logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Marekani yatangaza zawadi ya dola milioni 10 kwa atake kuwa na taarifa juu ya viongozi wa Al-Shabab

Marekani imesema itatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa yeyote ambaye atakuwa na taarifa kuhusu viongozi wakuu wa Al-Shabab, hatua iliyotokana na mfululizo wa mashambulizi mabaya ya kundi hilo la k . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 15, 2022

Polisi Wamtia Mbaroni Mwanamume Aliyejidai Kuwa Mwanamke

Polisi Nchini Kenya wamemkamata kijana mwenye umri wa miaka  21 Jared Opiyo Nyatumba  kwa kuvaa mavazi ya kike na kutumia jina la kike la mwanamke mwingine ambae ni Sheila Bichange.&nbs . . .

Elimu
  • Na Asha Business
  • November 14, 2022

Kidato cha Nne waanza mitihani leo

Wanafunzi wa kidato cha nne nchini leo wanaanza mitihani yao pamoja na ile ya maarifa, mtihani unaofanyika katika jumla ya shule 5,212 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 1,794. Jumla ya watahiniw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

Chama cha wenye ualbino chalaani mauaji ya mwezao

Siku moja baada ya jeshi la polisi kuwakamata watu watano wanaohusika na mauaji wa mtu mwenye ualbino, Chama cha watu wenye ualbino mkoa wa Mwanza TAS kimelaani watu wanaoendelea kutekeleza mauaji hay . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

Biden "Nitatangaza hivi karibuni kama nitagombea urais mwaka 2024"

Rais Joe Biden alisema Jumatano kuwa atatangaza mapema mwaka ujao iwapo atagombea tena urais. Alikuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari huko ikulu mjini Washington DC katika siku ambayo Wademokra . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

ATCL kupunguza safari zake

Shirika la ndege Tanazina[ATCL] limesema litapunguza miruko ya ndege zake pamoja na kufuta baadhi ya safari ili kutoa muda wa matengenezo ya injini . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 10, 2022

Wakenya Kuingia Afrika Kusini Bila Kuwa Na Visa

Wakenya waruhusiwa  kuingia nchini Afrika Kusini bila visa kuanzia Januari, 1, 2023 kwa muda usiozidi siku 90 kila mwakaHii ni baada ya mazungumzo kati ya Rais William Ruto na Rais wa Afrika Kusi . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 6, 2022

Rais Samia atuma salamu za pole ajali ya ndege ziwa Victoria

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali ya Ndege ya Kampuni ya Ndege la Precision Air iliyoanguka ziwa Victoria asubuhi ya leo Novemba 6, . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 6, 2022

Mgomo wa Marubani wa Kenya Airways Wakwamisha maelfu ya Abiria

Maelfu ya abiria wa shirika ndege la Kenya Airways wamekwama baada ya marubani wa shirika hilo kuanza mgomo siku ya Jumamosi asubuhi ulolazimisha kufutwa kwa mamia ya safari Abiria wengi kwenye uwanj . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 4, 2022

Papa Francis kukutana na viongozi wakuu wa Kiislamu Bahrain

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anatazamiwa kukutana leo na viongozi wakuu wa dini ya Kiislamu, akiwa katika ziara nchini Bahrain inayoazimia kuboresha mjadala baina ya imani tafauti. . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • November 3, 2022

Tumbili Ahudhuria Mazishi ya Jamaa Aliyemlisha

Peetambaram Rajan mwenye umri wa miaka 56, aliripotiwa kufariki dunia baada ya kupata ugonjwa wa ghafla katika nyumba yake iliyoko huko Batticaloa, Sri Lanka. Lakini katika maisha yake yote, alij . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • November 3, 2022

Tumbili Ahudhuria Mazishi ya Jamaa Aliyemlisha

Peetambaram Rajan mwenye umri wa miaka 56, aliripotiwa kufariki dunia baada ya kupata ugonjwa wa ghafla katika nyumba yake iliyoko huko Batticaloa, Sri Lanka. Lakini katika maisha yake yote, alij . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 2, 2022

NGUO ZA MITUMBA ZAPIGWA MARUFUKU KENYA

Waziri wa Biashara Moses Kuria wa nchini kenye ametangaza kupiga marufuku mavazi ya nguo za mitumba hivi.Akiongea katika hafla ya Changamka ambayo  katika ukumbi wa KICC, Kuria alisema serikali i . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 2, 2022

Jair Bolsonaro azungumza kwa mara ya kwanza tangu aliposhindwa uchaguzi

Rais wa Brazil Jair Bolsonaro amezungumza kwa mara kwanza jana Jumanne tangu aliposhindwa uchaguzi na kutoa hotuba fupi ambayo hakutamka wazi kuyakubali matokeo.Hotuba yake haikugusia chochote kuhusu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

Korea Kaskazini yataka Marekani na Korea Kusini kuachana na luteka za kijeshi

Korea Kaskazini imeitaka Marekani na Korea Kusini kuacha kufanya luteka kubwa za pamoja za kijeshi inazozitaja kama uchokozi unaoweza kuchochea hatua kali zaidi kutoka kwa Pyongyang. Taarifa ya wizara . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 1, 2022

Rais wa Kenya Ruto aagiza mapinduzi ya jeshi la Polisi

Rais wa Kenya William Ruto amesisitiza dhamira ya serikali yake kukomesha mauaji ya kiholela nchini humo, kwa kuagiza shirika la polisi kuandaa mipango ya mageuzi na uangalizi wa raia. Haya yanajiri . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 30, 2022

DRCongo yamtimua Balozi wa Rwanda mjini Kinshasa

Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo imemfukuza balozi wa Rwanda nchini humo Vincent Karega. Hatua hiyo inajiri wakati kundi la waasi la M23 ambalo Kongo inadai kuwa linaungwa mkono na Kigali, likiendelea . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Asasi za kiraia zamtaka Macky Sall kutangaza kama atawania tena urais

Mashirika kadhaa nchini Senegal, yanamtaka Rais Macky Sall kuondoa shaka, na kutangaza hadharani kwamba hatagombea muhula wa tatu, jambo ambalo walisema linaweza kuzua "machafuko." Sall, ambaye . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 28, 2022

Maambukizia ya kifua kikuu yaongezeka duniani

Ripoti mpya ya Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, inasema dadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa kifua kikuu, ikiwa ni pamoja na uwepo wa wenye kupata usugu wa dawa, imeongezeka kwa mara ya kwanza baada . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

FAHAMU KUHUSU TIBA YA MACHO KUTOKA ST CLARE HOSPITAL MWANZA

IDAARA ya macho ina sehemu kuu mbili nazo ni kliniki ya macho na chumba cha upasuaji wa macho.Jeh yapi magonjwa ya macho yanayo wakuta wengi?Vipi kwa wachomeleaji vyoma watumiao moto wenye wmanga mkal . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Walioondolewa Kazini kwa vyeti Feki

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa watumishi wote walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti warejeshewe michango yao waliyochangia kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii.Watumishi hao ni wale walioondo . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 26, 2022

Mwanaume Mchafu zaidi Duaniani Afariki Dunia Baada ya Watu Kumchukua na Kumuogesha

Mwanamume mmoja wa Iran aliyepewa jina la ‘mtu mchafu zaidi duniani’ kwa kutooga kwa zaidi ya nusu karne amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti.Amou H . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Waziri wa uchumi Japan ajiuzulu

Waziri wa Uchumi wa Japan, Daishiro Yamagiwa,  Jumatatu aliwasilisha barua ya kujiuzulu kutokana na mahusiano yake na kanisa la Unification. Yamagiwa alikuwa amekabiliwa na ukosoaji mkubwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

MASAUNI AWATAKA TRAFIKI KUKAMATA MABASI YASIYO NA VIZIBITI MWENDO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi Nchini na Baraza la Taifa na Usalama barabarani kuhakikisha wanayakamata mabasi yote yasiyo na vizibiti mwendoMasaun . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 25, 2022

Askofu Dkt. Gwajima Afanya Uteuzi wa Wasadizi Wake

Josephat Gwajima katika kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi katika suala zima la michezo amewateua wafuatao kuwa wasaidizi wa Mbunge kwenye masuala ya michezo, utamaduni na sanaa. . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

HRW yatoa wito kwa Qatar kulinda haki za watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja

Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema polisi nchini Qatar, imewakamata na kuwanyanyasa wanachama wa Jamii ya watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kuelekea mashin . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 24, 2022

jamaa abomoa nyumba kisa mwanamke kuchukuliwa na mwanaume mwingine

Francis Banda, mwanamume kutoka Malawi anayeishi Ntcheu, anagonga vichwa vya habari baada ya kubomoa nyumba mbili kutokana na hasira iliyosababishwa na kuvunjwa moyo.Banda alimwacha na kukimbilia kwa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 23, 2022

Kenya na Marekani zinataka mzozo wa Ethiopia kutatuliwa haraka iwezekanavyo

Mshauri wa usalama wa taifa wa rais wa Marekani Jake Sullivan, amefanya mazungumzo na mwenzake wa Kenya Dr. Monica Juma kuhusu vita vya Ethiopia na mgogoro wa kibinadamu unaoendelea kuongezeka nchini . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 23, 2022

Boris Johnson 'ameanza kampeni' kuwa waziri mkuu wa Uingereza

Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amerudi nchini humo katika juhudi zake za kujaribu kurudi madarakani baada ya kujiuzulu wa Liz Truss. Johnson alilazimika kujizulu baada ya utaw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2022

waziri mkuu wa uingeraza aishangeza dunia

Liz Truss amejiuzulu kama waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukaa madarakani kwa chini ya miezi miwili.Kuanzia mkutano wake wa kwanza na Malkia, hadi machafuko ya bajeti yake ndogo, wiki zake sita mad . . .

Kurasa 91 ya 130

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Miaka kumi ya Jembefm

    • 5 masaa yaliopita
  • Madhara ya kichokonoo kwenye meno

    • 5 masaa yaliopita
  • Chaguzi za UDA kupima nguvu zake Mlima Kenya

    • 6 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode