Rais wa zamani nchini Malawi, Lazarus Chakwera amesema ameridhia uteuzi wa Jumuiya ya Madola kuwa msuluhishi Tanzania.Chakwera amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanachama wa chama chake MCP mjini . . .
CHAMA cha Walimu Wakuu wa Shule za Msingi (KEPSHA) na Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) vimepinga uongozi mpya unaopendekezwa ambapo walimu wa Shule za Sekondari ya Chini (JSS) msingi ‘kusimamia†. . .
#10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime . . .
Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao watoto, wako hatarini kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo 2030 kwa sababu ya kupunguzwa kwa misaada ya Marekani na Ulaya.Zaidi ya watu milioni 22 . . .
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atakutana na viongozi wa Ufaransa na Uingereza mjini Berlin jioni ya leo. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali.Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atakuwa . . .
Mrengo wa upinzani nchini Mali, umeituhumu utawala wa kijeshi kwa kushindwa kuilinda nchi hiyo dhidi mashambulio ya wanajihadi ambao umesababisha uhaba wa mafuta.Kwa miezi miwili sasa, jiji kuu . . .
Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza leo Novemba 17, 2025 Baraza jipya la Mawaziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.Tan . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakiwa kheri ya wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne ambao wameanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari leo katika shule takribani 5,868 nchini.Katika ujumbe alioutoa k . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewataka maafisa usafirishaji (bodaboda) kujiepusha na vitendo vyovyote vya uhalifu au uvunjifu wa amani kutokana na makundi yenye nia ovu kudaiwa kuwashirikisha baadhi . . .
Mke wa mwanasiasa mashuhuri nchini Uganda, Kizza Besigye, Winnie Byanyima, sasa anataka mume wake kuachiwa huru na haki itendeke, kauli anayotia wakati huu mwanasiasa huyo akifikisha mwaka mmoja kizui . . .
Dar es Salaam, Tanzania – Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, inatarajia kutoa hukumu Novemba 04, 2025 katika kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025, inayo . . .
Kuelekea kongamano la Kimataifa kuhusu amani kwenye ukanda wa Maziwa Makuu litakolofanyika siku ya Alhamisi jijini Paris, mashirika kumi na mawili yasiyokuwa ya kiserikali na yale ya kutoa misaada ya . . .
Wajumbe wa Kamati za Utafiti na Ubunifu ambayo ni Kamati Elekezi na Kamati ya Kiufundi wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa weledi uwazi na ubunifu ili kuhakikisha kuwa tafiti zinazofanyika zinatoa . . .
Serikali inaendelea na zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha sita kutoka mikoa ya Tabora hadi Kigoma katika wilaya za Tabora Mjini, Uyui, Urambo, . . .
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda Oktoba 28 mwaka huu amekabidhi rasmi hundi za malipo ya fidia kwa kaya 28 za wakazi wa Bonde la Maisaka, waliopisha ujenzi wa mradi mkubwa w . . .
Wizara ya Kilimo imekabidhi vifaa vya umwagiliaji kwa wakulima 383 wa Wilaya za Songea na Nyasa mkoani Ruvuma vitakavyowasaidia kumwagilia zaidi ya ekari 500 za kilimo.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya K . . .
Tamasha la Land Rover Iringa 2025 litakalofanyika mwezi Novemba 2025 linatarajia kutangaza vivutio vya utalii vya mkoa wa Iringa hivyo kuvutia watalii wengi kutoka ndani na nje ya nchi.Akizungumza kat . . .
Ripoti kutoka Mabilionea Bloomberg Mfanyabiashara mkubwa wa nchini Nigeria, Aliko Dangote, ameandika historia mpya kwa kuwa Mwafrika wa kwanza kufikisha utajiri wa Dola Bilioni 30.3.​Utajiri huu wa . . .
MWANAFUNZI wa shule ya upili iliyo eneo la Lamu ya Kati, Kaunti ya Lamu, huenda akalazimika kufanya mitihani yake ya KCSE akiwa chini ya ulinzi wa polisi.Hii ni kutokana na kuwa, alikamatwa na kuwekwa . . .
Baraza la Haki za bindamu la Umoja wa Mataifa, limewateua watalaam watatu, kuchunguza madai ya ukiukwaji wa haki Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatia uhaba wa bajeti ya fedha, kuwa . . .
Taasisi ya Elimu Tanzania ( TET) na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wamefanya kikao cha pamoja kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali juu ya utekekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa ya Elimu y . . .
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mhe. Fatma Mwassa amezindua ugawaji wa vifaa vya umwagiliaji kwa wakulima wadogo ili kuwawezesha vijana na wanawake kushiriki kikamilifu katika kilimo cha kisasa chenye tija na . . .
Jumla ya vituo 384 vya kupigia kura vimeandaliwa katika Jimbo la Mwibara na Bunda katika kata kumi na tisa ili kurahisisha zoezi la upigaji kura ambapo kila kituo kimoja kitahudumia wananchi wasiozidi . . .
Abiria wa safari ya kwanza ya moja kwa moja kati ya India na China katika kipindi cha miaka mitano wamewasili leo Jumatatu, baada ya mataifa hayo makubwa ya Asia kuondoa marufuku ya usafiri wa anga .A . . .
Baada ya Gazeti la Wall Street Journal kuripoti kuwa utawala wa Trump umeondoa kizuizi muhimu kwa Ukraine kutumia baadhi ya makombora ya masafa marefu iliyotolewa na washirika wa Magharibi, Putin alis . . .
Donald Trump ametangaza kusainiwa kwa mkataba wa amani kati ya Thailand na Cambodia alipowasili Malaysia siku ya Jumapili kama sehemu ya ziara yake barani Asia, ziara ya kwanza tangu arudi madarakani . . .
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea . . .
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimesema hakitambui wala kuhusika kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wataaluma wa Chuo hicho (UDASA) Oktoba 23, 2025.Akitoa taarifa hii, Makamu Mk . . .
Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, umewasilishwa na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa nchi hiyo, Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Da . . .
Raia wengi wa Ujerumani wanakubaliana na matamshi ya hivi karibuni ya kansela wa Ujerumani Friedrich Merz yanayopendekeza kwamba matatizo yanatokana na uhamiaji yanadhihirika wazi katika barabara za n . . .