logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Darasa la Nne kuanza Mitihani ya upimaji kesho

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya wanafunzi 1,582,140 wa Darasa la Nne kutoka shule 20,517 nchini wanatarakiwa k . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Simba yatoa viingilio Kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Nsingizini Hotspurs

Kikosi kilirejea jana Dar es Salaam, leo vijana wamepumzika na kesho watarudi Mo Simba Arena kuanza maandalizi ya mchezo wa Jumapili. Tunayo . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Chris Brown aguswa na Bryson Tiller

Mwanamuziki wa R&B, Bryson Tiller, ameonyesha upendo na shukrani za dhati kwa mwenzake Chris Brown kwa kumzawadia gari jipya aina ya Lam . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Hukumu rufaa ya Nyundo na wenzake kusomwa leo

Awali hukumu ya rufaa hiyo ilipangwa kutolewa Septemba 25, 2025, kabla ya kuahirishwa kutokana na sababu za dharura.Hukumu ya kesi ya rufaa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

DCEA yakamata kilo 10,783.94 za dawa za kulevya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,783.94 z . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Maaskofu wa Camerun Watoa wito kwa utulivu wakati upinzani ukitangaza ushindi wa uchaguzi

Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko wakati nchi hiyo iki . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Watumishi wapatiwa mafunzo juu ya mabadiliko ya mtazamo kwenye eneo la kazi

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Bw. Xavier Daudi amesema Serikali inaendelea kuweka mkazo katika kujenga utamaduni wa kazi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Serikali kutumia mitambo ya TEMDO kuongeza thamani mazao

Serikali ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mitambo ya kuchakata na kuongeza thamani mazao ya kilimo ikiwemo Mtambo mdogo wa kuzalis . . .

Burudani
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Makala tuheshimu ,kulinda mila na desturi zetu

Jamii za Kitanzania zimesisitizwa kuheshimu, kulinda na kurithisha mila na desturi zao pamoja na kuzingatia maadili ya Taifa yanayoambatana . . .

Utalii
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Dkt, Samia aleta mageuzi katika sekta ya utalii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha Awamu ya Sita ameleta mageuzi katika Sekta ya Utali . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Waziri Kombo akutana na mabalozi wa Nordic kujadili namna ya uwekezaji

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mabalozi wa nchi za Nordic walioko n . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Dodoma huduma sasa kidijitali

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Prof. Tumaini Nagu ameipongeza Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirik . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Bodaboda Tarime wahimizwa kudumisha Amani

Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka maafisa usafirishaji maarufu kama . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Ki-Uhamiaji yatolewa kwa Jeshi La Akiba

Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Oktoba 20 mwaka huu imetoa elimu ya Ki-Uhamiaji kwa Jeshi La Akiba (Mgambo) iliyo fanyika . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

Wahamiaji haramu wakamatwa Morogoro

Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Morogoro mwishoni mwa wiki jana imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu kumi na moja (11) waliyokuwa wamejificha k . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Jurgen Klopp atoa sababu za kukataa kuifundisha Manchester United

Aliyekuwa kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, amefichua sababu zilizomfanya kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United kabla ya ku . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Waliotaka Kumteka Tarimo Wafungwa Miaka Saba Jela

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni imewahukumu vijana wanne, akiwemo askari mmoja na mabondia wawili, kifungo cha miaka saba . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

DRC na Rwanda kukutana Washington

Wajumbe kutoka DRC na Rwanda wanatarajia kukutana kuanzia leo Oktoba 21 na kesho Jumatano Oktoba 22 mjini Washington kwa kikao cha tatu cha . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Rais wa zamani wa Ufaransa Sarkozy anaanza kutumikia kifungo cha miaka mitano jela

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atawekwa rumande leo Jumanne. Ataanza kifungo cha miaka mitano jela kwa kula njama ya kukusanya f . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Zelensky kushiriki katika mkutano kati ya Putin naTrump 'ikiwa ataalikwa'

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Vladimir Putin na Donald Trump mjini Budapest iwapo ataalikwa kwenye mkut . . .

mikasa
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

FAHAMU KUHUSU KWANINI WATU WANALIA WAKIWA MSIBANI

Kilio katika msiba ni tukio la kawaida duniani Kote,. Nisauti ya huzuni,upendo na hisia ambazo maranyingi maneno hushindwa kueleza.&nb . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

Ahukumiwa miaka 30 kwa kosa la ubakaji

Mahakama yamhukumu Nzumbi Magumba mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa kijiji cha Lali kilichopo wilaya ya Itilima mkoani Simiyu  kwenda . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

Odinga atunukiwa kuwa "Chief of the Order of the Golden Heart"

Rais wa Kenya William Ruto amemtunuku aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo hayati Raila Odinga heshima ya juu zaidi kwa raia Chief of the . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

WANANCHI MKOANI GEITA WAHAKIKISHIWA ULINZI NA USALAMA KABLA, WAKATI NA BAADA YA UPIGAJI KURA

Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Geita vimeendelea kuimarisha ulinzi na usalama ili kuhakikisha amani, usalama na utulivu kabla, wakati n . . .

DINI
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

Dkt Mpango ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu na kuendelea kuliombea taifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu wa kuendelea kusim . . .

Utalii
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

Fahamu kuhusu uvuvi wa mamba wakati wa kusaka kitoweo chake

Mamba ni wanyamapori hodari sana katika masuala ya kuvizia, kuvumilia na kufanya mashambulio ya kushtukiza. Mara zote hukaa kimya kabisa wak . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

TaFF YASISITIZA UADILIFU KATIKA MATUMIZI YA FEDHA ZA RUZUKU

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF), Dkt. Tuli Msuya amewataka wanufaika wa ruzuku zinazotolewa na Mfuko huo kuwa waadili . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Jamhuri kuja na majibu pingamizi la Lissu leo

Jamhuri itajibu hoja nne za mapingamizi ya Lissu aliyotoa Ijumaa ya tarehe 17, Oktoba 2025 juu ya kukataa vielelezo vielelezo vilivyowasilis . . .

Burudani
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

SHEREHE ZA KUNDI RIKA LA WAMAASAI

Matukio mbalimbali ya siku ya kwanza ya shughuli ya kimila ya Kundi rika la vijana takriban 500 wa Mkoa wa Arusha na Manyara Oktoba 19 mwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Ndege ya Emirates EK9788 ilikuwa ikiwasili kutoka Dubai mwendo wa 03:50 saa za ndani ilipoacha njia na kugongana na gari la doria la uwanja wa ndege.

Ndege ya Emirates EK9788 ilikuwa ikiwasili kutoka Dubai mwendo wa 03:50 saa za ndani ilipoacha njia na kugongana na gari la doria la uwanja . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Mchezaji Atekwa na Kuuawa Senegal Baada ya Familia Kushindwa Kulipa Ransom

Kipa kinda wa soka wa Senegal Cheikh Toure (18) ametekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana baada ya kumtengenezea mtego kuwa anaenda kufanya . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

DC NZEGA AHIMIZA MATUMIZI YA MFUMO WA e- ARDHI

Mkuu wa wilaya ya Nzega mkoani Tabora Mhe. Naitapwaki Tukai amehimiza matumizi ya teknolojia kupitia mfumo wa kidigiti wa e-ardhi katika ku . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

AfDB imekabidhiwa ripoti ya utekelezaji wa shughuli za TADB kwa kipindi cha miaka 10

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Natu El-maamry Mwamba akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

Ushirikiano baina ya Tanzania na Africa50 utafanikisha kuimarisha miradi ya miundombinu

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bi. Amina Khamis Shabaan, amesema kuwa ushirikiano kati ya Tanzania na Africa50 utafanikisha miradi ya . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Kiongozi wa upinzani Moïse Katumbi anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi DRC

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République, Moïse Katumbi, anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aondoka katika kituo cha matibabu cha Bulape

Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliyelazwa katika kituo cha matibabu cha Bulape katika Mkoa wa Kasai, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, am . . .

Jamii
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Mfahamu Mwanamke wa Mageuzi anayeinua Wakulima wa kahawa Kagera

Profesa Kokuletage Ngirwa,Aurelia Kamuzora  huyo ni Tanzania na ni miongoni mwanchi zinazotambulika kwa uzalishaji wa kahawa bora baran . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Mgombea urais SAU Majaliwa Kyara ataja vipaumbele vitatu

Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majaliwa Kyara, amesema mojawapo ya vipaumbele vyake endapo atachaguliwa kuongoza nchi . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Polisi Shinyanga yawahakikisha amani wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu Oktoba 29

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo kuwa kutakuwepo na amani ya kutosha siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyi . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 18, 2025

Watoto 11 wenye utapiamlo watoroshwa matibabu

WATOTO 11 wenye utapiamlo katika halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga, wanadaiwa kutoroshwa na wazazi wao baada ya kushindwa kumudu gharam . . .

Kurasa 13 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category