Rais wa Marekani kwa mara nyingine anajifanya msuluhishi na mtetezi wa amani, huku mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja mjini Doha, Qatar, yaliyoanza Julai 6, yakionekana kukwama katika siku za hivi kar . . .
Nchini Sudan Kusini nyaraka za siri zilizovuja kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa, serikali jijini Juba imekuwa ikijaribu kuimarisha tena uhusiano wake na Marekani ambao umeendelea kuyumba kat . . .
Upinzani wa kisiasa nchini DRC unapaza sauti yake. Katika taarifa ya pamoja,viongozi kadhaa na vyama vinavyopinga serikali vimeshutumu kile wanachokiita "sababu kuu" za mgogoro wa pande nyingi unaotik . . .
MBUNGE wa Naivasha, Jayne Kihara, ameagizwa kufika mbele ya wapelelezi katika Makao Makuu ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), Jumba la Mazingira, Barabara ya Kiambu, Nairobi, leo kuhusiana na madai . . .
KENYA inapanga kuongeza umri wa mtu kuruhusiwa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kudhibiti uraibu wa pombe hasa miongoni mwa vijana.Aidha serikali inapania kupiga marufuku uuzaji wa pombe mitan . . .
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili mkoani Mara ambazo ni shule ya Sekondari ya Wasicha . . .
Kesi ya kusababisha madhara mwilini inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Mary Matogolo (22) na wenzake wawili itatajwa leo Julai 14 mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi . . .
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitangaza kujiuzulu rasmi nafasi yake ya uwa . . .
Chama cha ACT Wazalendo kimeonesha kutoridhishwa na namna Mbunge wa Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Bi. Anne Kilango Malecela anavyolihudumia jimbo lake kikisema kuwa alitoa taarifa za uongo bungen . . .
Idadi ya watoto wanaokabiliwa na utapiamlo mkali katika jimbo linalokumbwa na vita la Darfur Kaskazini imeongezeka maradufu tangu mwaka jana, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) l . . .
Nimisha Priya alihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamume mmoja ambaye alikuwa mshirika wake wa zamani wa kibiashara, Talal Abdo Mahdi – ambaye mwili wake uliokatwakatwa uligunduliwa kwenye tanki la ma . . .
IRAN jana ilisema kuwa haitashirikiana na Mamlaka ya Kimataifa ya Atomiki (IAEA) inapoendelea na kukuza nyuklia yake, ikisema asasi hiyo sasa inadhibitiwa na kutumiwa na Amerika kuikandamiza.Rais wa I . . .
Rais William Ruto ametangaza rasmi uteuzi wa Mwenyekiti na Makamishna wapya wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).Hatua hiyo inafuatia uamuzi uliotolewa na majaji watatu uliotupilia mbali ombi la . . .
Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali haina lengo la kupata faida kwa shughuli zake, bali inatoa huduma kwa wananchi kwa gharama nafuu, amesema Dkt. Fidelice Mafumiko, Mkemia Mkuu wa Serikali.Akizungumza . . .
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Marco Rubio amehitimisha siku yake ya pili na ya mwisho kwenye mkutano wa usalama wa Jukwaa la Kikanda la Mataifa ya Kusini Mashariki mwa Asia, ASEAN nchini Malay . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amebainisha Julai 9 mwaka huu ili kutiwa saini kwa makubaliano ya amani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda mwishoni mwa mwezi wa Julai. Kuling . . .
JAPO la muungano wa upinzani linaonekana kuwa na mshikamano, mvutano unatokota miongoni mwa vinara wake, hali inayoweza kuvuruga mpango wake wa kudhamini mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu wa . . .
Katika dunia ya leo ambapo mafanikio hupimwa kwa vyeo, mshahara mkubwa na umaarufu, kuna hadithi chache sana zinazobeba uzito wa uhalisia kama ya Tupokigwe Hii ni hadithi ya kuacha kazi ya . . .
Watu wengi huota kuwa wafanyabiashara wakubwa, lakini si wote wanaochukua hatua za kweli za kuanza na kudumu. Hii ni hadithi ya kijana wa Kitanzania, anayejulikana kwa jina la Aisam Magari, ambaye ame . . .
Kwenye familia ya Nyanda , maisha yalizunguka kwenye jambo moja kuu ufugaji na kilimo Hilo ndilo jambo lililopewa uzito kuliko chochote kingine. Biashara, teknolojia, au ndoto nyingine yoyote yalionek . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kutoza ushuru wa 50% kwa bidhaa zote zinazotoka Brazil, siku chache tu baada ya vita vya maneno hadharani na Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva. Hat . . .
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeendelea kuboresha mazingira ya biashara kwa kushirikiana kwa karibu na sekta binafsi ili kuhakikisha biashara zinafanyika kwa urahisi, ufanisi . . .
Mhamasishaji wa mtandao wa Tiktok nchini Kenya anayeshtumiwa kwa kuchochea vurugu dhidi ya maafisa wa polisi amekamatwa jijini Nairobi.Mtuhumiwa huyo aliyetambuliwa kama Godfrey Mwasiaga Kakan Maiyo a . . .
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amezindua rasmi Programu ya Mafunzo ya Ujasiriamali na Ajira, inayolenga kuwasaidia vijana kutoka vyuo viwili vya VETA na chuo kimoja cha Ma . . .
Kesi ya mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo inatarajiwa kuendelea leo Julai 10, 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam ambapo leo itasikilkzwa kesi . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump barua rasmi ya pendekezo lake la uteuzi kwa Tuzo ya Amani ya Nobel, akimsifu kwa juhudi zake katika kutafuta suluhu z . . .
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ndio nchi pekee ni Taifa, na kwamba nchi nyingine za Afrika ni mkusanyiko wa makabila.Akiwasilisha mada ya uzale . . .
IKIWA kuna msemo unaomfafanua vyema Richard Mwangi, basi ni huu: “Nipe tatizo, nitaligeuza kuwa fursa yenye thamani.”Mwangi ndiye mwanzilishi na Afisa Mkuu Mtendaji wa Organic Fields Ltd, kampuni . . .
Wakati bei ya mafuta ya petroli ikipanda kwa Sh29 mafuta ya dizeli imeshuka kwa Sh255 ikilinganishwa na mwezi uliopita.Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (Zura), imetangaza bei . . .
SERIKALI imesema inatafakati kuona namna ya kufadhili vyombo vya habari kwa kuvipa ruzuku.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema vyombo vya habari ni sehemu . . .