logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Aliyetemwa taifa Stars aongoza mabao ya vichwa Ligi Tanzania Bara

STRAIKA wa JKT Tanzania, Peter Paul, ambaye alienguliwa katika kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars), kilichoelekea Misri kuweka kambi ili . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

JKT Queens yaifuata Ceasiaa Iringa

KIKOSI cha mabingwa watetezi JKT Queens kimeondoka jijini Dar es Salaam jana kuelekea Iringa ili kuwafuata wenyeji Ceasiaa Queens kwa ajili . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Rushine aivuruga Simba

KLABU ya Simba imepiga hodi Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini ikisema inahitaji kumsajili moja kwa moja beki wa kati anayeichezea timu . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Nchemba awasili Songea Kushiriki Ibada ya Mwisho ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15 mwaka huu amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Naibu Waziri akagua karakana ya kisasa ya bidhaa za ngozi DIT Mwanza

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafidh Ameir amekagua karakana ya kufundishia na kujifunzia iliyojengwa katika Taasisi . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Kesi ya Mwambe kusikilizwa Leo

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo Jumatatu Desemba 15, 2025, inatarajiwa kusikiliza maombi Na. 289778/2025 yaliyofunguliwa . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Mh.Balozi Dkt.Nchimbi Mgeni Rasmi Uwekaji Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Kampasi Ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Watu 12 wauawa kwenye sherehe ya Wayahudi Australia

Mtuhumiwa mmoja ameuawa na mwingine ameripotiwa kuwa yuko mahututi . Uchunguzi wa polisi kuhusu mkasa huo unaendelea huku polisi wakisema wa . . .

Mafuriko
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Mafuriko ya ghafla yauwa watu 21 Moroko

Mafuriko ya makubwa yaliyotokana na mvua kubwa na ya ghafla yameuawa watu 21 katika mji wa pwani ya Moroko wa Safi.Picha zinazosambaa kwenye . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Mwigulu atoa taarifa hali ya ukame nchini, ahimiza kutunza chakula

Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba ametoa taarifa kuhusu hali ya ukame nchini, huku akiwataka Watanzania kutunza na kutumia kwa uangalifu akiba . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres Atuma Ujumbe Kwa Rais Samia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametuma ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 12, 2025

Ruto aongoza sherehe za Jamhuri Dei

RAIS William Ruto ameongoza sherehe za Jamhuri Dei nchi ikiadhimisha miaka 62 tangu ilipopata uhuru.Sherehe hizo zinazoendelea katika uwanja . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2025

Wananchi Dar Walia na Tatizo la Maji

Wananchi wa Dar es Salaam wameendelea kuonesha malalamiko yao kutokana na ukosefu wa maji safi katika maeneo mbalimbali ya jiji, hali ambayo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 12, 2025

Mauaji ya kimbari nchini Rwanda: Benki ya Ufaransa yakabiliwa na mashitaka

Nchini Ufaransa, muungano wa vyama vya kiraia kwa ajili ya Rwanda (CPCR) umewasilisha mahakamni malalamiko dhidi ya Benki ya Ufaransa, ukiis . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Waziri Ulega "sitoongeza hata sekunde ujenzi barabara ya Mkuyuni

Itakumbukwa Mnamo Disemba 5, mwaka huu 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt, Mwigulu Nchemba alifanya ziara jijiji Mw . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Lounge yafungiwa kwa kutiririsha kinyesi ovyo

Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bar iitwayo Barazani inayotiririsha maji machafu aina ya kinyesi c . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Umoja wa Mataifa kuzikutanisha pande hasimu nchini Sudan

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameliambia shirika la Habari la Al Arabiya la Saudi Arabia kuhusu mkutano huo, ingawa hakuf . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Trump achoshwa na mikutano isiyoleta mwanga wa amani Ukraine

Msemaji wa Ikulu ya Marekani Karoline Leavitt amesema Donald Trump "amechoshwa na mikutano ya mara kwa mara" ambayo hadi sasa haijatoa mwang . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Ukraine yashinikiza kuwa na jeshi imara la askari 800,000

Ukraine inasisitiza kuwa na nguvu ya askari 800,000 katika jeshi lake chini ya pendekezo lililoboreshwa la mpango wa amani lililowasilishwa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Watu 400 wameuawa Kivu Kusini kufuatia mashambulizi ya M23

Zaidi ya watu 400 wameuawa tangu kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda lilipozidisha mashambulizi katika jimbo la Kivu Kusini, m . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Kiongozi wa wanamgambo Darfur afungwa miaka 20 na ICC

Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kiongozi wa wanamgambo wa Janjaweed nchini Sudan Ali Kushayb kifungo cha miaka 20 jela kwa u . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 12, 2025

Mazishi ya Jenista Mhagama Kufanyika Desemba 16, Mbinga

Aliyewahi kuwa Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, aliyefariki dunia Desem . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

HII NDIO SABABU YA MWANAUME KUWA NA MATITI MAKUBWA

Hali ambapo matiti ya mwanamume yanakua makubwa inafahamika kama gynaecomastia.Kwa kawaida hali hii hutokea kukiwa na tishu zaidi ya matiti . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

CHADEMA " Uchaguzi ufutwe, INEC ivunjwe"

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaka kufutwa kwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 na kuvunjwa kwa Tumehuru ya Uchaguzi nchini . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Polepole atimiza siku 65, Mdude 222 bila kuonekana

Ikiwa tunaeleka ukingoni mwa mwaka 2025, leo zimetimia siku 223 tangu kutekwa kwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA) Mdude N . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Trump Aendeleza Mvutano na Ilhan Omar, Atupa Madai Mapya Yenye Utata

Rais wa Marekani wa zamani, Donald Trump, ameendelea kumkosoa Mbunge wa Bunge la Marekani, Ilhan Omar, ambaye ni raia wa Marekani mwenye asi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Msemaji wa Serikali azungumzia jaribio la mapinduzi

Nchini Benin, msemaji wa serikali Wilfried Houngbédji amezungumzia jaribio la mapinduzi la Desemba 7 huko Cotonou siku ya Jumatano, Desemba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 11, 2025

Donald Trump atangaza kukamatwa kwa meli ya mafuta kwenye pwani ya Venezuela

Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatano, Desemba 10, ametangaza kwamba Marekani imekamata meli ya mafuta "kubwa sana" kwenye pwani ya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Maria Corina Machado hatahudhuria sherehe ya Tuzo ya Amani ya Nobel

Kufuatia kufutwa kwa mkutano wa waandishi wa habari wa Nobel Desemba 9 mashaka yameongezeka kuhusu ushiriki wa Maria Corina Machado katika s . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

M23 wauteka mji wa kimkakati wa Uvira mashariki mwa Kongo

Baadhi ya vyombo vya habari vimeonyesha waasi wa M23 wakiingia Uvira na kudhibiti maeneo muhimu ya mji huo ikiwemo ofisi za serikali na maen . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Hamas yashtumiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu

Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti yake inayolishutumu kundi la Hamas na makundi mengine ya wapigan . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Wimbi jipya la wakimbizi wa Kongo waingia nchini Burundi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Edouard Bizimana amesema zaidi ya Wakongomani 40,000 wamekimbia mapigano yanayoendelea mashariki mwa Jamhu . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Waziri Ulega awasili Mwanza kutekeleza agizo la PM ukaguzi wa madaraja

Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega (MB) leo Desemba 11 mwaka huu amefika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kufanya mazungumzo mafu . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 11, 2025

Jenista Mhagama afariki dunia

Mbunge wa Peramiho Jenista Joakim Mhagama amefariki dunia leo 11 Desemba mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge l . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Hali zinazochangia hedhi kutokea bila kutarajiwa

KUWA na hedhi ni jambo la kawaida kutokea kila mwezi. Japo hedhi hutarajiwa hasa kwa wale wanaojua kuhesabu siku zao, kuna wakati ambapo kip . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Syria yaadhimisha mwaka mmoja tangu Assad alipoangushwa

Syria Jumatatu inaadhimisha mwaka mmoja tangu kuangushwa kwa mtawala wa kidikteta Bashar al Assad, wakati taifa hilo lililoganwanyika likapa . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Familia Yapata Pigo Baada ya Binti yao Aliyetoweka Kupatikana Amekufa Kikatili

Familia moja huko Embakasi, kaunti ya Nairobi, imeomboleza kufuatia kifo cha kutisha cha binti yao wa miaka 12, Patience Mumbe. Inaseme . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Liverpool Yazidi Kumvizia Semenyo Kufuatia Tetesi za Kuondoka kwa Salah

Klabu ya Liverpool inaonekana tayari kuanza kupanga maisha bila nyota wao Mohamed Salah, kufuatia taarifa zinazoenea kuhusu uwezekano wa msh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

Mapigano kati ya Thailand na Cambodia yaanza tena

Thailand imedai leo Jumatatu kutumia ndege "kushambulia malengo ya kijeshi" na "kuzuia mashambulizi ya Cambodia," baada ya mmoja wa wanajesh . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 8, 2025

ECOWAS yatuma wanajeshi Benin kufuatia jaribio la mapinduzi

Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)siku ya Jumapili jioni imetangaza kwamba imepeleka wanajeshi nchini Benin kufuati . . .

Kurasa 12 ya 221

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category