logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 24, 2025

LUKUWI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MWANZA.

‎‎Naibu Kamishna wa Uhamiaji (Utawala), DCI Elizabeth Lukuwi Oktoba 23 mwaka huu amefanya ziara ya kikazi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza  kwa lengo la kuzungumza na Maafisa na Askari . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 24, 2025

Tathmini ya elimu ya mwaka wanafunzi wapaza sauti

Wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wameipongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari, wakisema hatua hiyo imeimarisha mazingira ya kujifunza na kufundisha.H . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2025

Meta Yapanga Kuondoa Wafanyakazi 600 Katika Kitengo cha AI

Kampuni ya Meta, hapo awali inayojulikana kama Facebook, imepanga kuondoa takriban wafanyakazi 600 kutoka katika kitengo chake cha AI, hatua inayolenga kurekebisha muundo wa kazi na kuongeza ufanisi w . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 24, 2025

Waziri mkuu atoa wiki moja kituo cha polisi Nandagala kianze huduma

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 23 mwaka huu amekagua ujenzi wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi na kuagiza kituo hicho kianze kazi ifikapo Novemba 1 mwaka huu. Aidha Mhes . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2025

Wananchi wajiandaa kupîga kura siku ya Jumamosi

Wananchi wa Cote Dvoire, kesho watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ambao rais Alassane Ouattara, anatarajiwa kushinda muhula wa nne, baada ya wapinzani wake wakuu rais za zamani Laurent Gbagbo na mwana . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • October 24, 2025

COPPER yakabidhiwa mbegu ya kisasa ya Choroko tani 1.5

Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imekabidhi Mbegu ya kisasa ya Choroko tani moja na nusu kwa Wakulima wa Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuzitumia katika msimu wa kilimo wa 2025 . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • October 24, 2025

Wapima udongo watakiwa kuzingatia weledi na uadilifuu

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Wizara ya Kilimo, Bw. James Kibamba, amewataka Wataalamu wa udongo nchini kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uadilifu na umakini ili kuhakikisha matokeo ya . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Kilimo, madini na umeme vyachangia kukuza uchumi wa nchi

Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan sekta ya kilimo imepata maen . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Wazazi kujengewa Wodi mpya Handeni kwa Sh milioni 530

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Salum Nyamwese amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 530 kwa ajili ya ujenzi wa wodi mpya ya wazazi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni hatua inayolenga kubor . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Polisi Mbeya yapokea magari manne mapya

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari manne mapya aina ya Robur Armored TLC300 ukiwa ni mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini.Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo  Oktoba 23 . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Kahiga alazimika kujutia maneno yake

KATIKA kipindi cha miezi minane pekee, Gavana wa Kaunti ya Nyeri, Mutahi Kahiga, amelazimika kujutia maneno yake ya kugawanya baada ya kukabiliwa na hasira ya umma.Mnamo Februari, alitoa matamshi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Trump Atangaza Vikwazo Vipya kwenye Kampuni za Urusi

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza rasmi vikwazo vipya dhidi ya baadhi ya makampuni makubwa ya mafuta kutoka Urusi, hatua inayolenga kuongeza shinikizo kwa serikali ya Rais Vladimir Putin kufu . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Serikali Yaongeza Mikopo kwa Wanafunzi

David Kafulila ambaye ni  Mkurugenzi wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri DART, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, ameandika.Uamuzi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Dkt,Mataragio aagiza vifaa vyote vya Jotoardhi katika mradi wa Ziwa Ngozi kufika kwa wakati

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji Jotoardhi (TGDC) kuhakikisha kuwa vifaa vyote vya uhakiki . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 23, 2025

Serikali kuongeza fursa za elimu kwa wenye mahitaji maalum

Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Maalum Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Magreth Matonya amesema Serikali inaendesha programu mbalimbali za elimu, ikiwemo ya kubaini wanafunzi wenye mahitaji ma . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 23, 2025

Umoja wa Mataifa wahofia kutofanyika uchaguzi nchini Haiti

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewaonya viongozi wa Haiti kuwa muda wa kurejesha usalama na kuandaa uchaguzi mkuu nchini humo unasonga.Onyo hilo la Umoja wa Mataifa linakuja huku muda wa mwis . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 23, 2025

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum wafunguliwa tena

Ndege kutoka Port Sudan imeitua alasiri ya Jumatano, Oktoba 22, mjini Khartoum, ambapo Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilifurushwa miezi sita iliyopita. Uwanja huo wa ndege ulikumbwa na mashambulio . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 23, 2025

Baraza la Katiba kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa urais Jumatatu, Oktoba 27

Baraza la Katiba limetangaza tarehe hiyo baada ya kupitia na kukataa rufaa zote zinazohusiana na uchaguzi wa Oktoba 12. Kwa upande wake, Issa Tchiroma Bakary, mgombea urais wa chama cha FSNC anayedai . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 23, 2025

Brigadia Jenerali Ngoy Wa Kabila John akamatwa

Wakili Mkuu Mteule katika Mahakama Kuu ya Kijeshi baada ya kuwa karibu na rais wa sasa wa Kongo, afisa huyu wa zamani wa Joseph Kabila alikamatwa nyumbani kwake Kinshasa usiku wa Jumanne, Oktoba 22 ku . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 22, 2025

RMO Mwanza afanya ziara ya ufuatiliaji wa huduma za Bugando

Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba pamoja na timu yake ya usimamizi wa huduma za afya mkoa (RHMT) leo Oktoba 22 mwaka huu wamefanya usimamizi shirikishi kwenye maeneo na vitengo mbalimbali k . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 22, 2025

Serikali yakabidhi magari sita kwa jeshi la Zimamoto

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekabidhi Magari pamoja na Vifaa vya Uokozi kwa Jeshi la Zimamoto na na Uokozi Mkoani humo na akatumia wasaa huo kuishukuru Serikali ya awamu ya Sita inayoongo . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 22, 2025

Mafunzo ya Polisi ya DPA yafungwa rasmi leo

Mkuu wa Chuo cha Taaluma Ya Polisi Dar es Salaam Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dkt. Lazoro B. Mambosasa, amewataka maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kufanya kazi kwa weledi na uadilifu ba . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • October 22, 2025

12 wakamatwa kwa kufanya vurugu Tarime

Jeshi la Polisi limethibitisha kuwakamata watu 12 ambao ni waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda katika Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya mkoani Mara baada ya kufanya fujo na kufunga barabara ka . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 22, 2025

Waliopoteza vitambulisho kupigia kura leseni

wapiga kura waliopoteza kadi za kupigia kura, Anamary amesema wanaweza kutumia pasi zao za kusafiria, au leseni ya udereva.Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Uyole ya Mbeya Mjini Mkoani Mbeya Anamary Jose . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • October 22, 2025

Wakulima wa Zabibu watakiwa kuwa mabalozi wa mafunzo ya kukuza ujuzi

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Zuhura Yunus amewataka wakulima Wadogo na wasindikaji wa zao la Zabibu kuwa mabalozi wa mabadiliko chanya ili kukuza uj . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 21, 2025

SERIKALI YATOA BIL 24.4 UKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA PWANI

Serikali imetoa shilingi Bilioni 24.4 kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa Barabara na madaraja mkoani Pwani katika maeno Sita yaliyoathirika na mvua za El- Nino zilizonyesha Aprili 2024.Akizungum . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Hukumu rufaa ya Nyundo na wenzake kusomwa leo

Awali hukumu ya rufaa hiyo ilipangwa kutolewa Septemba 25, 2025, kabla ya kuahirishwa kutokana na sababu za dharura.Hukumu ya kesi ya rufaa iliyokatwa na Clinton Damas maarufu 'Nyundo' na wenzake wata . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

DCEA yakamata kilo 10,783.94 za dawa za kulevya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,783.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya.Mamlaka ya Kudhibiti na . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Maaskofu wa Camerun Watoa wito kwa utulivu wakati upinzani ukitangaza ushindi wa uchaguzi

Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko wakati nchi hiyo ikisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais wa Oktoba 12.Mgomb . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

DRC na Rwanda kukutana Washington

Wajumbe kutoka DRC na Rwanda wanatarajia kukutana kuanzia leo Oktoba 21 na kesho Jumatano Oktoba 22 mjini Washington kwa kikao cha tatu cha mfumo wa pamoja wa kuratibu usalama. Lengo ni kuendeleza mak . . .

Kurasa 10 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 14 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode