logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

Kijah Yunus wa clouds aongoza kwa kura vita maalum

Mchakato wa kuwapata wabunge viti maalumu kwa mkoa wa Lindi umetamatika baada ya mtangazaji wa Clouds Media, Kijakazi Yunus kushinda kwa kur . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 31, 2025

kitendo cha Lissu kusukumwa mahakamani chaibua gumzo kwa wafuasi wake

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani kwa hasira na huzuni kubwa kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekele . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • July 31, 2025

Kauli Ya Maua Sama Yazua Utata, Je Ni Kweli au Kuna Jambo Jipya?

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Maua Sama, amezua maswali kadhaa kwa mashabiki wake kuhusu kile alichokiandika katika ukurasa wake wa Instagra . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 30, 2025

Thailand yaishutumu Cambodia kwa 'ukiukaji mkubwa' wa kusitisha mapigano

Thailand imeishutumu Cambodia leo Jumatano, Julai 30, kwa "ukiukaji wa wazi" wa usitishaji mapigano uliotekelezwa kati ya nchi hizo mbili ji . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Kesi ya Lissu kuamuliwa na hakimu Kiswaga Agost 13

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Agosti 13, 2025 kutoa uamuzi juu ya hoja zilizoibuliwa baina ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • July 30, 2025

faida zitokanazo na utumiaji wa limao na ndimu kilishe na kiafya

Kusaidia uwiano sahihi wa pH ya mwili kuuwezesha kufanya shughuli mbalimbali.Ina vitamin C na kemikali mimea ambayo husaidia kutibu mafua na . . .

Bungeni
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Rais Samia ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, mwaka huu, kutoa nafasi ya uteuzi wa wagombea wa nafasi hiyo.Taarifa ya . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • July 30, 2025

Wakorea wawanoa wanafunzi ATC Akili Unde

RAIA wa Jamhuri ya Korea Kusini, wametoa mafunzo ya matumizi ya Akili Unde (AI) kwa wanafunzi 50 wa Uhandisi wa Chuo cha Ufundi cha Arusha ( . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 30, 2025

Mmomonyoko wa maadili chanzo kukithiri rushwa serikalini

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Crispin Chalamila, amesema kuwa kukosekana kwa maadili katika ngazi y . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 30, 2025

Trump Amkosoa Netanyahu Kuhusu Njaa Gaza, “Watoto Wanaonekana Wenye Njaa”

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hakubaliani na kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kwamba hakuna njaa huko Gaza. Aki . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Kituo cha EALC kuzinduliwa Agosti mosi

Leo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, amefanya mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Johari Rotana, amb . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 30, 2025

Wanajeshi 3 wameuawa katika shambulio la Urusi kwenye kambi ya mafunzo

Wanajeshi wasiopunguwa watatu wa Ukraine wameuawa na kumi na wanane kujeruhiwa katika shambulio la Urusi siku ya Jumanne, Julai 29, dhidi ya . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Rais azindua kiwanda cha uchenjuaji madini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amezindua rasmi kiwanda kikubwa zaidi cha uchenjuaji wa ma . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Mjadala wa Urusi warudi upya

RAIS wa Ivory Coast, Alassane Ouattara, ametangaza rasmi nia ya kuwania tena urais kwa muhula wa nne katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufan . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Vladimir Putin ameonyesha dhamira ya kutaka amani

SERIKALI ya Urusi imedai kuwa Rais Vladimir Putin ana dhamira ya kweli ya kupatikana kwa amani kati ya nchi yake na Ukraine, licha ya masham . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Hatua za haraka zaendelea kuchukuliwa Gaza

UJERUMANI , Ufaransa na Uingereza zinapanga kuwatuma mawaziri wao wa mambo ya nje katika Ukanda wa Gaza wiki ijayo, ikiwa ni juhudi za kushi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Biashara 15 zapigwa marufuku kufanywa na wageni

SERIKALI imetoa amri ya katazo la wasio raia wa Tanzania kufanya biashara za aina 15 smri hiyo imechapishwa Julai 28, mwaka huu katika Gazet . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Serikali kuboresha utaratibu watumishi wa umma kupandishwa daraja

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Moses Kusiluka amesema serikali inaboresha utaratibu wa utumishi wa umma kwamba ili mtumishi apande daraja a . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Tetemeko la ardhi latokea Urusi

TETEMEKO kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.7 kwenye kipimo cha Richter limeripotiwa mapema leo nchini Urusi katika Rasi ya Kamchatka, na kusa . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • July 30, 2025

Ombi La Baba Levo Baada ya "Kutoboa" Sita Bora

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baba Levo ametoa ombi lake kubwa kwa wasanii mbali mbali hapa nchini baada ya jina lake kupitishwa kati y . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 30, 2025

Kesi ya Lissu kupangiwa tarehe nyingine hadi Agosti 13

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, ameahirisha kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tun . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • July 30, 2025

Katy Perry Kwenye Penzi Jipya na Waziri Mkuu Mstaafu

MSANII wa Muziki wa Popnchini Marekani, Katty Perry, hatimaye “amezama” katika penzi jipya na Waziri Mkuu mstaafu wa Canada, Justin Tr . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • July 29, 2025

Aliyedai kuwa ni Mtoto wa Jay Z afuta Mashitaka

SAKATA la Rapa Jay Z na Kijana anayedai kuwa ni Mtoto wake halali hatimaye limefikia ukumbini baada ya Kijana huyo kuiomba mahakama kufuti . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

ACTIF yatakiwa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji

Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) limetakiwa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaj . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

Walioteuliwa Chemba, Kondoa Mjini, Vijijini, Mpwapwa,Dodoma, Mtumba watajwa

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewataja Funti Majala, Amina Bakari, Hamis Mkotya, Juma Nkamia, . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina awekwa kando uteuzi CCM

Mbunge wa Kisesa mkoani Simiyu, Luhaga Mpina ni miongoni mwa watiania wa ubunge CCM ambao majina yao si miongoni mwa yaliyopitishwa na Kamat . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

Aliyekuwa mkuu wa mkoa Arusha, Paul Makonda na wengine sita kuwania ubunge CCM Jimbo la Arusha Mjini.

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imepitisha rasmi jina la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

Salim Kikeke miongoni mwa wagombea ubunge Jimbo la Moshi Vijijini.

Katika taarifa rasmi iliyotolewa leo Julai 29 mwaka huu katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu jijini Dodoma imeelezwa kuwa w . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

Maagizo sita (6) yatolewa kwa Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka ametoa maagizo sita (6) kwa Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma yenye lengo la kuongeza ufani . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

CCM yatangaza rasmi majina ya wagombea katika nafasi mbalimbali

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, imepitisha rasmi majina ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi, ikiwe . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

watumishi Ofisi ya Waziri Mkuu watakiwa kufanya kazi kwa bidii

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amewaasa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kufanya kazi kw . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 29, 2025

wanachama 11 wa CHADEMA wakamatwa na jeshi la polisi

Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 28, 2025

Tume ya Uchaguzi Cameroon yamzuia mpinzani wa Rais Biya

Tume ya uchaguzi ya Cameroon, ELECAM, imetangaza kuwa mwanasiasa wa upinzani Maurice Kamto amezuiliwa kushiriki katika kinyang'anyiro cha uc . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 28, 2025

Makubaliano kati ya M23 na serikali ya Congo kuanza kutekelezwa wiki hii

Makubaliano ya hivi karibuni ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, yana . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

Jaji Hamidu Mwanga agoma kujitoa kesi ya mgawanyo wa mali Chadema

Viongozi na wanachama wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Sa . . .

Mitandaoni
  • Na Baba Juti
  • July 28, 2025

Afungua Mashitaka Dhidi ya Wanandoa kwa Kutozwa Pesa ya Maji Harusini"

Mwanamke mmoja nchini Marekani ameamua kufungua mashitaka dhidi ya wanandoa wawili na waandaaji wa harusi aliyohudhuria kuwa kutokuifurahi . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

kundi la Al-Shabaab wafanya jaribio jingine la kuvamia kambi ya polisi GSU.

VIKOSI vya kulinda usalama msituni Boni, Kaunti ya Lamu, vimezidisha msako dhidi ya magaidi wanaohusishwa na kundi la Al-Shabaab, baada ya j . . .

Burudani
  • Na Baba Juti
  • July 28, 2025

MOCCO GENIUS : "Mnanipa Ufalme Wangu au Niuchukue Kwa Lazima?"

Msanii na Mtayarishaji wa Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania (Bongo Fleva), Mocco Genius amewauliza wadau na mashabiki wa muziki huo k . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

Watanzania wametakiwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango

WATANZANIA wametakiwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili kuiwezesha nchi kutekeleza kwa ufanisi malengo mahususi yaliyoainishwa katik . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 28, 2025

Wamiliki famasi watakiwa kuzingatia weledi ili kulinda afya za wananchi

MAMLAKA ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) imeonya wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kuacha uuzaji wa dawa ambazo haziruhusiwi kwa mujibu wa sheria . . .

Kurasa 34 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category