logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 17, 2025

Liverpool mbioni kumsajil mshambuliaji Hugo Ekitike kutoka Ujerumani

Klabu ya Liverpool ya England inaendelea kuweka juhudi zake za kumtia mikononi mshambuliaji chipukizi Hugo Ekitike kutoka Eintracht Frankfur . . .

Top Story
  • Na Baba Juti
  • July 16, 2025

Barack Obama na Michelle Obama Watoa Ufafanuzi kuhusu Kupeana Talaka

Hatimaye Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama na mke wake Michelle Obama, wametolea ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kuwa ndoa yao ip . . .

Kitaifa
  • Na Baba Juti
  • July 16, 2025

Ekari 614 za Bangi Zateketezwa kwa moto Morogoro

MOROGOROJumla ya Ekari 614 za mashamba ya dawa za kulevya aina ya bangi, kilogramu 3,741.9 za bangi kavu na kilogramu 1,706 za mbegu za ban . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Wahamiaji haramu kurejeshwa kwao Burundi

Katika oparesheni maalum inayoendelea mkoani Geita, Idara ya Uhamiaji imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 126 kutoka nchini Burundi weng . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 16, 2025

Wakazi wachoma lori lililogonga na kuua mama na mwanawe Namanga

WAKAZI wenye ghadhabu kando kando mwa barabara kuu ya Namanga wameteketeza lori lililogonga na kuua mama na bintiye papo hapo.Kisa hicho kil . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 16, 2025

Syria yalengwa na mashambulizi usiku, Israeli yaongeza maonyo

Syria imelengwa na mashambulizi mapya ya Israeli wakati wa usiku wa Julai 15 kuamkia Julai 16, hasa dhidi ya miundombinu ya kijeshi. Waziri . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • July 16, 2025

Makumi ya watu wameuawa karibu na kituo cha usambazaji wa misaada kusini Gaza

Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Gaza (GHF) limeripoti vifo 20 katika kituo cha usambazaji wa misaada kusini mwa ardhi ya Palestina siku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 16, 2025

Marekani yawafukuza wahamiaji watano kutoka Asia na Caribbean kwenda Eswatini

Marekani imewafukuza wahamiaji watano kutoka nchi za Asia na Caribbean na kuwapeleka katika nchi ndogo ya kifalme ya Eswatini, barani Afrika . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

vyombo vya habari vyapigwa ‘msasa’ kuelekea uchaguzi

KATIKA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu sekta ya habari nchini imeelekezwa kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani ya nchi, kuha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Mauzo ya magari yapungua kufuatia ongezeko la ushuru wa Marekani

Madhara ya kwanza ya mashambulizi ya kibiashara ya Marekani yanaonekana nchini Afrika Kusini. Usafirishaji wa magari kwenda Marekani umepung . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Al Shabab wauteka mji wa Tardo

Wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabab wanaendelea na mashambulizi yao katikati mwa Somalia Tangu mwanzoni mwa mwaka 2025, wamekuwa wakirejea k . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Ruto ameanza kujipanga kwa kura ya 2027 kwa kusisitiza ukamilishaji wa miradi

RAIS William Ruto ameanza kujipanga kwa kura ya 2027 huku akianzisha mikakati ya kisiasa, kiuchumi na masuala ya kijamii kupata tikiti ya ku . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kubaini mzigo wa madeni na ufadhiri mdogo katika shule za umma

OFISI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeweka wazi changamoto zinazokumba shule nyingi za umma nchini, huku nyingi zikikumbwa na mzigo . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Lissu leo kuendelea kusikiliza shauri lake mahakamani

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, leo amepanda kizimbani katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuendelea na usikilizwaji wa sh . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Balozi wa Tz yakosolewa na bunge la Ulaya kitendo cha kuikalia kimya kesi ya Lissu

Bunge la Ulaya limekosoa vikali ukimya wa Balozi wake nchini Tanzania, Bi Christine Grau, kufuatia kile walichokitaja kuwa ukandamizaji wa k . . .

Burudani
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Mkewe Mrisho Mpoto afariki dunia

Mrisho Mpoto msanii wa sanaa za maonesho na kughani, kupitia akaunti yake ya Instagram ametoa taarifa za kufiwa na mkewe ambaye alikuwa akiu . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 16, 2025

Dkt,Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu julai 19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Kikao cha kawaida cha Kamati . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Donald Trump aipa Urusi siku 50 kumaliza Vita nchini Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Karibia watu 300 wameuawa na RSF Kordofan Kaskazini

Nchini Sudan, wapiganaji wa RSF wameua karibu watu 300 kufuatia mashambulio katika jimbo la Kordofan Kaskazini yaliyoanza siku ya Jumamosi.K . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Maambukizo ya kipindupindu yaendelea kuripotiwa jijini Kinshasa

Maambukizo ya kipindupindu bado hayadhibitiwa katika jiji kuu Kinshasa nchini DRC huku mamlaka katika jimbo jirani la Maï-Ndombe, ikithibit . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Mazungumzo ya makubaliano ya amani yashika kasi Doha

Wakati wajumbe kutoka serikali ya Kongo na vuguvugu la waasi la AFC/M23 wanakutana mjini Doha kujaribu kuelekea kwenye makubaliano ya amani, . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Rais Paul Biya wa Cameroon, Mwenye Umri wa Miaka 92 Atawania Tena 2026

Rais Paul Biya wa Cameroon, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza rasmi kuwa atawania tena urais kwa mara ya nane katika uchaguzi wa Oktoba mw . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 15, 2025

Mo Dewji Atoa Tamko Zito Kuhusu Simba -”Kusema Sitoi Hela Ni Fitina Nimewekeza Bilioni 87

Mwekezaji maarufu na Rais wa heshima wa klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji (Mo), amevunja ukimya kwa kutoa ufafanuzi mzito kuhusu mchango wak . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Kesi ya Lissu kusogezwa mbele hadi julai 30

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa katika gereza la Ukonga, Dar es salaam baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya uhaini inayomkab . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Maambukizo ya kipindupindu yaendelea kusambaa DRC

Maambukizo ya kipindupindu bado hayaja dhibitiwa katika jiji kuu la Kinshasa nchini DRC huku mamlaka katika jimbo jirani la Maï-Ndombe, iki . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Yaibuka maswali kuhusu Paul Biya kugombea kiti cha urais

Rais wa Cameroon Paul Biya alitangaza kwenye akaunti yake ya Twitter kwamba anagombea tena uchaguzi wa urais wa Oktoba 12 mwaka huu Tangu wa . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Mazungumzo na makubaliano ya amani yashika kasi Doha

Wakati wajumbe kutoka serikali ya Kongo na vuguvugu la waasi la AFC/M23 wanakutana mjini Doha kujaribu kuelekea kwenye makubaliano ya amani, . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Takribani watu 300 wameuawa na RSF Kordofan Kaskazini

Nchini Sudan, wapiganaji wa RSF wameua karibu watu 300 kufuatia mashambulio katika jimbo la Kordofan Kaskazini yaliyoanza siku ya Jumamosi.K . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Vuguvugu laibuka CCM kufuatia tuhuma za kupokea rushwa dhidi ya Ibrahim Mzava.

Mchakato wa ndani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kuwapata wagombea wa ubunge na udiwani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 umeelezwa kuingia ka . . .

DINI
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Mahakama kuondoa shauri la kanisa la Gwajima huku maombi mapya yakiwasilishwa

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma imeondoa shauri la awali lililofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Raia wa Afrika wafutiwa Visa kuingia chini Kenya isipokuwa nchi mbili

Nchi ya Kenya imeandika historia mpya hivi karibuni baada ya kuondoa rasmi hitaji la ‘Visa’ kwa raia wa nchi zote za Afrika isipokuwa kw . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Chaumma yapata watia nia majimbo yote mkoani Mara

Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

GEL yatoa mwongozo wanafunzi wanaokwenda kusoma nje ya nchi

Wazazi ambao watoto wao wanakwenda kusoma nje ya nchi kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026 wametakiwa kufuatilia kwa karibu mwenendo wa watoto w . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 15, 2025

Lissu kutoridhishwa na maombi ya upande wa Jamhuri kuahirisha kesi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, ameonesha kutoridhishwa na maombi ya upande wa Jamhuri ya kuah . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Zitto akamatwa na kuachiliwa kwa dhamana

Chama cha ACTWazalendo kimetoa taarifa kuwa Kiongozi mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe, alishikiliwa na Jeshi la Polisi, Saa Sita Usiku, Ju . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Ajali Ya Ndege London Kadhaa Wahofiwa Kufariki

Katika tukio la kushtua lililotokea leo jijini London, ndege aina ya Beech B200 Super King Air imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Msafara Wa Twende Butiama 2025 Wahitimishwa

Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa wa Mara eneo . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Hali ya Joel Lwaga Kiafya Sio Nzuri

Joel Lwaga amefunguka kuhusu hali yake ya kiafya baada ya kupata ajali ya kimichezo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lwaga ameeleza kuwa . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • July 14, 2025

Mshtakiwa Dawa za Kulevya Afia Gerezani

OFISA wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Selemani Mbwambo amedai wakati akishuhudia ufungaji wa kielelezo cha dawa za . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Mazungumzo ya amani yakwama mjini Doha, Qatar

Rais wa Marekani kwa mara nyingine anajifanya msuluhishi na mtetezi wa amani, huku mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja mjini Doha, Qatar, yal . . .

Kurasa 38 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category