Mstaafu, Prof. Florens Luoga alipowasili kwa mara ya kwanza Makao Makuu ya BoT jijiji Dodoma Januari 9, 2023 ikiwa ni saa chache baada ya Kula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma IKULU, Chamwino.Wen . . .
IDARA ya haki ya Marekani inachunguza nyaraka za siri zinazodaiwa kupatikana katika ofisi ya zamani ya Rais Joe Biden, Ikulu ya Marekani inasema.Takriban mafaili 10 kati ya nyaraka hizo zilikutwa zime . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Tutuba aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 7, 2022 . . .
Japan na Marekani zitafanya mkutano kuhusu usalama kati ya mawaziri wa kigeni na ulinzi mjini Washington, siku moja kabla ya Waziri Mkuu Fumio Kishida kuwasili katika mji mkuu wa Marekani wiki ijayo. . . .
Baadhi ya madiwani wa manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameiasa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa - TAKUKURU - mkoani humo kuweka mazingira ambayo yatawawezesha kuwa rafiki wa wananchi, badala . . .
IGP Camillus Wambura amemhamisha aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Muslim kwenda kitengo cha miopango makao makuu na nafasi yake imechukuliwa na ACP Alex Mukama ambaye aliku . . .
Iran iliionya Ufaransa Jumatano baada ya jarida la kejeli la Charlie Hebdo kuchapisha katuni zinazomoonyesha kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei ambazo Tehran iliziona kuwa za kashfa.Jarida hilo la k . . .
Barazala la Mitihani Tanzania (Nacte) limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne, jumla ya wanafunzi 1,320,700 kati ya 1, 592, 235 wenye matokeo sawa na asilimia 82.95 wamefaulu mitihani . . .
Katika kuhakikisha vyanzo vya maji vinatunza katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya kimemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Sa . . .
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amewataka wananchi kutouza vifaa vya msaada walivyopatiwa kufuatia maafa ya upepo mkali uliosababisha nyumba 45 kuezuliwa na baadhi kubomoka katika kijiji cha . . .
Burkina Faso imemtaka balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo, wakati kukiwa na ongezeko la hasira dhidi ya mkoloni huyo wa zamani wa Burkina Faso. Msemaji wa wizara ya mambo ya kigeni ya Ufaransa ame . . .
VIONGOZI mbalimbali wa vyama vya siasa tayari wamewasili katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu . . .
Polisi wa Iran wametoa tena onyo kwamba wanawake lazima wavae hijabu hata wakiwa kwenye magari, vyombo vya habari viliripoti Jumatatu. Maandamano yameikumba Iran tangu kifo cha Septemba 16 cha . . .
Shule katika miji miwili mikubwa nchini Malawi zitasalia kufungwa hadi wakati usiojulikana kutokana na mripuko wa kipindupindu unaoendelea kuwa mbaya zaidi. Wanafunzi walitarajiwa kurudi madarasani ja . . .
Serekali ya Libya, Jumapili imesema wamegundua miili 18 ya watu waliozikwa kwenye kaburi la pamoja katika mji wa kati wa pwani wa Sirte.Mji huo ni ngome ya zamani ya kundi la Islamic State katik . . .
Luiz Inacio Lula da Silva ameapishwa kuongoza kwa muhula wa tatu kama rais wa Brazil. Lula aliapa jana kuwapigania watu maskini na utunzi wa mazingira na kuijenga upya nchi baada ya utawala wa kiongoz . . .
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umetangaza kuwa Daraja la Tanzanite jijini Dar es Salaam litafungwa kuanzia Januari 2 hadi Januari 9 mwaka huu. TANROADS imesema sababu ya kifungwa ni kutoa naf . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Elizabeth Maruma Mrema kutoka Tanzania kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Mazingira (UN . . .
Sudan Kusini itapeleka wanajeshi 750 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku chache zijazo, watakaoungana na wenzao wa kikosi cha kikanda cha Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kukabiliana na . . .
Waasi wa M23 huko mashariki mwa DRC wanawashikilia mateka raia wanaoshukiwa kushirikiana na wanamgambo adui, huku mapigano yakizuka licha ya juhudi za amani za hivi karibuni, vyanzo vya ndani vimeiamb . . .
Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19.Mapema mwezi huu, gazeti h . . .
MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amesema hajuti anapoondoka afisini baada ya kuhudumu kwa miaka sita.Atastaafu rasmi mnamo Januari 17, 2023, kwani Katiba hairuhusu . . .
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonyesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5.Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonyesha watu 1,154 waliop . . .
Rais wa Russia Vladimir Putin amesema Russia iko tayari kwa mashauriano juu ya vita vya Ukraine na ameilaumu Ukraine na washirika wake wa Magharibi kwa kushindwa kufanikisha mazungumzo, msimamo ambao . . .
Serikali ya Uganda imesema kwamba imepokea zaidi ya dozi 5,000 za chanjo ya majaribio dhidi ya virusi vya Ebola aina ya Sudan ambavyo vimesababisha vifo vya watu 50 nchini humo.Waziri wa afya Jane Rut . . .
Wanawake chungunzima wameandamana nje ya chuo kikuu cha Kabul nchini Afghanistan jana Alhamisi, kupinga uamuzi wa kuwazuia wanawake kujiunga na elimu ya chuo kikuu nchini humo. Hatua ya wanawake hao n . . .
Rwanda imeishutumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa "kuyatengeneza" mauaji ambayo wachunguzi wa Umoja wa Mataifa walisema yalifanywa na waasi wa M23 na kusababisha vifo vya raia 131.Se . . .
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umechukua uamuzi jana wa kuwazuia wanawake kote nchini humo kujiunga na vyuo vikuu. Serikali hiyo yenye msimamo mkali wa Kiislamu inaendelea kukiuka haki na uhuru . . .
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, azungumza na Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake katika kikao kazi kilichofanyika Ofisi ndogo ya Wizara hiyo, jijini Dar es Sala . . .
Mkurugenzi mkuu wa Twitter Elon Musk amesema atajiuzulu nafasi hiyo baada ya kumpata mrithi kufuatia kura ya maoni aliyoianzisha iliyoonyesha watumiaji wanamtaka aachie wadhifa huo. Matokeo ya kura hi . . .