logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afya
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Fahamu Kwa Nini Wataalamu wa Lishe Wanashauri Kula Korosho Mara kwa Mara

KOROSHO ni muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa Tanzania zao hili hulimwa kwa wingi katika mikoa ya pwani hasa Mtwara, Lindi na Pwani.& . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Wahanga wa maporomoko Chesongoch kuzikwa kaburi la pamoja

KWA familia za wahanga wa maporomoko ya ardhi ya Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, majonzi yao ni zaidi ya kuwapoteza wapendwa wao, sas . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

Rais Samia aagiza kuchunguzwa kwa taarifa za waandamanaji kulipwa fedha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wak . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Pasi Milioni" Kwa ubora huu wa Simba kuiangalia bure ni dhambi"

Shabiki wa klabu ya Simba maarufu kwa jina la Pasi Milioni leo katika hamasa za klabu ya Simba amefunguka juu ya suala la mashabiki wa simba . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Ruto ahutubia taifa Wakenya wakilia hali ngumu ya maisha

MWAKA mmoja baada ya Rais William Ruto kuahidi kwamba atamaliza changamoto zinazokabili sekta ya afya, kupunguza gharama ya maisha na kuimar . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

Washitakiwa 93 wanaodaiwa kufanya vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha waendelea kusota rumande

Washtakiwa 93 waliokamatwa kwa kesi za uharibifu wa mali, kufanya Vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha Novemba 19 walifikishwa tena katik . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Trump aapa kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe Sudan

Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan. Hii ni kufuatia ombi la mwanamfalme wa Saudi Arabia . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Masauni " Vyombo vya Habari kusaidia kutoa elimu ya Muungano, Mazingira"

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Ofisi hiyo imepanga kupanua wigo wa e . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Washindi wa Tuzo za CAF 2025 Zilizofanyika Morocco

Sherehe za utoaji wa Tuzo za Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zimefanyika kwa kishindo na kushuhudia wachezaji, makocha, m . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo kifo cha Maria

Kupitia taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa jana Novemba 19, 2025, chanzo cha kifo hicho kinadaiwa kuwa ni wivu wa Chanzo cha tukio hilo kimet . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Arsenal kumaliza mkataba wake wa udhamini na Rwanda msimu ujao

Klabu ya soka ya Uingereza, Arsenal imetangaza kuwa itamaliza mkataba wake wa udhamini wa miaka nane na Visit Rwanda mwishoni mwa msimu wa 2 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 20, 2025

Emmanuel Macron aanza ziara ya siku tano katika bara la Afrika

Ingawa kivutio cha safari yake kitakuwa mkutano wa kilele wa G20 jijini Johannesburg mnamo Novemba 22 na 23, rais wa Ufaransa anakusudia kut . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

Mtwara wakazi 150 wakabidhiwa hati miliki za ardhi

Zaidi ya wakazi 150 wa Mtaa wa Mbae Mashariki, Kata ya Ufukoni, Manispaa ya Mtwara-Mikindani wamepokea hati miliki za maeneo yao kupitia Kli . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

Ukarabati wa Reli ya TAZARA Dkt. Nchimbi Aiwakilisha Tanzania Katika Uwekaji Jiwe la Msingi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Jijini Lusaka nchini Zambia Novemba 19 mwaka huu kwaajili . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

Dkt. Samia na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wametunukiwa tuzo za heshima na Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wametunukiwa tu . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

CAF Awards 2025 Clement Mzize aibuka na Tuzo Maalum ya Bao Bora la Mwaka

Wakati sherehe za utoaji wa Tuzo za  shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zilizofanyika kwa kishindo na kushuhudia wachez . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 20, 2025

Wasaidizi 9 wa aliyekuwa Mke wa Rais wa Gabon Wahukumiwa Kwa makosa ya utakatishaji fedha za umma

Mahakama nchini Gabon imewahukumu wasaidizi tisa wa aliyekuwa Mke wa Rais wa Gabon, Sylvia Bongo, na mwanawe Noureddin Bongo, kifu . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • November 19, 2025

Mchengerwa aahidi kutoa ushirikiano katika huduma ya afya bora kwa Watanzania

Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Wizara ya Afya na Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 19, 2025

Wasimamizi wa madini watakiwa kusimamia vyema rasilimali hiyo kwa maendeleo ya nchi

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake kutambua kwamba maelekezo yaliyotolewa na Rai . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Madhara ya kichokonoo kwenye meno

KILA wakati baada ya kula chakula, watu wengi hutumia kichokonoo (toothpick) kuondoa mabaki ya chakula katikati ya meno.Hata hivyo, Dkt Sera . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 19, 2025

Mhe, Ndejembi asisitiza utekelezaji wa Vipaumbele vya Serikali kufikia 2030

Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amewaagiza Watumishi wa Wizara hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kutimiza Vipaumbele vya Serikali . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Rais Samia aunda Tume huru ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume Huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yal . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Ahmed Ally acheza kigoma Buguruni

Meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba leo kwenye uzinduzi wa kispika (hamasa za Simba) kuelekea mchezo wao wa klabu Bingwa Afrik . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Mke wa Besyige amshutumu Rais Museveni kumuandaa mtoto wake kumrithi

Bi. Winnie Byanyima, mke wa kiongozi wa upinzani wa Uganda aliyekamatwa Dkt. Kizza Besigye, amemshutumu rais wa nchi hiyo mwenye umri wa mia . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 19, 2025

Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel waagwa nchini Israel

Ubalozi wa Tanzania nchini Israel kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel ilifanya ibada ya kuuaga mwili wa Mtanzania Joshua Lo . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 19, 2025

Balozi Kombo na manaibu wake wapokelewa Ofisi za Wizara Mtumba

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) wamepokelewa katika Ofisi za Wizara zilizok . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

WHO kupoteza robo ya wafanyakazi wake ifikapo katikati 2026

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema idadi ya wafanyakazi wake itapungua kwa takriban robo zaidi ya ajira 2,000 kufikia katikati ya mwaka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Mwili wa Joshua Mollel kuwasili leo nchini

Hatua hii inafuatia makabidhiano yanayoendelea kufanyika kati ya nchi ya Israel na Kundi la Hamas kutoka Palestina.Mwili wa Mtanzania Joshua . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Mbappé Awadai PSG Bilioni 700 Kwa ‘Kumtenga

Nahodha wa Ufaransa Kylian Mbappé anadai fidia ya Euro Milioni 263 (takriban TSh 743 Bilioni) kutoka kwa Paris Saint-Germain katika mzozo u . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

Trump amtetea Bin Salman kuhusu mauaji ya Khashoggi

Wakati Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman anafanya ziara yake ya kwanza Washington tangu mwaka 2018, yeye na Donald Trump walih . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 19, 2025

TotalEnergies yatuhumiwa kuhusika na vitendo vya uhalifu wa kivita Msumbiji

Shirika la kimataifa la Human Rights Watch, limechapisha taarifa inayoituhumu kampuni ya mafuta ya Ufaransa, TotalEnergies kuhusika na viten . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 18, 2025

Ujumbe wa Tanzania umefika mjini Geneva kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa WHO wa Kudhibiti Tumbaku

Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefika mjini Geneva tayari kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa WHO wa Kudhibiti . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 18, 2025

Tanzania na Burundi kuongeza uzalishaji wa biashara ya nafaka

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayesimamia Maendeleo ya Mazao na Usalama wa Chakula, Dkt. Stephen J. Nindi, amesema kuwa Tanzania ik . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • November 18, 2025

Wanafunzi wa muhula wa kwanza watakiwa kuwa Wazalendo na nchi yao

Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Njombe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Assed Mwampamba Novemba 17 mwaka huu ametoa elimu kwa wanafunzi wa muhul . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • November 18, 2025

TPDC YAONGEZA KASI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NCHINI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kuunga mkono Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwani Watanzania zaidi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 18, 2025

Viongozi watakiwa kuhakikisha wanatafuta zaidi fedha ili kutekeleza miradi ya maendeleo Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza viongozi kuhakikisha wanatafuta zaidi fedha za ndani ili . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • November 18, 2025

Jukwaa la wadau wa mazingira kanda ya Ziwa Victoria watoa elimu matumizi ya taka plastic

Jukwaa la wadau wa mazingira kanda ya Ziwa Victoria chini ya kauli mbiu isemayo"Sema hapana kwa taka za plastic kuwa sehemu ya suluhisho chu . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Klabu ya ALAHLI Tripoli ya Libya Imetuma ofa ya Tsh 4.8 Bilion Kumsajili Fei Toto

Klabu ya ALAHLI Tripoli,ya Libya imetuma ofa ya $2,000,000 (tsh 4.8 bilion) ili kumsajili Fei Toto kutoka Azam Fc.Klabu hiyo ya Libya imetum . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

RC Chalamila atangaza rasmi kurejeshwa hudama ya mwendokasi

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametangaza rasmi kuwa huduma ya mwendokasi kwa barabara ya BRT 2 (Mbagala) itaanza kufan . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Chakwera anatumai serikali ya Tanzania itamkaribisha kuanza maridhiano

Rais wa zamani nchini Malawi, Lazarus Chakwera amesema ameridhia uteuzi wa Jumuiya ya Madola kuwa msuluhishi Tanzania.Chakwera amesema hayo . . .

Kurasa 8 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category