logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Burudani
  • Na Baba Juti
  • July 28, 2025

ENOCK BELLA : "Wengi Hawakutaka Niwe Karibu na Mbosso"

Msanii wa Bongo Fleva Enock Bella yuko nchini Kenya kwa shughuli za kimuziki kuhakikisha anaongeza wigo mkubwa katika soko la muziki wake . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

Mil 100 zatolewa maandalizi ya nanenane

 BENKI ya NMB imeikabidhi Wizara ya Kilimo Sh milioni 100 kusaidia maandalizi ya Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kwa j . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

Serikali yahimiza kubadili mtindo wa maisha kuzuia vifo

SERIKALI imesema asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika kama Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha baada ya serikali kukusany . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

CCM yahimiza ushirikiano vyama vya ukombozi

 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kukuza ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika.Waziri Mkuu Mst . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

CCM masikio Kamati Kuu leo uteuzi wa wagombea

 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kuteua wanachama wa chama hicho walioomba kugombea ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilish . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2025

Dkt. Samia aweka rekodi mpya CCM

Katika historia ya siasa za Tanzania, Julai 26, 2025 inabaki kuwa siku ya kipekee. Siku ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliandika ukurasa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 27, 2025

DC Msando aonya mikusanyiko isiyo rasmi waumini wa Gwajima

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, ametoa kauli kuhusu uvumi wa kufungwa kwa ukumbi wa Tanzanite ulioko Kimara Korogwe,Dar es Salaam, . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 27, 2025

Jonathan Sowah Ajiunga Rasmi na Simba Kutoka Singida Black Stars

Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha rasmi kuondoka kwa mshambuliaji wao nyota, Jonathan Sowah, raia wa Ghana, ambaye amejiunga na Sim . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 25, 2025

TEKETEZA NI BALAA JIPYA MJINI KEVIN CASH NA JAIVA

Msanii wa kizazi kipya Kevin Peter Stanley maarufu kama Kevin Cash ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la #teketeza akiwa amemshiri . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 25, 2025

Ukraine yaiomba Marekani mifumo 10 mipya ya ulinzi wa anga ya Patriot

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema kuwa ameiomba Marekani kuipatia mifumo kumi zaidi ya ulinzi wa anga ya Patriot na tayari imeweza . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 25, 2025

Rais wa Ufaransa na Mkewe Wafungua Kesi ya Uchafuzi wa Jina Dhidi ya Candace Owens

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, na mkewe Brigitte Macron, wamefungua kesi ya madai ya uchafuzi wa jina dhidi ya mtangazaji maarufu wa Mar . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • July 25, 2025

JAMII YATAKIWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UKIMWI

Katika kuhakikisha jitihada za kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (HIV), kuondoa unyanyapaa, na kupunguza vifo kufikia mwaka 20 . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Kuwashwa kwa mwenge wa mashujaa

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Jabir Shekimweri amesema tukio la uwashaji mwenge wa mashujaa katika maadhimishio ya Siku ya Mashujaa waliopi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

CCM kesho kufanya mkutano kwa njia ya mtandao

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kesho Julai 26 mwaka huu kutakuwa na Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vy . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Wakulima wa zao la kahawa kujengewa uwezo Kagera

SHIRIKA lisilo la kiserikali linaloshughulika na maswala ya kilimo cha mazao, Cafe Africa, linatarajia kuwajengea uwezo na kutoa huduma . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Samia kuongoza maadhimisho siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa leo

SERIKALI imetoa mwito kwa vyombo vya habari vishirikiane na serikali kuelimisha jamii kuhusu historia ya mashujaa.Naibu Waziri Mkuu na Wazir . . .

Mastaa
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Rapa maarufu kutoka Memphis, GloRilla avunja ukimya

Rapa maarufu kutoka Memphis, GloRilla, hatimaye amezungumza hadharani kufuatia kukamatwa kwake hivi karibuni kwa tuhuma za kumiliki dawa za . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Nyota wa mieleka Terry Gene Bollea maarufu kama Hulk Hogan afariki dunia

Nyota wa zamani wa mieleka, Terry Gene Bollea maarufu kama Hulk Hogan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71 kutokana na kushindwa kwa m . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Serikali Kenya yashindwa kumudu gharama za kufadhili elimu ya bure

SERIKALI ya Kenya imetangaza kushindwa kumudu gharama za kufadhili elilmu ya bure kwa shule za msingi na sekondari, hatua itakayoathiri mael . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mtoto wake mwenyewe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Alli Ibrahimu Malinda (30), mkazi wa Kijiji cha Ng’apa, baa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Iran watuhumiwa kurusha mabomu hatari Israel

Shirika la kutetea haki za binadamu duniani Amnesty International limetangaza kuwa Serikali ya Iran ilitumia mabomu ya vishada katika maeneo . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 25, 2025

Palestina kutambuliwa na Ufaransa kama taifa huru

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza kuwa Ufaransa itatambua rasmi Taifa la Palestina mwezi Septemba mwaka huu, katika kikao cha Ba . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • July 25, 2025

JUX NA PRISCILLA WAWEKA WAZI KUTARAJIA MTOTO, WASHEHEREKEA KWA WIMBO MPYA “THANK YOU”

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Jux, kwa mara nyingine amewashangaza mashabiki wake baada ya kuweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake   . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • July 25, 2025

LAHY UHN AACHIA WIMBO MPYA “IT’S AIIGHT” MUZIKI UNAOGUSA NAFSI.

Msanii Lahy Uhn ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa “It’s Aiight”, kazi inayobeba uhalisia wa maisha, hisia kali na ujumbe wa matu . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho Siku ya Mashujaa

Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Mashujaa yatakayofanyika Julai 25 mwaka huu . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Chaumma wananchi waibua maswali 'ulinzi wa kura wakati wa Uchaguzi '

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Katavi kimewatoa wasiwasi wananchi wa Kata ya Kakese, Manispaa ya Mpanda, kuhusu usalama wa kura . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2025

VITUO VYA KUPUNGUZA KASI YA MAFUTA KUJENGWA

Jumla ya vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi yanayotoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani- Tanga, vinatarajia kujengwa ili ku . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2025

MAADHIMISHO YA 10 YA SIKU YA MWANI ZANZIBAR

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Fatma Mbaruok Khamis amesema Serikali ina mpango wa kutengeneza chakula Cha kuku kupi . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • July 24, 2025

TANZANIA YAONESHA DHAMIRA YA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA RWANDA KUPITIA MKUTANO WA 16 WA JPC

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeonesha dhamira thabiti ya kuimarisha na kuendeleza ushirikiano na Jamhuri ya Rwanda kupitia Mkutano wa 16 . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2025

Albert Chalamila Achukizwa na Mwendokasi Kimara

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wanan . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 24, 2025

Waziri Mkuu amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

Waziri Mkuu alisema Belmedepreparaty ni kampuni sahihi kuja kuwekeza nchini kutokana na kutumia teknolojia ya kisasa ya kuzalisha bidhaa zen . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 24, 2025

Yanga Yatangaza Kuagana na Wachezaji Watano Nyota

Klabu ya Yanga imetangaza hatua kubwa ya mabadiliko ndani ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2025/2026, kwa kuthibitisha kuachana rasmi na wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Rais Ruto awataka viongozi kuwasirisha mpango kazi ili kuinua uchumi wa nchi

RAIS William Ruto amewataka viongozi wa upinzani wawasilishe mpango mbadala ambao wanao kuinua uchumi wa nchi badala ya kumwandama kisiasa n . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Mkosoaji wa serikali Kenya Vincent Kipsang atekwa nyara

KUTEKWA nyara kwa mkosoaji mkubwa wa serikali Vincent Kipsang, ambaye alijitangaza Mwenyekiti wa DCP Kaunti ya Baringo kumezua taharuki mjin . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Polisi yawatoa hofu wananchi kuhusu miili ya mabaki ya binadamu

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewatoa hofu wananchi kuhusu taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa maba . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

49 wafariki dunia kwenye ajali ya Ndege Urusi

Ndege ya abiria aina ya Antonov An-24 inayomilikiwa na shirika la ndege la Angara, imeanguka katika eneo la Amur, mashariki mwa Urusi karibu . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

RC Chalamila kutoridhishwa na Mabasi ya Mwendokasi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananch . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Klabu ya Yanga yamtambulisha Romain Folz kuwa kocha mkuu

Klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi Romain Folz kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa 2025–2026.Folz (35) mwenye lesen . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

Marcus Rashford apewa jezi namba 14 Barcelona

Marcus Rashford rasmi ni mchezaji wa Barcelona, na tayari amekabidhiwa jezi namba 14 namba yenye historia kubwa katika klabu hiyo, ikiwa ni . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 24, 2025

MV Tennesee yateketea kwa moto wawili wafariki Kigoma

Watu wawili wamefariki dunia baada ya meli ya MV Tennesee kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kushika moto usiku wa kuamkia leo ka . . .

Kurasa 35 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category