logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Chakwera anatumai serikali ya Tanzania itamkaribisha kuanza maridhiano

Rais wa zamani nchini Malawi, Lazarus Chakwera amesema ameridhia uteuzi wa Jumuiya ya Madola kuwa msuluhishi Tanzania.Chakwera amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama chake MCP mjini . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Walimu wakuu wapinga kuongozwa na walimu wa JSS

CHAMA cha Walimu Wakuu wa Shule za Msingi (KEPSHA) na Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) vimepinga uongozi mpya unaopendekezwa ambapo walimu wa Shule za Sekondari ya Chini (JSS) msingi ‘kusimamia†. . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

INEC yatangaza kuteua madiwani wa viti maalumu 1,385

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Utafiti: kupungua kwa misaada kutasababisha vifo milioni 22

Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao watoto, wako hatarini kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo 2030 kwa sababu ya kupunguzwa kwa misaada ya Marekani na Ulaya.Zaidi ya watu milioni 22 . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Merz, Macron, Starmer kukutana Berlin leo hii

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atakutana na viongozi wa Ufaransa na Uingereza mjini Berlin jioni ya leo. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali.Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atakuwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 18, 2025

Upinzani waituhumu serikali ya kijeshi kwa kushindwa kulinda nchi

Mrengo wa upinzani nchini Mali, umeituhumu utawala wa kijeshi kwa kushindwa kuilinda nchi hiyo dhidi  mashambulio ya wanajihadi ambao umesababisha uhaba wa mafuta.Kwa miezi miwili sasa, jiji kuu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 17, 2025

Rais Samia Atangaza Baraza Jipya la Mawaziri

Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza leo Novemba 17, 2025 Baraza jipya la Mawaziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.Tan . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • November 17, 2025

Rais Samia awatakia kheri wanafunzi wanaoanza mtihani leo

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakiwa kheri ya wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne ambao wameanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari leo katika shule takribani 5,868 nchini.Katika ujumbe alioutoa k . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 17, 2025

Waendesha Bodaboda Watakiwa Kuepuka Vitendo Vya Uhalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewataka maafisa usafirishaji (bodaboda) kujiepusha na vitendo vyovyote vya uhalifu au uvunjifu wa amani kutokana na makundi yenye nia ovu kudaiwa kuwashirikisha baadhi . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • November 17, 2025

Mke wa Besigye atoa wito kuachiwa huru kwa mumewe

Mke wa mwanasiasa mashuhuri nchini Uganda, Kizza Besigye, Winnie Byanyima, sasa anataka mume wake kuachiwa huru na haki itendeke, kauli anayotia wakati huu mwanasiasa huyo akifikisha mwaka mmoja kizui . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 29, 2025

Mahakama Kuu Kutowa Hukumu Kesi ya Viongozi wa CHADEMA

Dar es Salaam, Tanzania â€“ Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu Novemba 04, 2025 katika kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025, inayo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 29, 2025

Juhudi zaidi zahitajika kushughulikia hali mbaya ya kibinadamu

Kuelekea kongamano la Kimataifa kuhusu amani kwenye ukanda wa Maziwa Makuu litakolofanyika siku ya Alhamisi jijini Paris, mashirika kumi na mawili yasiyokuwa ya kiserikali na yale ya kutoa misaada ya . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 28, 2025

Wajumbe wa Kamati za Utafiti na Ubunifu wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi

Wajumbe wa Kamati za Utafiti na Ubunifu ambayo ni Kamati Elekezi na Kamati ya Kiufundi wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi uwazi na ubunifu ili kuhakikisha kuwa tafiti zinazofanyika zinatoa . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 28, 2025

Uthamini wa fidia mradi wa SGR kipande cha sita Tabora-Kigoma waendelea kwa kasi

Serikali inaendelea na zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha sita kutoka mikoa ya Tabora hadi Kigoma katika wilaya za Tabora Mjini, Uyui, Urambo, . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 28, 2025

Kaya 28 zakabidhiwa hundi za fidia kupisha mradi wa maji Babati

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda Oktoba 28 mwaka huu amekabidhi rasmi hundi za malipo ya fidia kwa kaya 28 za wakazi wa Bonde la Maisaka, waliopisha ujenzi wa mradi mkubwa w . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • October 28, 2025

Ruvuma wakulima 383 kunufaika na mitambo ya umwagiliaji

Wizara ya Kilimo imekabidhi vifaa vya umwagiliaji kwa wakulima 383 wa Wilaya za Songea na Nyasa mkoani Ruvuma vitakavyowasaidia kumwagilia zaidi ya ekari 500 za kilimo.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya K . . .

UTALII
  • Na Jembe Digital
  • October 28, 2025

Tamasha la Land Rover kutangaza vivutio vya utalii nchini

Tamasha la Land Rover Iringa 2025 litakalofanyika mwezi Novemba 2025 linatarajia kutangaza vivutio vya utalii vya mkoa wa Iringa hivyo kuvutia watalii wengi kutoka ndani na nje ya nchi.Akizungumza kat . . .

Uwekezaji
  • Na Asha Business
  • October 28, 2025

Tajiri Aliko Dangote aweka rekodi mpya Afrika

Ripoti kutoka Mabilionea Bloomberg Mfanyabiashara mkubwa wa nchini Nigeria, Aliko Dangote, ameandika historia mpya kwa kuwa Mwafrika wa kwanza kufikisha utajiri wa Dola Bilioni 30.3.​Utajiri huu wa . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 28, 2025

Mtahiniwa kufanya KCSE rumande Lamu

MWANAFUNZI wa shule ya upili iliyo eneo la Lamu ya Kati, Kaunti ya Lamu, huenda akalazimika kufanya mitihani yake ya KCSE akiwa chini ya ulinzi wa polisi.Hii ni kutokana na kuwa, alikamatwa na kuwekwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 28, 2025

Baraza la usalama na UN lawateua wataalam kuchunguza ukiukaji wa haki

Baraza la Haki za bindamu la Umoja wa Mataifa, limewateua watalaam watatu, kuchunguza madai ya ukiukwaji wa haki Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatia uhaba wa bajeti ya fedha, kuwa . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 27, 2025

TET na NECTA kujadili utekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa

Taasisi ya Elimu Tanzania ( TET) na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wamefanya kikao cha pamoja kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali juu ya utekekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa ya Elimu y . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • October 27, 2025

WAKULIMA WADOGO 634 KUNUFAIKA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI MKOANI KAGERA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa amezindua ugawaji wa vifaa vya umwagiliaji kwa wakulima wadogo ili kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika kilimo cha kisasa chenye tija na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 27, 2025

VItuo vya kupigia kura vyaongezwa

Jumla ya vituo 384 vya kupigia kura vimeandaliwa katika Jimbo la Mwibara na Bunda katika kata kumi na tisa ili kurahisisha zoezi la upigaji kura ambapo kila kituo kimoja kitahudumia wananchi wasiozidi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 27, 2025

India na China zarejesha usafiri wa moja kwa moja wa ndege

Abiria wa safari ya kwanza ya moja kwa moja kati ya India na China katika kipindi cha miaka mitano wamewasili leo Jumatatu, baada ya mataifa hayo makubwa ya Asia kuondoa marufuku ya usafiri wa anga .A . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2025

Urusi yajaribu kombora la nyuklia la Burevestnik

Baada ya Gazeti la Wall Street Journal kuripoti kuwa utawala wa Trump umeondoa kizuizi muhimu kwa Ukraine kutumia baadhi ya makombora ya masafa marefu iliyotolewa na washirika wa Magharibi, Putin alis . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2025

Trump atangaza kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Thailand na Cambodia

Donald Trump ametangaza kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Thailand na Cambodia alipowasili Malaysia siku ya Jumapili kama sehemu ya ziara yake barani Asia, ziara ya kwanza tangu arudi madarakani . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 26, 2025

Dkt. Mwinyi" Nitaendelea Kuimarisha Udhamini Na Miundombinu Ya Michezo"

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2025

Tamko la UDASA sio msimamo wa UDSM-Prof. Anangisye

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimesema hakitambui wala kuhusika kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wataaluma wa Chuo hicho (UDASA) Oktoba 23, 2025.Akitoa taarifa hii, Makamu Mk . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2025

Rais Samia apokea ujume maalumu wa Rais Tshisekedi

Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, umewasilishwa na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Da . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2025

Wajerumani wengi waunga mkono kauli ya Merz kuhusu uhamiaji

Raia wengi wa Ujerumani wanakubaliana na matamshi ya hivi karibuni ya kansela wa Ujerumani Friedrich Merz yanayopendekeza kwamba matatizo yanatokana na uhamiaji yanadhihirika wazi katika barabara za n . . .

Kurasa 9 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 16 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • jana
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode