Watu wawili wameuliwa katika shambulizi la Urusi lililofanywa katika mji wa Kharkiv mashariki mwa Ukraine ambapo shambulio la Urusi katika mji wa Kharkiv kaskazini mashariki mwa Ukraine limewaua watu . . .
Ndoa iliyokuwa ikitazamwa kama mfano wa upendo wa kudumu imani na mshikamano wa kifamilia sasa imevunjika hadharani Kristy na Desmond Scott ambao ni wanandoa maarufu wa mitandao ya kijamii nchini Mare . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema siku ya Jumatatu kwamba hali nchini humo imedhibitiwa kikamilifu baada ya ukandamizaji wa kikatili wa maandamano ya nchi nzima.Abbas Araghchi ames . . .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Iran lenye makao yake nchini Norway limesema mamlaka za Iran zimefanya mauaji ya halaiki.Hayo yamesemwa na kundi la haki za binadamu siku ya Jumapili huku serika . . .
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Johann Wadephul anakutana siku ya Jumatatu na mwenzake wa Marekani Marco Rubio mjini Washington kuhusu vitisho vya Marekani kuchukua Greenland hata kwa nguvu.Aidha . . .
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Joseph Daudi Mwakalinga maarufu kama @jiggerman mkazi wa Zimbili Kinyerezi Wilaya ya Ilala, kwa tuhuma za kumj . . .
Wakati leo Januari 12 ikiwa ni maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatakia Watanzania wote kheri ya maadhimis . . .
Katika jiji kuu la Kampala, baadhi ya wakaazi wameanza kusafiri kwenda vijijini au Charo kwa lugha ambayo wanaielewa kushiriki kura za Alhamisi.Serikali ya Uganda imetangaza likizo ya siku mbili ili k . . .
Bodi ya Brute SACCOs inayopatikana katika Manispaa ya Bukoba imeendesha mafunzo ya uandishi wa habari kwa lengo la kuwajengea uwezo viongozi na wanachama wake kuandika habari zenye maslahi kwa ajili y . . .
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Bw. Duan Campbell (kati kati) akipeana mikono na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh.Martine Shigela (wa tatu kutoka kulia) baada ya kukabidhi . . .
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili uliofanyika Oktoba na Novemba, 2025, ambapo wanafunzi 173,015 hawajafanya upimaji . . .
Bilionea na mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, amemlipa aliyekuwa mke wake, Melinda Gates kiasi cha dola bilioni 8 za Kimarekani, sawa na takriban shilingi trilioni 23.12 za Kitanzania, miak . . .
Hatua hiyo imekuja kufuatia ukaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kitengo cha usalama barabarani mkoani humo kubaini kuwa kati ya magari 20 yaliyokaguliwa,matano yamekutwa yakiwa mabovu . . .
Wananchi hao wameiomba serikali kurejesha huduma muhimu kama umeme maji pamoja na kutuma wataalamu kuja kutibu madimbwi ya maji yanayozagaa mtaani ili waweze kuepukana na magonjwa ya mlipuko. Wan . . .
Urusi imesema hivi leo kwamba imetumia kombora jipya chapa Oreshnik pamoja na silaha nyingine katika shambulizi kubwa dhidi ya Ukraine.Maafisa wa Ukraine wamesema watu wanne wameuawa na wengine wasiop . . .
Waandamanaji nchini Iran wamepiga kelele na kuandamana hadi Ijumaa asubuhi kuendelea kupinga ugumu wa maisha.Waandamanaji wa Iran wamepiga kelele na kuandamana mitaani hadi Ijumaa asubuhi baada ya wit . . .
Maelfu ya waombolezaji walijitokeza jijini Goma Mashariki ya DRC Januari 8 kuhudhuria ibaada ya mazishi ya watu 22 waliouawa wakati wa mapigano ya hivi karibuni kati ya jeshi la FARDC na w . . .
Maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa jeshi la Kongo, waliokamatwa kwa miezi kadhaa iliopita, wameshtakiwa rasmi na tayari wamehamishiwa katika gereza la kijeshi la Ndolo huko Kinshasa. Mashtaka yao . . .
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ameagiza kusitishwa malipo yote ya Mhandisi Mshauri Advanced . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ameagiza nchi yake kujiondoa katika mashirika 66 ya kimataifa akieleza kuwa taasisi hizo hazihudumii tena maslahi ya taifa la Marekani.Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu ya W . . .
Umoja wa Mataifa amesema Marekani ina ‘wajibu wa kisheria' kuendelea kulipa michango inayofadhili mashirika ya umoja huo hata baada ya Ikulu ya White House kutangaza kujiondoa katika zaidi ya mipang . . .
Rais wa muda wa Venezuela, Delcy Rodriguez amesisitiza kwamba nchi yake haina hofu yoyote licha ya madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba anaiongoza Venezuela baada ya kumuondoa mtangulizi wake . . .
Ikulu ya Tanzania jana imetangaza mabadiliko katika Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.Kwa mujibu wa taarifa hiyo Rais Samia amemteua Patrob . . .
Afisa wa uhamiaji nchini Marekani, amempiga risasi mwanamke mwenye umri wa miaka 37 siku ya Jumatano kwenye mji wa Minneapolis.Maafisa wa serikali ya rais Donald Trump, wanadai kuwa mwanamke huyo kwa . . .
Mbunge wa Segerea (CHAUMMA), Agnester Lambart, amefanya ziara katika Kata ya Bonyokwa, kusikiliza kero za maji katika eneo hilo.Miongoni mwa mambo ambayo alikutana nayo katika ziara hiyo ni pamoja na . . .
Hatua hiyo imekuja, miezi miwili baada ya rais Ouattara kuchaguliwa tena kuongoza nchi hiyo, baada ya kupata ushindi wa karibu asilimia 90 ya kura.Waziri Mkuu wa Cote Dvoire, Robert Beugré Mambé na . . .
Habari za hivi punde zinaeleza kuwa wachezaji wa timu ya taifa ya Algeria, kupitia shirikisho lao la soka, wamemwandalia zawadi ya dola za Kimarekani 20,000 kutokana na ubunifu wake wa kipekee. Tukio . . .
Papa Leo anaongoza kikao chake cha kwanza cha baraza la maaskofu tangu achaguliwe kwenye nafasi hiyo mwaka jana kufuatia kifo cha mtangulizi wake Papa FrancisKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa L . . .
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican huku akisema kuwa kushindwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa Novemba 2026 kutawapa Democrats furs . . .
Raia wawili wa ambao ni wakazi wa China Weisi Wang (41) pamoja na Yao Licong wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi y . . .