1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Wasani wakubwa India waomboleza kifo cha Legandary Dharmendra

Tasnia ya filamu ya India imegubikwa na simanzi kufuatia kifo cha mmoja wa nguli wake wakubwa na kipenzi cha vizazi vingi Dharmend . . .

GRACE OF AFRICA YAZINDUA WIMBO MPYA “NGUVU YANGU (MY STRENGTH)

Grace of Africa yazindua rasmi  wa wimbo wao mpya wa injili, “Nguvu Yangu (My Strength)”, unaohamasisha imani, . . .

Jembe Michezo

TFF yahairisha hafla ya tuzo za msimu 2024/2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuahirishwa kwa hafla ya utoaji wa tuzo za msimu wa 2024/2025, ambayo awal . . .

Washindi wa Tuzo za CAF 2025 Zilizofanyika Morocco

Sherehe za utoaji wa Tuzo za Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF Awards 2025) zimefanyika kwa kishindo na kushuhudia wachezaji, . . .

Jembe Habari

Guinea Bissau" Jeshi lachukua udhibiti wa nchi, Rais ondolewa madarakani"

Nchini Guinea-Bissau jeshi limechukua udhibiti wa nchi hiyo ambayo imekuwa ikikabiliwa na mvutano wa kisiasa baada ya rais na mpin . . .

Habari Zote
afrika mashariki

IEBC yaonya wapiga kura dhidi ya kupiga picha za karatasi zenye alama za kupigia kura

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imewatahadharisha wapiga kura katika maeneo ambayo uchaguzi mdogo unafanyika dhidi ya upigaji picha wa karat . . .

afrika mashariki

Rigathi Gachagua Ataja Sababu ya Kuvaa Helmeti na Vest Ya kuzuia Risasi huko Narok

Kinara wa Democracy for Citizens Party Rigathi Gachagua aliingia kwa kishindo katika Mji wa Narok mnamo Jumatatu, Novemba 24.Kuwasili kwake . . .

Kimataifa

Guinea Bissau" Jeshi lachukua udhibiti wa nchi, Rais ondolewa madarakani"

Nchini Guinea-Bissau jeshi limechukua udhibiti wa nchi hiyo ambayo imekuwa ikikabiliwa na mvutano wa kisiasa baada ya rais na mpinzani wake . . .

Kitaifa

Waziri Ulega atoa maelekezo vijana wasifukuzwe kazi hovyo

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja na wasimamizi wa miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini kuhakikisha wanalinda . . .

Kimataifa

Wanunuzi wa madini wajipanga kwa mnada mkubwa leo

Wanunuzi wa madini kutoka maeneo mbalimbali nchini wameendelea kujitokeza katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) jijini Arusha, wakikagua . . .

matukio

Wanne wakamatwa na nyara za serikali Kagera

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia Watuhumiwa wanne (04) kwa tuhuma za kupatikana na meno ya tembo.Mnamo novemba 26 mwaka huu kat . . .