Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa Jumapili ya Novemba 30 mwaka huu limewaua zaidi ya wapiganaji 40 wa Kipalestina katika operesheni dhidi ya mitandao ya mahandaki karibu na Rafah Ukanda . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasitisha kwa muda uhamiaji kutoka nchi alizozitaja kama “masikini,” ikiwa ni siku moja baada ya raia wa Afghanistan kudaiwa kuwapiga risasi na kuwaua wanaje . . .
Uamuzi mdogo wa kesi ya kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo, iliyosababisha vifo na madhara makubwa kwa wananchi, unatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi jijini Dar . . .
Viongozi wa Afrika walisisitiza Jumapili kutaka uhalifu wa enzi za ukoloni utambulike, uhalalishwe kama makosa ya jinai na kushughulikiwa kupitia fidia.Katika mkutano uliofanyika Algiers, wanadiplomas . . .
Polisi nchini Ujerumani wameshutumiwa kutumia nguvu kupita kiasi na waandamanaji baada ya kushambulia na kutumia virungu dhidi ya kundi la waandamanaji waliokuwa wakipinga ufashisti mwishoni mwa wiki. . . .
Nchini Uganda, usiku wa Jumapili ya wiki iliopita kulifanyika mdahalo wa kwanza wa televisheni kwa nafasi ya Urais, mdahalo ambao kwa mara ya kwanza mgombea wa chama tawala NRM, Yoweri Museveni hakuhu . . .
Wakati nchi za Rwanda na DR Congo zikitarajiwa kutia saini wiki hii makubaliano ya amani jijini Washington Marekani, Kigali na Kinshasa zimeendelea kutuhumiana kuhusu mzozo wa mashariki ya Kongo.Wazir . . .
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya ziara ya kikazi ndani ya Mkoa wa kitanesco wa Kigamboni na kuagiza kuchukuliwa hatua za haraka za kuhakikisha hali ya umeme katika Mkoa wa Kigamboni . . .
Afrika Kusini imelaani nia ya rais wa Marekani Donald Trump ya kuizuia nchi hiyo kuhudhuria Mkutano wa Kundi la 20 (G20) huko Miami, Florida, mwaka ujao.Trump amesema kwamba hataialika Afrika Kusini k . . .
WATU 10 wameuawa Novemba 28, 2025 kwenye operesheni ya wanajeshi wa Israeli iliyofanyika kusini mwa Syria.Hili likiwa shambulio baya zaidi tangu kuondolewa mamlakani kwa Bashar al-Assad takriban mwaka . . .
Rais wa Rwanda Paul Kagame, ameilaumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kuchelewesha kutiwa saini makubaliano ya amani yenye lengo la kumaliza mzozo katika eneo la mashariki lenye utaji . . .
Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa madarakani Umaro Sissoco Embalo amekimbilia katika nchi jirani ya Senegal baada ya kuzuiliwa wakati wa mapinduzi ya kijeshi huku mpinzani wake mkuu akimshutumu kwa . . .
Nchini Guinea-Bissau jeshi limechukua udhibiti wa nchi hiyo ambayo imekuwa ikikabiliwa na mvutano wa kisiasa baada ya rais na mpinzani wake kwenye uchaguzi wa Jumapili kujitangaza washindi katika ucha . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja na wasimamizi wa miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini kuhakikisha wanalinda na kusimamia maslahi ya watanzania waliopata fursa ya kuaji . . .
Wanunuzi wa madini kutoka maeneo mbalimbali nchini wameendelea kujitokeza katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) jijini Arusha, wakikagua na kuhakiki ubora wa madini yatakayouzwa katika Mnada wa Ta . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia Watuhumiwa wanne (04) kwa tuhuma za kupatikana na meno ya tembo.Mnamo novemba 26 mwaka huu katika kizuizi cha Polisi kilichopo kitongoji cha Kyamnyorwa Ka . . .
Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam imemukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela Rashidi Ruambo mwenye umri wa miaka 56 fundi ushonaji mkazi wa Yombo Makangarawe kwa kupa . . .
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imezindua ugawaji wa vifaa vya mafunzo ya ubunifu, ushonaji, teknolojia ya nguo na umeme kwa Vyuo vya . . .
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Novemba 25 mwaka huu alikutana na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, na maswali mazito yakielekezwa moja kwa moja kwake kuhusu kile kilichotokea Oktoba 29, . . .
Jeshi la Polisi Tanzania limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayoenea kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) wa Chunya mkoani Mbeya, inayomwonesha akitoa . . .
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) imewahakikishia wakazi wa Mkolani, Nyegezi na maeneo ya jirani kuwa upatikanaji wa maji safi na salama utaboreshwa na kuwa wa uhakik . . .
Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na wanajeshi wenye silaha leo Jumatano zikiwa zimepita siku tatu baada ya uchaguzi wa Rais ulioandaliwa kwa hali iliyojaa utata na migogoro ya . . .
WATOTO sita miongoni mwa 10 duniani kote hawajui kusoma sentensi rahisi wala kusuluhisha maswali ya kimsingi ya hesabu licha ya thuluthi yao kuwa shuleni kwa sasa.Haya ni kwa mujibu wa ripoti mpya ili . . .
Mkutano wa 7 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) umekamilika jijini Luanda, Angola, baada ya siku mbili za majadiliano ya kina kuhusu mustakabali wa ushirikiano . . .
Kliniki ya Ardhi inayoendelea mitaa ya Mbae Mashariki na Likombe katika manispaa ya Mtwara- Mikindani mkoani Mtwara imetoa muitikio kwa wananchi wa mtaa mitaa hiyo kufuatilia masula ya ardhi iki . . .
Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) imetangaza mpango wa kuboresha mitaala yake ili iendane na mabadiliko ya kasi ya sayansi na teknolojia, hatua inayolenga kuongeza ushindani wa wahitimu katika so . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amewasihi wananchi kudumisha amani na kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuhakikisha usalama wa Taifa unaendelea kuimarika.Mhe. Simbachawen . . .
WAZIRI wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameilekeza Tume ya Madini kufuta leseni 73 za uchimbaji wa kati na utafiti wa madini ambazo hazijaendelezwa.Mhe. Mavunde ametoa maelekezo hayo leo Novemba 25 mwak . . .
Serikali imesema tukio la Oktoba 29 limeonesha wazi kuwa hakuna idadi ya kutosha ya waandishi wa habari waliobobea katika uandishi wa masuala ya migogoro, vurugu na machafuko, hali ambayo pia iliweka . . .