapokezi ya Wapalestina

WIZARA ya Mambo ya Nje ya Sudan Kusini imekanusha ripoti zinazodai kuwa imefanya mazungumzo na Israel kuhusu kuwapokea Wapalestina kutoka en . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Rais wa Marekani amtaka Putin kusitisha mapigano

RAIS wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali dhidi ya Rais wa Urusi Vladimir Putin endapo hatokubaliana kumaliza vita vinavyo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Brazil yazindua mpango kuyaunga mkono makampuni yaliyoathiriwa na ushuru

SERIKALI ya Brazil imezindua mpango wa kuyaunga mkono makampuni ya ndani yaliyoathiriwa na ushuru wa asilimia 50 uliotangazwa na Rais wa Mar . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Hofu Baada ya Miili Inayooza ya Wanawake Wawili Kupatikana Imetupwa Kwenye Mto

Wakazi wa kijiji cha Majimbo, kaunti ya Embu, waliachwa na butwaa baada ya kugunduliwa kwa miili ya wanawake wawili wasiojulikana kwenye kij . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Gachagua akatiza ziara yake ya miezi 2 Amerika kushirika kampeni za chaguzi ndogo

ALIYEKUWA Naibu Rais Rigathi Gachagua amekatiza ziara yake nchini Amerika ili arejee nyumbani kujishughulisha na kampeni za chaguzi ndogo zi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Rais Samia atunikiwa tuzo ya kimataifa kinara huduma ya maji

Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Rais ya Kimataifa ya Wabunifu wa Mabadiliko katika Sekta ya Maji 2025 (Presidential Global Wate . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Wanne waokolewa na mmoja kufariki mgodi wa Shinyanga

Vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kuokoa Wachimbaji wanne kati ya 25 wafukiwa na kifusi Agost 11 Mwaka huu wakati watengenza Maduara katika Mg . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Watu kadhaa wauawa katika mashambulizi dhidi ya wanaounga mkono jeshi Al-Jazeera

Shambulizi la ndege zisizo na rubani limelenga mji wa Tambul, kusini mashariki mwa Khartoum, siku ya Jumatano, Agosti 13, 2025, wakati shere . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • August 14, 2025

Constant Mutamba kufungwa miaka 13 jela

Kesi hiyo, iliyoanza mwezi mmoja uliopita dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba, anayetuhumiwa kujaribu kutakatisha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo kutumikia miaka 10 jera

Kesi iliyoanza mwezi mmoja uliopita dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Sheria wa Kongo Constant Mutamba, anayetuhumiwa kujaribu kutakatisha karibu . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 14, 2025

Jera maisha kwa kumlawiti mwanafunzi wa miaka minne

Mahakama ya Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha imemhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Bw. Samwel Sosteness (20) mfanyakazi za ndani, mkazi w . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Maelezo ya mashahidi wa Lissu kusomwa August 18

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anatarajiwa kusomewa maelezo ya mashahidi Agosti 18 mwaka huu katika kesi  ya uhaini inayomkabili nd . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Samandito Gombo achukua fomu kuwania nafasi ya urais kupitia CUF

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Hu . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • August 13, 2025

MADEE: "Watu Wanadai Tunajipendekeza Kwa Rais na CCM"

Msanii wa Bongo Fleva, Madee, amewaomba watanzania hususani mashabiki wao kutambua kuwa wao kama wasanii pia wana haki ya msingi kuone . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Kabwe yaibuka kidedea mchakato wa kura Jimbo la Kigoma Mjini za maoni

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyik . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Putin na Trump kukutana Alaska wiki hii

VIONGOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) wamemuomba Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhakikisha usalama wao katika mkutano wa kilele na Rais wa Urusi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Upande wa Jamhuri kuomba kesi ya Lissu isirushwe live

Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuzuia urushaji wa moja kwa moja wa mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mweny . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Tani 18.5 za madawa ya kulevya zakamatwa na DCEA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata Shehena kubwa ya dawa mpya ya Kulevya aina ya Mitragyna speciosa, yeny . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Mchango wa harambee CCM yavuna billion 86. 31

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuchangisha jumla ya shilingi Bilioni 86.31 katika harambee ya kuchangia kampeni za uchaguzi mkuu wa . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • August 13, 2025

Hatima ya kesi ya Lissu kuamuliwa leo na hakimu Kiswaga

Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Kesi hiyo . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • August 12, 2025

RAPA EVE: “RAP YA U.K. SASA IMEJIPATA”

Rapa maarufu Eve ameweka wazi mtazamo wake kuhusu mabadiliko ya muziki wa rap nchini Uingereza, akisema kuwa kwa sasa rap ya U.K. imejipata . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • August 12, 2025

DK. BALAFU AACHIA LYRICS VIDEO YA “NEVER SELL MY SOUL”

Msanii anayechipukia kwa kasi, Dk. Balafu, ameendelea kutikisa anga ya muziki baada ya kuachia lyrics video ya wimbo wake mpya “Never Sell . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • August 12, 2025

Ukraine inastahili kuamua yenyewe kuhusu mstakabali wake

Viongozi kutoka katika mataifa ya Umoja wa Ulaya wamesisitizia haki ya raia wa Ukraine kuamua wenyewe kuhusiana na masuala ya mustakabali wa . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 12, 2025

Kura za maoni kupigwa upya jimbo la Kongwa

Mchakato wa kura za maoni katika Jimbo la Kongwa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kufanyika upya Agosti 17 mwaka huu kufuatia k . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • August 12, 2025

Yustas Mbatina aahidi kuleta matibabu bure kwa wote

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina akiwa ameambatana na Mgombea mwenza wake Amana Mzee . . .

Kurasa 30 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category