Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais dkt.Samia Suluhu Hassan inaendelea kusimamia utatuzi wa migogoro mbalimbali ya ardhi ili kulinda Amani, Usalama na Utulivu ndani ya jamii.Hayo yamesemwa n . . .
Wabunge nchini Ubelgiji wameshindwa kuafikiana namna bora ya kupata maridhiano dhidi ya udhalimu wa enzi ya ukoloni baada ya Uholanzi kuomba radhi kwa niaba ya serikali yake kutokana na dhima yake kat . . .
Uingereza Jumapili imesema kwamba itatuma wanajeshi 1,200 kuchukua nafasi ya madereva wa magari ya kubeba wagonjwa pamoja na maafisa wa mpakani, wakati kunza kwa mgomo wa wafanyakazi kutok . . .
Mmiliki wa Twitter Elon Musk anawaomba watumiaji wa mtandao huo wa kijamii kupiga kura kuhusu mustakabali wake kama afisa mkuu mtendaji wake.Katika kura ya maoni kwa watu milioni 122, kwa watu wanaoni . . .
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amefichua kwa mara ya kwanza kuwa alisaini barua ya kustaafu karibu muongo mmoja uliopita, iwapo afya yake itakuwa mbaya na kumzuia kuendelea na majuku . . .
Watu zaidi ya alfu moja nchini Liberia walishiriki katika maandamano kupinga ugumu wa maisha. Watu hao pia wanapinga rais wao George Weah kukaa nje ya nchi kwa muda mrefu. Maandamano ya mara kwa mar . . .
Drake Ameweka Dola Milion 1 Sawa La Bilion 2.33 Za Kitanzania Kwa Argentina Ishinde Leo Kwenye Fainal Za Kombe La Dunia. Ila Kuna Hofu Kwa Mara Kadhaa Ambazo Drake Amekua Akibet Kwaajili Ya Timu Flan . . .
Elon Musk ametangaza kuwa anamshtaki mmiliki wa akaunti ya Twitter inayofuatilia ndege yake ya kibinafsi. Musk alisema vitendo hivyo vilimweka mtoto wake hatarini.Akauti ya @ElonJet ambayo ina wafuasi . . .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, amezindua josho la kuogeshea mifugo katika Kijiji cha Irkujit wilayani Simanjiro mkoani Manyara ambalo limejengwa kupit . . .
Mahakama ya Sheria katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria, imemhukumu kifo mhubiri mashuhuri wa Kiislamu kwa kumnyonga, baada ya kumkuta na hatia ya kumkufuru mtume Muhammad pamoja na uchochezi k . . .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkansi akiwa katika ziara ya Mkoa wa Rukwa Disemba 14, 2022. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga na kulia ni N . . .
Mivutano ya muda mrefu kati ya wakopeshaji wakubwa wa kimataifa na China ilidhihirika katika mkutano uliofanyika katika jimbo la Anhui nchini China, ambapo washiriki walitaka makubaliano kuhusu hali y . . .
Serikali ya Peru imetangaza siku 30 za hali ya hatari nchi nzima. Katika tangazo hilo la jana, Waziri wa Ulinzi Alberto Otarola alisema haki ya kukusanyika, kutoingiliwa majumbani na uhuru wa kutembea . . .
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupoteza pambano lake nchini Uingereza.Mchengerwa amesema wamekuw . . .
Shirika la ndege la Morocco limesema linafuta safari zote lililokuwa limepanga kwa leo kuwasafirisha mashabiki kwenda Doha kuhudhuria mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia.Royal Air Maroc limetaja u . . .
Mwili wa Lemekani Nyirenda, ambaye alikuwa anasomea uhandisi kuhusu nyuklia, nchini Russia kabla ya kujiunga na jeshi, umefikishwa nyumbani na kupokelewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth . . .
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa Halmashauri hiyo. . . .
Makamu Rais wa Bunge la Ulaya, Mgiriki Eva Kaili, ameondolewa kwenye nafasi hiyo baada ya tuhuma za kupokea rushwa. Bunge lilipiga kura hapo jana asubuhi ya kumuondowa Kaili kutoka nafasi yake y . . .
RAIS William Ruto leo Jumanne atakutana na kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga, nchini Amerika wanapohudhuria Kongamano la Amerika la Viongozi wa Afrika linaloanza leo jijini Washin . . .
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya kilimo katika mkutano wa AGRA uliofanyika kwenye ofisi za taasisi ya Bill na Melinda Gates jijini Washington, Marekani. . . .
Chanjo ya virusi vya Ebola aina ya Sudan ni moja kati ya chanjo tatu zilizopendekezwa kufanyiwa majaribio na jopo huru la wataalamu wa WHO. Shirika la afya duniani (WHO) limesema kuwasili k . . .
Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Eva Kaili amevuliwa madaraka yake kufuatia kuhusishwa kwake na uchunguzi wa ufisadi na utakatishaji fedha nchini Ubelgiji.Kaili, ambaye anawakilisha Ugiriki, alika . . .
Bilionea wa Japan Yusaku Maezawa amewataja watu wanane wenye bahati ya mtende atakao kwenda nao kwenye safari ya kwenda mwezini kwa kutumia chombo cha SpaceX Starship ya Elon Musk mwaka ujao bure bila . . .
Takriban watu 10 wengi wao wakiwa wa kujitolea kuvisaidia vikosi vya serikali wameuwawa kwenye mashambulizi mapya kaskazini mwa Burkina Faso. Mashambulizi hayo yanashukiwa kutekelezwa na wanamg . . .
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Alhamisi wameonya kuhusu janga la afya kutokana na ongezeko kubwa la maambukizi ya kipindupindu kwenye kambi za muda za wakimbizi. Madkatari wasi . . .
Rais aliyeondolewa madarakani na Bunge nchini Peru, Pedro Castillo amewekwa chini ya kizuizi cha muda siku moja baada ya kuvuliwa wadhifa wake na bunge la nchi hiyo kwa tuhuma za kufanya uasi na kuvun . . .
Urusi leo imemuachia huru mchezaji nyota wa mpira wa kikapu kwa wanawake raia wa Marekani Brittney Griner.Maafisa wa Urusi na Marekani wamesema Griner ameachiwa katika hatua ya ngazi ya juu ya ubadili . . .
Tarehe 2,disemba 2022 ilikua ni siku rasmi ambayo umoja wa falme za kiarabu wamesherehekea siku ya taifa kwa mara ya 51 na wanaalika watu wote duniani kushiriki katika sherehe hizo mpaka leo hii. Dub . . .
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha ya ramani ya Bara la Afrika kutoka kwa Rais wa Saharawi Mhe. Brahim Ghali mara baada ya mazungumzo yao katika . . .
Mtoto Rais wa Uganda Yoweri Museveni - Jenerali Muhoozi Kainerugaba - sasa anasema kuwa hana haja yoyote ya kuwa rais wa nchini hiyo. Licha ya kushiria mara kadhaa na hata kusema kuwa angependa k . . .