WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetoa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo watumishi wapya 98 wa Kada ya Uhandisi, Fundi Sanifu, Maofisa Hesabu, Wachumi pamoja na Ununuzi na Ugavi.Ma . . .
Watu watatu wamefariki dunia na wengine 6 wamejeruhiwa katika ajali ambayo imehusisha gari ya abiria lenye namba za usajili T 562 EBK aina ya Fuso Mini Bus inayomilikiwa na Khatibu Kihwelo likiendeshw . . .
Mwili wa aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kageme Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga Juliana Mkumbo (30) amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake,baada ya kutoonek . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la Christina Hezroni Polepole Kinyangazi, mwenye umri wa mi . . .
Mahakama ya wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga imemuhukumu Saidi Omary Mtangi mkazi wa Maramba wilaya ya Mkinga kifungo cha miaka 60 jela mara baada ya kukutwa na hatia ya kubaka na kulawiti watoto w . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la Christina Hezroni Polepole Kinyangazi, mwenye umri wa mi . . .
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Watanzania kuipokea kwa matumaini Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025–2050, akisema inaakisi kwa kina dhamira ya kuleta ustawi wa maisha ya wananchi n . . .
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amepongeza uzinduzi wa Dira 2050 akisema kuwa ni hatua kubwa katika historia ya maendeleo ya nchi na kwamba wastaafu, akiwemo yeye, wameridhika na d . . .
Nigeria iko chini ya shinikizo la kidiplomasia kutoka Marekani na Falme za Kiarabu, ambazo zimeweka vikwazo vikali kwa upataji visa kwa raia wake wiki iliyopita. Siku ya Jumanne, Julai 15, Rais Bola T . . .
Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limepinga agizo la serikali, kuwataka wasichana waliopata mimba kuendelea na masomo.Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki CENCO, limesema . . .
SERIKALI imeonya kwamba haitamvumilia mfanyabiashara yeyote atakayeuza au kusambaza dawa bandia au vifaatiba duni kwa wananchi.Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ametoa onyo hilo wakati akifungua kik . . .
Watu sita akiwemo mama na watoto wake wanne kutoka Bulapesa, Isiolo, walifariki kwa kuchomeka hadi kutotambulika, huku nyumba mbili zikiteketezwa katika matukio mawili tofauti yaliyoacha wakazi wa ene . . .
MOROGOROJumla ya Ekari 614 za mashamba ya dawa za kulevya aina ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za bangi zimeteketezwa kwenye Hifadhi za Taifa za Mikumi na Nyere . . .
Katika oparesheni maalum inayoendelea mkoani Geita, Idara ya Uhamiaji imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 126 kutoka nchini Burundi wengi wao wakiwa ni vijana ambao wapo nchini kinyume na sheria h . . .
Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Gaza (GHF) limeripoti vifo 20 katika kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa ardhi ya Palestina siku ya Jumatano, Julai 16, likiwatuhumu watu wenye silaha kwa ku . . .
Marekani imewafukuza wahamiaji watano kutoka nchi za Asia na Caribbean na kuwapeleka katika nchi ndogo ya kifalme ya Eswatini, barani Afrika, maafisa wametangaza Jumanne, Julai 15.Utawala wa Trump ume . . .
KATIKA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu sekta ya habari nchini imeelekezwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya nchi, kuhakikisha taarifa sahihi, na kudumisha maadili ya taaluma ya u . . .
Madhara ya kwanza ya mashambulizi ya kibiashara ya Marekani yanaonekana nchini Afrika Kusini. Usafirishaji wa magari kwenda Marekani umepungua kwa 73% katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwak . . .
RAIS William Ruto ameanza kujipanga kwa kura ya 2027 huku akianzisha mikakati ya kisiasa, kiuchumi na masuala ya kijamii kupata tikiti ya kuhudumu muhula wa pili.Kwenye vikao mbalimbali vya umma, Rais . . .
Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza vita . . .
Maambukizo ya kipindupindu bado hayadhibitiwa katika jiji kuu Kinshasa nchini DRC huku mamlaka katika jimbo jirani la Maï-Ndombe, ikithibitisha ugonjwa huo ambao kwa miezi kadhaa sasa umeendelea kusa . . .
Wakati wajumbe kutoka serikali ya Kongo na vuguvugu la waasi la AFC/M23 wanakutana mjini Doha kujaribu kuelekea kwenye makubaliano ya amani, mivutano inaendelea. Katika mazingira haya ya mvutano, wapa . . .
Rais Paul Biya wa Cameroon, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza rasmi kuwa atawania tena urais kwa mara ya nane katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Tangazo hilo limekuja kupitia ukurasa wake wa X, ak . . .
Maambukizo ya kipindupindu bado hayaja dhibitiwa katika jiji kuu la Kinshasa nchini DRC huku mamlaka katika jimbo jirani la Maï-Ndombe, ikithibitisha ugonjwa huo ambao kwa miezi kadhaa sasa umeendele . . .
Rais wa Cameroon Paul Biya alitangaza kwenye akaunti yake ya Twitter kwamba anagombea tena uchaguzi wa urais wa Oktoba 12 mwaka huu Tangu wakati huo, hisia zimekuwa zikiongezeka kuhusu umuhimu wa mgom . . .
Wakati wajumbe kutoka serikali ya Kongo na vuguvugu la waasi la AFC/M23 wanakutana mjini Doha kujaribu kuelekea kwenye makubaliano ya amani, mivutano inaendelea. Katika mazingira haya ya mvutano, wapa . . .
Nchini Sudan, wapiganaji wa RSF wameua karibu watu 300 kufuatia mashambulio katika jimbo la Kordofan Kaskazini yaliyoanza siku ya Jumamosi.Kundi la haki za binadamu la Wanasheria wa Dharura, limesema . . .
Nchi ya Kenya imeandika historia mpya hivi karibuni baada ya kuondoa rasmi hitaji la ‘Visa’ kwa raia wa nchi zote za Afrika isipokuwa kwa raia wa Somalia na Libya. Kupitia sera hii mpya raia . . .
Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara akieleza k . . .
Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa wa Mara eneo ambalo amezikwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambar . . .