UTAFITI mpya umeonya kwamba mtoto anapotumia sana vifaa vya kielektroniki, hasa pale shida hii inapoambatana na kiwango kidogo cha usingizi, . . .
CHAMA cha Walimu Wakuu wa Shule za Msingi (KEPSHA) na Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) vimepinga uongozi mpya unaopendekezwa ambapo walim . . .
#10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime . . .
Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao watoto, wako hatarini kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo 2030 kwa sababu ya kupunguz . . .
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atakutana na viongozi wa Ufaransa na Uingereza mjini Berlin jioni ya leo. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa . . .
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuwa golikipa Moussa Pinpin Camara ambaye kwa sasa yupo Nchini Morocco kwa matibabu ataendelea kuwa nje ya u . . .
Mrengo wa upinzani nchini Mali, umeituhumu utawala wa kijeshi kwa kushindwa kuilinda nchi hiyo dhidi mashambulio ya wanajihadi ambao u . . .
Dodoma, Tanzania — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza leo Novemba 17, 2025 Baraza jipya la Mawa . . .
Kwa heshima na upendo mkubwa, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wasikilizaji wetu wote wa Jembe FM kwa kutembea nasi katika safari ya mi . . .
Ni viumbe wa ajabu, wenye upara, wanaishi chini ya ardhi wakiwa na mwonekano unaofananishwa na soseji yenye meno, na sasa wataalamu wamefich . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakiwa kheri ya wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne ambao wameanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari leo . . .
Mohamed Salah anatarajiwa kuichezea timu ya taifa Misri katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Desemba na Januari, huku Liverpoo . . .
Homa ya mapafu ni miongoni mwa magonjwa ambukizi yanaongoza kwa kusabisha vifo vingi miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano . . .
Watu 32 wamefariki dunia, baada ya mgodi wa Kobalti kuporomoka katika eneo la uchimbaji madini la Kalando, katika machimbo ya Mulondo ya Jam . . .
Rais Samia Suluhu Hassan amewatakiwa kheri ya wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne ambao wameanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari leo . . .
UWEZO wa mwanamke kupata mimba hupungua kwa kasi kuanzia katikati ya umri wa miaka 30, jambo ambalo limekuwa likiwasumbua wanasayansi kwa mu . . .
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ametoa rai kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewataka maafisa usafirishaji (bodaboda) kujiepusha na vitendo vyovyote vya uhalifu au uvunjifu wa amani kut . . .
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kupinga jaribio la kuanzisha taifa la Palestina, siku moja kabla ya Baraza la Usalama la Umo . . .
Jumuiya ya burudani nchini Tanzania imepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kifo cha ghafla cha mchekeshaji na mshereheshaji maarufu, Emmanue . . .
Mke wa mwanasiasa mashuhuri nchini Uganda, Kizza Besigye, Winnie Byanyima, sasa anataka mume wake kuachiwa huru na haki itendeke, kauli anay . . .
Timu ya taifa ya DRC hapo jana iliweka hai matumaini yake ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia hapo mwakani baada ya kuwafunga Nigeri . . .
Asante kwa safari ya miaka 10 ya kuwa nasi pamoja kama familia moja yenye, upendo, na ushirikiano! Kutoka Jembe FM, tunasema asante kwa wasi . . .
Wakati Bunge linaanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hasan aliwataka wabunge wasimame kuwaombea waliopoteza maisha . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Samia Suluhu Hasan amesema serikali yake itaunda wizara maalumu ya vijana na itashughulikia mas . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameielekeza Wizara ya Afya kusimamia na kutekeleza maelekezo ya kutozuia . . .
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Wema Haibe (38), Dalali wa Mahakama, kwa tuhuma za wizi wa kuaminiwa baada ya kuuza nyumba aliyo . . .
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaib Mussa, ameungana na viongozi mbalimbali wa . . .
Wakulima zaidi ya 250 katika Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza wamepokea jozi 22 za vifaa vya kisasa vya umwagiliaji kwa vikundi vyao 11, kufua . . .
AFISA Madini Mkazi wa Mkoa wa Simiyu, Mayigi Makolobela, amesema mkoa huo umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato yatokanayo n . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar na . . .
Chama Cha ACT-Wazalendo kimetoa hoja tatu wanazotaka zitekelezwa baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais wabunge na madiwani na mgombe . . .
Rais wa Kenya William Ruto, amesema kuwa demokrasia ni mfumo bora wa utawala, ingawa si rahisi kila wakati. Ameeleza kuwa demokrasia ina cha . . .
Msanii maarufu kutoka Nigeria, Tekno, amevutia hisia nyingi baada ya kushinda ₦298,000,000 kupitia mchezo wa betting. Kiasi hiki kikubwa&n . . .
Tamasha la Sauti za Busara 2026 linarudi kwa shauku kubwa kutoka 5–8 Februari katika mji wa kihistoria wa Stone Town, Zanzibar. Tukio hili . . .
Grace of Africa yazindua rasmi wa wimbo wao mpya wa injili, “Nguvu Yangu (My Strength)”, unaohamasisha imani, tumaini, n . . .
Katika Maisha ya kila siku Maneno kama hekima na akili hutumika kwa pamoja kana kwamba yana maana moja ambapo Watu wengi husema " Yule . . .
Serikali ya Ukraine imeripoti kuwa raia 1,436 kutoka Nchi 36 Barani Afrika wamejiunga na jeshi la Urusi katika vita dhidi ya Ukraine, huku i . . .
Jeshi la Polisi Nchini limesema kufuatia uchunguzi na ushahidi uliokusanywa hadi sasa kuhusu vurugu zilizotokea October 29 mwaka huu linawas . . .
Brass Band Mpya ya Idara ya Uhamiaji Tanzania imeongoza Hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya awali ya askari wapya wa Jeshi la Zimamoto . . .