Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."Mapema chanzo cha serikali kilichozungumza na shirika la habari la . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump siku ya Jumatatu.Hata hivyo wakuu hao wawili wametah . . .
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó baada ya kuwasili kati . . .
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu zaidi ya 190 kutoka mataifa mbalimbali kwa kipindi cha septemba 2025 kufuatia Oparesheni Maalumu inayoendelea nchi nzima. . . .
Chama tawala cha Moldova na kinachounga mkono Umoja wa Ulaya kinaongoza kwenye uchaguzi wa bunge hii ikiwa ni kulingana na kura ambazo tayari zimehesabiwa hadi mapema siku ya Jumatatu.Uchaguzi wa Juma . . .
Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na ukosoaji kutoka nje ya nchi kutokana na vita hivyo. Hata hivyo . . .
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya anayewania kuchaguliwa kwa muhula wa nane hakuonekana.Kwa mujib . . .
Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeonekana siku chache baada ya droni nyingine tatu zilizoshuhudiwa . . .
KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Tuzo za Uhifadhi na Utalii maarufu kama Serengeti Awards zitafanyika Disemba 19, 2025 jijini Arusha.Akizungumza na waandishi wa h . . .
Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran vimerejeshwa rasmi siku ya Jumapili, Septemba 29 usiku wa manane, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo na nchi za Magharibi, ambazo zinadai kuhakikishiwa juu ya . . .
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapiga kura leo Ijumaa asubuhi juu ya azimio la kuchelewesha kurejeshwa kwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran, inayoshutumiwa na Ufaransa, Ujerumani na Uinger . . .
Donald Trump amebainisha siku ya Alhamisi, Julai 25, kwamba "hataruhusu Israel kutwaa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu," hatua iliyotakiwa na mawaziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Isra . . .
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili Unguja akitokea Pe . . .
Ufaransa iko tayari kuunda ndege ya kivita ya siku za usoni ikiwa peke yake ikiwa mazungumzo na Berlin na Madrid yatashindwa kuhusu mradi wa baadaye wa ndege ulioandaliwa kwa pamoja, afisa wa Ufaransa . . .
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda zimekubali kuanza kutekeleza hatua za kiusalama chini ya makubaliano yaliyoidhinishwa na Marekani mwezi ujao, vyanzo vitatu vinavyofahamu suala hilo vimeliam . . .
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, amepatikana na hatia ya kupanga njama kuhusu sakata la kufadhiliwa na serikali ya Libya, wakati wa kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2007.Mahakama imetoa h . . .
Polisi Kata ya Liganga iliyopo Wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma Mkaguzi wa Polisi (INSP) Datius Dioniz Septemba 23, 2025 amefanya kikao kazi na Askari Mgambo pamoja na Sungusungu wa kijiji cha . . .
Mgombea urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 24, 2025 ameshiriki sala fupi na kuweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa, kijijini Lupaso . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemtembelea mama mjane Alice Haule, ambaye anadaiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mikocheni, nyumba inayodaiwa kuwa sehemu ya ur . . .
Kiongozi Mkuu wa Iran ametupili mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani siku ya Jumanne kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake, uwezekano wa kufunga mlango wa jaribio la mwisho la kuzuia kurudish . . .
Maafisa wa Uingereza wanahofia kuwa Donald Trump atatambua udhibiti wa Israel juu ya makaazi haramu katika Ukingo wa Magharibi, kulipiza kisasi uamuzi wa Uingereza, Australia, Ufaransa na nchi nyingin . . .
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kutambua "mauaji ya halaiki yanayotekelezwa kimya kimya" katika nchi yake, wakati Ufaransa i . . .
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema hadi sasa kimefanikiwa kudahili wanafunzi 11,000 wenye sifa za kusoma katika taasisi hiyo.Takwimu hizo zimetolewa Septemba 22 mwaka huu na Mkuu wa . . .
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na silaha za Nyuklia.Akizungumza katika hotuba yake mbele ya bun . . .
Iran na mataifa yenye nguvu ya Ulaya yanatayaria kufanya mazungumzo ya dakika za mwisho ili kuzuia kutekelezwa tena kwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran, maafisa wawili wakuu wa Iran na wa . . .
Spika wa Bunge la taifa nchini DRC, Vital Kamerhe, amejiuzulu. Alikuwa mada ya ombi ambalo lilipaswa kupigiwa kura wakati wa kikao cha mashauriano katika makao makuu ya Baraza la Wawakilishi mjini Kin . . .
Zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa Guinea wamepiga kura ya "ndiyo" katika kura ya maoni ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa utawala wa kijeshi kugombea katika uchaguzi wa urais, kulingana . . .
Nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zinazoongozwa na jeshi, kwa pamoja, zimetangaza kujiondoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya ICC, kwa kile inachosema Mahakama hiyo yenye makao yake jij . . .
NA ALBERT G.SENGO/MWANZA MKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 amekuwa mmoja kati ya mashuhuda wa jaribio la mwisho la safari ndefu kwa Meli ya MV New Mwanza kwenye b . . .
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mwanza imetoa angalizo kwa wakazi wa maeneo mbalimbali wanaofanya shughuli mbalimbali zikiwemo biashara katika maeneo ya hifadhi ya barabara, kuhakikish . . .