Naibu Kamishna wa Uhamiaji (Utawala), DCI Elizabeth Lukuwi Oktoba 23 mwaka huu amefanya ziara ya kikazi katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kwa lengo la kuzungumza na Maafisa na Askari . . .
Wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wameipongeza Serikali kwa kuboresha miundombinu ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari, wakisema hatua hiyo imeimarisha mazingira ya kujifunza na kufundisha.H . . .
Kampuni ya Meta, hapo awali inayojulikana kama Facebook, imepanga kuondoa takriban wafanyakazi 600 kutoka katika kitengo chake cha AI, hatua inayolenga kurekebisha muundo wa kazi na kuongeza ufanisi w . . .
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 23 mwaka huu amekagua ujenzi wa kituo cha Polisi Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi na kuagiza kituo hicho kianze kazi ifikapo Novemba 1 mwaka huu. Aidha Mhes . . .
Wananchi wa Cote Dvoire, kesho watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu ambao rais Alassane Ouattara, anatarajiwa kushinda muhula wa nne, baada ya wapinzani wake wakuu rais za zamani Laurent Gbagbo na mwana . . .
Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imekabidhi Mbegu ya kisasa ya Choroko tani moja na nusu kwa Wakulima wa Mkoa wa Mwanza kwa ajili ya kuzitumia katika msimu wa kilimo wa 2025 . . .
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Wizara ya Kilimo, Bw. James Kibamba, amewataka Wataalamu wa udongo nchini kutekeleza majukumu yao kwa weledi, uadilifu na umakini ili kuhakikisha matokeo ya . . .
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan sekta ya kilimo imepata maen . . .
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Salum Nyamwese amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 530 kwa ajili ya ujenzi wa wodi mpya ya wazazi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni hatua inayolenga kubor . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari manne mapya aina ya Robur Armored TLC300 ukiwa ni mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi hilo nchini.Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Oktoba 23 . . .
KATIKA kipindi cha miezi minane pekee, Gavana wa Kaunti ya Nyeri, Mutahi Kahiga, amelazimika kujutia maneno yake ya kugawanya baada ya kukabiliwa na hasira ya umma.Mnamo Februari, alitoa matamshi . . .
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza rasmi vikwazo vipya dhidi ya baadhi ya makampuni makubwa ya mafuta kutoka Urusi, hatua inayolenga kuongeza shinikizo kwa serikali ya Rais Vladimir Putin kufu . . .
David Kafulila ambaye ni Mkurugenzi wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri DART, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, ameandika.Uamuzi . . .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Kampuni yake Tanzu ya Uendelezaji Jotoardhi (TGDC) kuhakikisha kuwa vifaa vyote vya uhakiki . . .
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu Maalum Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Magreth Matonya amesema Serikali inaendesha programu mbalimbali za elimu, ikiwemo ya kubaini wanafunzi wenye mahitaji ma . . .
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limewaonya viongozi wa Haiti kuwa muda wa kurejesha usalama na kuandaa uchaguzi mkuu nchini humo unasonga.Onyo hilo la Umoja wa Mataifa linakuja huku muda wa mwis . . .
Ndege kutoka Port Sudan imeitua alasiri ya Jumatano, Oktoba 22, mjini Khartoum, ambapo Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilifurushwa miezi sita iliyopita. Uwanja huo wa ndege ulikumbwa na mashambulio . . .
Baraza la Katiba limetangaza tarehe hiyo baada ya kupitia na kukataa rufaa zote zinazohusiana na uchaguzi wa Oktoba 12. Kwa upande wake, Issa Tchiroma Bakary, mgombea urais wa chama cha FSNC anayedai . . .
Wakili Mkuu Mteule katika Mahakama Kuu ya Kijeshi baada ya kuwa karibu na rais wa sasa wa Kongo, afisa huyu wa zamani wa Joseph Kabila alikamatwa nyumbani kwake Kinshasa usiku wa Jumanne, Oktoba 22 ku . . .
Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba pamoja na timu yake ya usimamizi wa huduma za afya mkoa (RHMT) leo Oktoba 22 mwaka huu wamefanya usimamizi shirikishi kwenye maeneo na vitengo mbalimbali k . . .
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amekabidhi Magari pamoja na Vifaa vya Uokozi kwa Jeshi la Zimamoto na na Uokozi Mkoani humo na akatumia wasaa huo kuishukuru Serikali ya awamu ya Sita inayoongo . . .
Mkuu wa Chuo cha Taaluma Ya Polisi Dar es Salaam Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dkt. Lazoro B. Mambosasa, amewataka maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kufanya kazi kwa weledi na uadilifu ba . . .
Jeshi la Polisi limethibitisha kuwakamata watu 12 ambao ni waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda katika Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya mkoani Mara baada ya kufanya fujo na kufunga barabara ka . . .
wapiga kura waliopoteza kadi za kupigia kura, Anamary amesema wanaweza kutumia pasi zao za kusafiria, au leseni ya udereva.Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Uyole ya Mbeya Mjini Mkoani Mbeya Anamary Jose . . .
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Zuhura Yunus amewataka wakulima Wadogo na wasindikaji wa zao la Zabibu kuwa mabalozi wa mabadiliko chanya ili kukuza uj . . .
Serikali imetoa shilingi Bilioni 24.4 kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa Barabara na madaraja mkoani Pwani katika maeno Sita yaliyoathirika na mvua za El- Nino zilizonyesha Aprili 2024.Akizungum . . .
Awali hukumu ya rufaa hiyo ilipangwa kutolewa Septemba 25, 2025, kabla ya kuahirishwa kutokana na sababu za dharura.Hukumu ya kesi ya rufaa iliyokatwa na Clinton Damas maarufu 'Nyundo' na wenzake wata . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,783.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya.Mamlaka ya Kudhibiti na . . .
Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini Cameroon limetoa wito wa utulivu huku kukiwa na hofu ya kutokea machafuko wakati nchi hiyo ikisubiri matokeo rasmi ya uchaguzi wa urais wa Oktoba 12.Mgomb . . .
Wajumbe kutoka DRC na Rwanda wanatarajia kukutana kuanzia leo Oktoba 21 na kesho Jumatano Oktoba 22 mjini Washington kwa kikao cha tatu cha mfumo wa pamoja wa kuratibu usalama. Lengo ni kuendeleza mak . . .