WANAJESHI wa Ukraine wanaendelea kuwazuilia zaidi ya Wakenya wanne ambao imebainika walinyakwa wakipigania jeshi la Urusi.Ukraine na Urusi z . . .
Marekani kwa mara nyingine tena imepinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi lililotaka kusitishwa mara moja na . . .
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza siku ya Alhamisi kuwa wagonjwa 48 wa Ebola wamethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo . . .
Faida ya kula utumbo wa taulo (ambao pia hujulikana kama utumbo mkubwa, au kwa Kiingereza tripe) ni nyingi kiafya, hasa pale unapopikwa vizu . . .
Kikosi cha Mnyama wa Afrika Mashariki, Simba SC, kimewasili nchini Botswana kwaajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika . . .
Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini ilitupilia mbali rufaa siku ya Jumanne iliyowasilishwa na familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu . . .
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi . . .
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura kuidhinisha usitishwaji wa vita na kuruhusu misaada kuingia Gaza, licha ya ku . . .
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepuliza kipenga cha kuanza kampeni za vyama vya siasa za takribani siku 40, zikihusisha ya vyama vya siasa . . .
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakikubaliani na uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumuondoa mgombea wake wa urais, Luhaga Mp . . .
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025, Ismail Alli Ussi amewataka maofisa usafirishaji wa pikipiki za abiria maarufu kama ‘bodabo . . .
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, leo kunadi sera na ilani katika viunga vya Unguja, visiwani Zanzibar, wanan . . .
WATAALAMU wa ugani nchini wametakiwa kufikisha kwa wananchi elimu ya usimamizi wa misitu, ili suala la usimamizi endelevu wa misitu, kitalu . . .
KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeendelea kuwa moto mahakamani, safari . . .
KATIKA miji mikuu inayozidi kukua kwa kasi kama Dar es Salaam, ndoto za mafanikio zinaambatana na hali halisi inayoleta madhara kimyakimya k . . .
WADAU wa demokrasia nchini, wamependekeza zaidi ya mambo 20 wanayoamini yakifanyiwa kazi yanaweza kuimarisha umoja na mshikamano nchini.Wada . . .
Balozi wa China nchini Chen Mingjian amesema nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania zinaweza kuondokana na umaskini iwapo watu wake watakuwa na . . .
Maelfu ya raia wa Uingereza wamejitokeza mitaani jijini London na miji mingine kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye amewa . . .
UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa ki . . .
Mahakama ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai nda . . .
Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16 mwaka . . .
Ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kuimarika baada ya kuzinduliwa kwa Kamati ya Pamoja ambayo itasaidi katika Biashara ya Kabon hususa . . .
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amesema Serikali kupitia Wizara ya Kilimo inatambua na kuthamini mchango wa Sekta Binafsi kat . . .
Serikali imetoa wito kwa waajiri nchini kuweka utaratibu wa kuwajengea uwezo watumishi kwa kuwapatia mafunzo yatakayowawezesha kuwa na uelew . . .
Sekta ya Madini nchini inaendelea kushuhudia mageuzi ya kuongeza thamani madini yakiwemo ya ujenzi kama mchanga na kufungua fursa nyingine m . . .
Raia wa Malawi wanasubiri matekeo ya uchaguzi wa urais, baada ya kushiriki uchaguzi Jumanne kuwachagua viongozi wao.Mbali metekeo ya urais r . . .
Nchini Kenya, mahakama imetoa siku ya Jumanne kibali cha kukamatwa kwa mwanajeshi wa Uingereza. Mwanajeshi huyo anashukiwa kumuua Agnes Wanj . . .
Msanii wa Kike katika soko la Rap, Cardi B amefunguka kuwa wasanii wengi wa kike aliowasaidia walimgeuka, wakamsaliti mpaka kufikika hatua . . .
Geita Gold Mining Limited (GGML), kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti, imethibitisha kushiriki kikamilifu katika Maonesho ya 8 ya Teknolojia . . .
USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri . . .
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani WHO, kuna ongezeko kubwa la unene kupindukia miongoni mwa watoto wenye umri wa miaka 5 hadi . . .
Wabunge nchini Chad, jana Jumatatu wamepitisha marekebisho ya katiba yanayoongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 na kwa . . .
Wakati Rais wa Ghana John Dramani Mahama akithibitisha kuwasili katika nchi yake wahamiaji 14 wa Afrika Magharibi waliofukuzwa kutoka Mareka . . .
WANANCHI wa Malawi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wa ngazi ya urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi unaoelezwa kuwa na ushindani mka . . .
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Simanjiro mkoani Arusha, James Ole Millya amesema endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kipaum . . .
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema wananchi wakimchagua ataunda serikali jumuishi . . .
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imetoa elimu ya kitaalamu kuhusu changamoto ya hati chafu zinazojitokeza kwenye . . .
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ismail Ussi amesema kuwa miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali imeleta mabadiliko ya kiuchumi na . . .
Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa w . . .
Wabunge nchini Chad, Jumatatu ya wiki hii walipitisha marekebisho ya katiba yanayoongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 . . .