Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la . . .
MAGONJWA ya moyo (CHD), kiharusi na ya mapafu, yamesalia kuwa kiini kikuu cha vifo duniani kote kwa miaka minne iliyopita, kulingana na ucha . . .
Mwanamitindo na sosholaiti maarufu kutoka Kenya, Vera Sidika, anayejulikana kwa jina la utani kama Vee Beiby, ameibuka upya na kuteka mitand . . .
Mwanamuziki nguli wa Rock na Heavy Metal, Ozzy Osbourne, maarufu kama ‘Prince of Darkness’, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. T . . .
Klabu ya Arsenal mbioni kufanikisha azma yake ya muda mrefu, ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari kutoka Sweden, Viktor Gyökeres, . . .
Klabu ya ES Sétif ya Algeria imethibitisha kumsajili rasmi aliyekuwa winga wa Azam FC, Gibril Sillah (26), raia wa Gambia, kwa mkataba wa m . . .
Mpango wowote wa chama cha Labour nchini Uingereza Kupunguza misaada ya nje kutaathiri elimu ya watoto na kuongeza hatari ya magonjwa na vif . . .
Rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila ameripotiwa kupinga mkataba wa uchimbaji madini kati ya DRC na Marekani baada ya Washington, kufanikish . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Bandari kavu ya Kwala na safari za ubebaji wa mizigo kwa kutumia treni ya mwendokasi ya SGR kw . . .
Watu 125 wanatuhumiwa kuhusika na makosa mbalimbali wakiwemo wenye makosa ya kutumia dawa za kulevya na kusambaza,pamoja na wizi wa mali mba . . .
Ujerumani imewarudisha kwao raia 43 wa Iraq julai 22 mwaka huu wakisafirishwa kwa ndege ya kukodi iliyokuwa ikielekea BaghdadNdege hiyo ikiw . . .
Jeshi la Mali na kundi la mamluki wa Urusi, Wagner, waliwaua makumi ya watu wa kabila la Fulani mwanzoni mwa mwaka huu wakati wa operesheni . . .
Nchini Nigeria, watu zaidi ya Milioni 3 na laki 7 wanakabiliwa na baa la njaa kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu, hasa k . . .
ASILIMIA 30 ya wanafunzi wa Gredi ya Sita wanaosomea katika shule za umma nchini hawawezi kusoma kitabu cha Kiingereza cha kiwango cha Gredi . . .
SERIKALI imewafungulia mashtaka yanayohusiana na ugaidi vijana saba waliokamatwa Kaunti ya Machakos wakati wa maandamano ya Saba Saba mwanzo . . .
Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiwemo wastaafu, pamoja na wananchi wa Kata ya Lupaso wilayani Masasi mkoani Mtwara wamejitokeza kwenye Iba . . .
SERIKALI kupitia Mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika Mkoa wa Lindi imetoa Sh bilioni 31.716 kwa ajili ya ujenzi wa miundom . . .
Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kubadili ratiba ya vikao vyake vya uteuzi wa watiania wa ubunge na uwakilishi, kimetoa ratiba mpya ya vi . . .
Rais wa sasa wa Marekani Donald Trump amemshutumu Rais wa zamani Barack Obama kwa ‘uhaini’ akidai alipanga kuhujumu muhula wake wa kwanz . . .
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya nchini Kenya, Colonel Mustapha ameweka wazi kuwa moja kati ya vitu ambavyo anavijutia mpaka hivi sasa, ni . . .
Stephen Bertrand Munyakho, Mkenya ambaye alikuwa akikabiliwa na hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia, sasa ameachiliwa rasmi kutoka kizuizini. . . .
Jaji wa Mahakama ya Juu ya Brazili amewapa mawakili wa Jair Bolsonaro saa 24 kueleza "kutofuata" kwao marufuku ya rais huyo wa zamani kutumi . . .
Idadi ya vifo kutokana na ajali ya ajali ya ndege ya kivita ya Jeshi la Wanahewa la Bangladesh katika shule huko Dhaka Jumatatu, Julai 21, i . . .
Jeshi la Israel limevamia maghala na majengo mengine ya Shirika la Afya Duniani, WHO, katika Ukanda wa Gaza wakati ikiendesha operesheni zak . . .
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Taasisi ya WIOMSA (West Indian Ocean Marine Science As . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limetekeleza operesheni ya mafanikio usiku wa tarehe 22 Julai 2025 kwa kukamata boti aina ya fibre, rangi nyeu . . .
Tanzania na Canada zimekubaliana kuendelea kushirikiana katika kuimarisha sekta ya elimu ya ualimu, ufundi na mafunzo ya ufundi stadi, kupit . . .
Mtu mmoja Mkazi wa Mtaa wa Kusenha Kata ya Matumbulu jijini Dodoma ajulikanaye kama Frank Sanga (33) ameuawa kwa kupigwa risasi na askari po . . .
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro amesema hakuna msingi wa kisheria wa kuzuia uchaguzi kwa kutumia kauli y . . .
Kesi ya Kikatiba nambari 16408 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na Dinali Mbaga na wenzake 51 ambao ni waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glo . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Julai 21, 2025 aliwasili nchini Belarus kwaajili kuanza ziara yake ya kikazi nchini humo Kwenye Uwanja wa Ndege . . .
Takriban watu 27 wamefariki baada ya ndege ya mafunzo ya Jeshi la Anga la Bangladesh kuanguka katika chuo huko Dhaka kutokana na taarifa ili . . .
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemvua wadhifa wake Waziri wa Elimu ya Juu, Nobuhle Nkabane, kufuatia tuhuma nzito za utovu wa nidh . . .
Klabu ya Yanga SC imethibitisha rasmi kumuongezea kiungo wao mahiri, Mudathir Yahya, mkataba mpya wa miaka miwili ikiwa hatua hiyo inamaanis . . .
Jeshi la polisi Mkoani Tanga, linafanya uchunguzi na kuwasaka watu waliohusika katika tukio la kufukua kaburi na kuondoka na kichwa cha mare . . .
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetaja mikoa zaidi ya 20 ikiwemo visiwa vya Unguja na Pemba itakayokuwa na hali ya ukavu na baadhi k . . .
Uchaguzi wa Madiwani wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Morogoro Mjini limehitimishwa kwa amani, huku baadhi ya vig . . .
Watu 568 wameokolewa baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona 5 kuungua kwa moto baharini nchini Indonesia, ambapo watu watatu wamethibitishw . . .
Mamlaka ya mawasiliano nchini Sudan, imesema mwishoni mwa juma hili kuwa itazuia upigaji wa simu na video kupitia mtandao wa WhatsApp, zikis . . .
Baada ya kudumu katika klabu ya Simba kwa kipindi cha miaka 11 captain Mohamed Hussein Zimbwe Jr amewaaga Rasmi mashabiki wanachama na . . .