Uchaguzi wa Madiwani wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa Morogoro Mjini limehitimishwa kwa amani, huku baadhi ya vig . . .
Watu 568 wameokolewa baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona 5 kuungua kwa moto baharini nchini Indonesia, ambapo watu watatu wamethibitishw . . .
Mamlaka ya mawasiliano nchini Sudan, imesema mwishoni mwa juma hili kuwa itazuia upigaji wa simu na video kupitia mtandao wa WhatsApp, zikis . . .
Baada ya kudumu katika klabu ya Simba kwa kipindi cha miaka 11 captain Mohamed Hussein Zimbwe Jr amewaaga Rasmi mashabiki wanachama na . . .
Mtoto Ramin Ahmed mwenye umri wa miaka 3, aliyekuwa anaishi na wazazi wake eneo la Malabi, Kata ya Mpela mkoani Tabora, amepatikana akiwa am . . .
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetoa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo watumishi wapya 98 wa Kada ya Uhandisi, Fundi S . . .
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabaraza ya Habari Duniani (WAP . . .
Jeshi la Polisi nchini Kenya limewekwa kwenye mzingo wa shinikizo kutoka kwa familia, mashirika ya haki za binadamu na umma, baada ya kumkam . . .
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema kuwa anapinga vikali vitendo vya utekaji na kudai kuwa dada yake alitek . . .
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole @hpolepole ametoa wito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kutokuka . . .
Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za . . .
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imehusisha gari ya abiria lenye namba za usajili T 562 EBK aina y . . .
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imesema licha ya kwamba gharama za upimaji DNA nchini zinafikia hadi Tsh milioni moja lakini S . . .
Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC, wamepiga hatua nyingine kubwa kwenye dirisha la usajili baada ya kufanikiwa kumn . . .
Mwili wa aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kageme Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga Juliana Mkumbo (30) amek . . .
Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Rajabu Hamis (23), mkazi wa Mtaa wa Muheza, wilaya ya Kibaha, kwa tuhuma za kumuua baba yake mza . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imemuhukumu mfanyabiashara Abubakari Msangi (48), kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikan . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina . . .
KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26, Simba wamebainisha kuwa watafanya usajili mkubwa kupata timu imara ya ushindani kitaifa na kimataifa.Ipo waz . . .
Mahakama ya wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga imemuhukumu Saidi Omary Mtangi mkazi wa Maramba wilaya ya Mkinga kifungo cha miaka 60 jela m . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina . . .
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso chini ya Kapteni Ibrahim Traoré umevunjalia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji . . .
Mradi wa wa tenki la maji Dambia uliopo kata ya Bashay, Kijiji cha harsha Mkoani Manyara, wenye uwezo wa kuzalisha zaidi ya lita laki . . .
Katika tukio la kushangaza na kuzua gumzo mapema leo, viongozi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wamechukua rasmi ofisi iliyokuwa inam . . .
Watafiti kutoka chuo kikuu cha Flinders kilichopo nchini Australia, wamesema kuwa mawasiliano ya ishara kwa njia ya jicho, ndiyo njia sahi . . .
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania wote kujielekeza katika kutekeleza kwa vitendo Dira ya Taifa 2050 badala ya kuish . . .
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema zipo shabaha 18 za Dira ya Taifa ya mwaka 20250 ikiwemo Tanzania kuwa Mz . . .
Polisi nchini Uganda wanamshikilia mwanaume mmoja baada ya kukutwa na bomu la mkononi aina ya “guruneti” (Grenade) wakati wa uchaguzi . . .
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kuipokea kwa matumaini Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025–2050, akisema inaaki . . .
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amepongeza uzinduzi wa Dira 2050 akisema kuwa ni hatua kubwa katika historia ya maendele . . .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kuwa Tanzania ina uwezo wa kufikia uchumi wa kati wa juu i . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limekanusha vikali taarifa zinazoeleza kuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Kongowe, Wilaya ya Kibaha, alihusi . . .
Kinda mahiri wa FC Barcelona, Lamine Yamal, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu na klabu hiyo, ambao utamuweka Camp Nou hadi tarehe 30 Juni . . .
Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke, anayefahamika zaidi kwa jina la Davido, ameendelea kuthibitisha kuwa ni mmoj . . .
Nigeria iko chini ya shinikizo la kidiplomasia kutoka Marekani na Falme za Kiarabu, ambazo zimeweka vikwazo vikali kwa upataji visa kwa raia . . .
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo . . .
SERIKALI imeonya kwamba haitamvumilia mfanyabiashara yeyote atakayeuza au kusambaza dawa bandia au vifaatiba duni kwa wananchi.Mkuu wa Mkoa . . .
Watu sita akiwemo mama na watoto wake wanne kutoka Bulapesa, Isiolo, walifariki kwa kuchomeka hadi kutotambulika, huku nyumba mbili zikiteke . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Julai 17, 2025 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwet . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyoto . . .