logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Afya
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Faida za Maji ya Nazi kwa Wagonjwa wa Gauti Unazopaswa Kujua

Gout ni ugonjwa wa kimetaboliki unaosababishwa na kuongezeka kwa kiwango cha asidi ya uric (uric acid) kwenye damu ambapo Asidi hi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Marekani yaifuatilia meli nyingine ya mafuta Venezuela

Marekani imetangaza kuwa inaifuatilia Venezuela kwa lengo la kuikamata meli nyingine ya mafuta inayodai kutumiwa na serikali yake kukwepa vi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Wayahudi watakiwa kuhamia Israel kuepuka chuki

Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Israel Gideon Saar amewatoa mwito kwa Wayahudi waishio kwenye mataifa ya magharibi kuhamia nchini Israel ili ku . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

AFCON yafunguliwa rasmi Rabat, Morocco waanza kwa kishindo

Michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika AFCON 2025 imeanza usiku wa kuamkia leo na katika mechi ya ufunguzi wenyeji Morocco waliibamiza t . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 22, 2025

Wanafunzi waliotekwa nyara Niger waachiwa huru

Serikali ya Nigeria imethibitisha kuachiwa huru kwa wanafunzi wote waliotekwa nyara katika shule ya St. Mary’s iliyopo katika jimbo la kas . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • December 21, 2025

Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

Nyota wa soka wa Ufaransa, Kylian Mbappé, ameandika historia mpya ndani ya klabu ya Real Madrid baada ya kufikia rekodi ya muda mrefu iliyo . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene ameviomba vyombo vilivyopo chini ya wizara hiyo kufanya utafiti na kuja na suluhisho la . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

Umoja wa Mataifa umeomba ufadhili wa dharura kusaidia zaidi ya raia 80,000 waliokimbilia Burundi kufuatia mmapigano ya hivi karibuni yaliyot . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

UTPC, C-Sema na Elimika Waanzisha Mwongozo wa Uandishi wa Habari za Ukeketaji Kukomesha Ukatili ifikapo 2030

Umoja wa Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na taasisi zinazoongoza mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, ikiwa ni pamoj . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

CAF Yatangaza Zawadi za Fedha za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025

Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi muundo wa zawadi za fedha kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

Je unafahamu faida za Kunywa Juisi ya Karoti Kila Wiki

Juisi ya karoti ni kinywaji chenye virutubisho vingi muhimu kama vitamini, antioxidants na nyuzinyuzi, ambavyo huchangia kuboresha afya kwa . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

Simba Yamteua Steve Barker Kuwa Kocha Mkuu Mpya

Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kumteua Steve Barker kuwa kocha mkuu mpya wa kikosi hicho, akichukua nafasi ya Meneja D . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 20, 2025

Mwanaume Afariki Baada ya Kufuata “tiba” ya Mtandaoni

Hii ni habari ya kusikitisha  kuhusu kifo cha mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 47 kutoka Vietnam, ambaye alikufa baada ya kuacha kut . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Ng’ombe 22 wamekufa katika mazingira ya kutatanisha Shinyanga

Ng’ombe 22 wa mfugaji Alex Idege, mkazi wa Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola, Wilaya ya Shinyanga, wamekutwa wamekufa zizini muda mfupi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

TikTok yaepuka marufuku ya Marekani kupitia ubia mpya

Mtandao wa kijamii wa TikTok umechukua hatua muhimu ya kibiashara kwa kufikia makubaliano ya kuanzisha ubia na kampuni za Marekani, hatua in . . .

Mastaa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2025

Wiz Khalifa Ahukumiwa Jela Romania kwa Kosa la Dawa za Kulevya

Staa mkubwa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Wiz Khalifa amehukumiwa na Mahakama ya Romania kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kuv . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2025

Kura yapigwa kufupisha kifungo cha miaka 27 gerezani alichozabwa Rais

WABUNGE nchini Brazil mnamo Jumatano walipiga kura kufupisha kifungo ambacho Rais Jair Bolsonaro aliangushiwa kutoka miaka 27 hadi miaka miw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 19, 2025

Papa Leo akemea wanaotumia dini kuhalalisha vurugu

Papa Leo, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, siku ya Alhamisi Desemba 18, 2025 amewakemea vikali viongozi wa kisiasa na viongozi wa dini w . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • December 19, 2025

Pwani wajipanga kuwafikia wasio na uwezo kupitia Bima ya Afya kwa Wote

Katika tathmini ya utekelezaji wa ahadi za siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Pwani umejipanga kufanya uhakiki wa wananchi wasio . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Wiz Khalifa Ahukumiwa Jela Romania kwa Kosa la Dawa za Kulevya

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, amehukumiwa kifungo cha miezi tisa jela na Mahakama ya Romania kwa kosa la kuvuta ba . . .

Dini
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Papa Leo Asema Matumizi ya Dini Kuanzisha Vita ni Kufuru na Dhambi Kubwa

Papa Leo ambaye ni  kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani leo Vatican City, Desemba 18 mwaka huu amekemea vikali matumizi ya di . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Kifo cha 'Hadi' chazua vurugu kubwa Bangladesh

Maandamano yaliyoambatana na vurugu yamezuka kote mjini Dhaka na sehemu nyingine za Bangladesh kufuatia kifo cha mwanaharakati maarufu Shari . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Rais wa zamani wa Iraq awa mkuu mpya wa UNHCR

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Alhamisi lilimuidhinisha Rais wa zamani wa Iraq Barham Salih kuwa mkuu ajaye wa shirika la wakimbizi, UN . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Marekani yawawekea vikwazo majaji wawili zaidi wa ICC

Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili zaidi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutokana na uchunguzi wake dhidi ya raia . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Watu 7 wakamatwa wakihusishwa na washambuliaji wa Bondi

Wanaume saba wanaoaminika kuwa na uhusiano wa kiitikadi na washambuliaji wawili waliohusika na shambulizi la kigaidi kwenye ufuo wa Bondi si . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Umoja wa Ulaya kuipatia Ukraine mkopo wa yuro bilioni 90

Viongozi wa Umoja wa Ulaya hatimaye wamefikia makubaliano ya kuipatia Ukraine mkopo wa kiasi cha yuro bilioni 90 katika kipindi cha miaka mi . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • December 19, 2025

Fahamu Mambo 12 Muhimu Kabla ya Kununua Laptop au PC

Katika zama za sasa, laptop na PC zimekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu kazi, burudani, elimu na mawasiliano yote yanategemea vifaa hivi. La . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 18, 2025

Magari 11 yaondolewa namba za usajili Rukwa

Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Rukwa limefanya operesheni maalum ya usalama barabarani kuelekea sikukuu za mwisho wa . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania

Msanii maarufu wa muziki wa Bongofleva wenye ladha ya R&B na Afro-pop Christian Bella amepewa uraia wa Tanzania.Hayo yamesemwa leo disem . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • December 18, 2025

Polisi Morogoro wachunguza kifo dada wa kazi, magari kuchomwa moto Mvomero

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea na uchunguzi wa tukio la kuchomwa moto kwa magari mawili katika Kijiji cha Lusanga, Wilaya ya M . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 18, 2025

Nigeria yaomba radhi Burkina Faso baada ya ukiukaji wa anga

Nigeria imeomba radhi Burkina Faso kufuatia ukiukaji wa anga yake wiki iliyopita. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Shirikisho la Nigeria . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

UN na mashirika waonya juu ya kusitishwa misaada Gaza

Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya misaada 200 wametahadharisha kwamba operesheni za kiutu kwenye maeneo ya Kipalestina na hasa Ukanda . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Bunge la Ujerumani lapitisha mabilioni ya matumizi ya jeshi

Kamati ya Bajeti ya Bunge la Ujerumani imeidhinisha kitita cha yuro bilioni 52 za matumizi ya kijeshi wakati taifa hilo likijaribu kujiimari . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Trump atangaza mikakati ya mwaka 2026

Rais wa Marekani  Donald Trump amelihutubia taifa hilo leo Alhamisi ya Disemba 18 mwaka huu na kuweka wazi mipango yake ya kuifanya Mar . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Polisi Morogoro wachunguza kifo cha dada wa kazi na magari kuchomwa moto Mvomero

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea na uchu . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Wakuu wa Shule Msiwe Kikwazo Cha Utendaji Kazi wa Walimu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI] Mhe. Prof Riziki Shemdoe amewataka Wakuu wa Shule . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Msako wa Kuwakamata Kamchape waanza rasmi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewataka wananchi kuachana na imani potofu ikiwemo kuamini katika ushirikina ambao unaweza kuchochea mauaji . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • December 18, 2025

Zitambue Faida za Tufaha (Apple) katika Kulinda Moyo Wako

Unatambua kwamba ulaji wa tufaha (Apple) moja kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya ya moyo kwa kutanua mishipa ya damu, kupunguza uvim . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • December 17, 2025

Mvua kubwa yaezua paa la nyumba Mtwara

Mvua iliyoambatana na upepo imeezua paa la nyumba katika mtaa wa Ligula TES Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.Mashuhuda wameeleza k . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Mwanza yazindua utoaji elimu ya bima ya afya kwa wote

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, leo Desemba 17 mwaka huu amezindua utoaji wa elimu ya Bima ya Afya kwa Wote mkoani Mwanza, akihimi . . .

Kurasa 10 ya 221

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category