logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
SOKA
  • Na Jembe Digital
  • December 2, 2025

Yanga na Pyramid ndio zina safu bora ya ulinzi kwenye mizunguko miwili ya CAF Champions league

Vigogo wa Afrika, Young Africans SC ya Tanzania na Pyramids FC ya Misri, ndiyo timu pekee ambazo hadi sasa hazijaruhusu goli katika mizunguk . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 2, 2025

Bodaboda waaswa kuzingatia sheria na kupiga vita uhalifu

Katika kuendelea kutoa elimu kwa makundi  mbalimbali ya kijamii ili  kudumisha amani na  kuimarisha usalama pamoja na  k . . .

Kilimo
  • Na Jembe Digital
  • December 2, 2025

Mkuu wa Wizara Mhe Nickson Simon akabidhi gari jipya kwa Divisheni ya ardhi kuboresha huduma kwa wananchi

 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson Simon, amekabidhi rasmi gari jipya kwa Divisheni ya Ardhi na Mipango Miji, lengo likiwa ni kuon . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 1, 2025

Mafuriko yazidi kuitesa Sri Lanka vifo vyaongezeka

Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo nchini Sri Lanka imezidi na kufikisha idadi ya watu 330 huku nchi hi . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 1, 2025

Vita vya Ukraine vyapaisha mauzo ya Silaha

Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Masuala ya Amani (SIPRI) yenye makao yake makuu nchini Sweden imesema Mauzo ya watengenezaji wa . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 1, 2025

Wasichana 12 waokolewa kutoka kwa watekaji

Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 12 waliotekwa nyara na kundi la kigaidi la Islamic State West Africa Province (ISWAP) katika . . .

Muziki
  • Na Jembe Digital
  • December 1, 2025

Rayvanny aweka rekodi, apata × 8 za Gold India

Msanii wa Bongo Flava nchiniTanzania@rayvanny , ameendelea kuweka rekodi na kuthibitisha ukubwa wake kimataifa baada ya wimbo wake “Oh Ma . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 1, 2025

Wanajeshi 40 wauawa kwenye mahandaki Gaza

Jeshi la Israel limetoa taarifa kuwa Jumapili  ya Novemba 30 mwaka huu  limewaua zaidi ya wapiganaji 40 wa Kipalestina katika oper . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 1, 2025

Marekani yawasitisha wahamiaji kutoka nchi masikini

Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasitisha kwa muda uhamiaji kutoka nchi alizozitaja kama “masikini,” ikiwa ni siku moja baada ya . . .

Afya
  • Na Asha Business
  • December 1, 2025

Ripoti "Nairobi yaongoza kitaifa kwa maambukizi ya HIV kwa mara ya kwanza"

KWA mara ya kwanza baada ya miaka mingi, Kaunti ya Nairobi imeipiku Homa Bay kwa kuongoza, kitaifa, katika idadi ya maambukizi mapya ya viru . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 1, 2025

Uamuzi mdogo kesi ya ghorofa la Kariakoo kutolewa leo

Uamuzi mdogo wa kesi ya kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo, iliyosababisha vifo na madhara makubwa kwa wananchi, unatarajiwa kutolewa leo ka . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • December 1, 2025

Afrika yasukuma kutambuliwa kwa uhalifu wa enzi za ukoloni

Viongozi wa Afrika walisisitiza Jumapili kutaka uhalifu wa enzi za ukoloni utambulike, uhalalishwe kama makosa ya jinai na kushughulikiwa ku . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 1, 2025

Polisi wa Ujerumani walalamikiwa kutumia nguvu kupita kiasi

Polisi nchini Ujerumani wameshutumiwa kutumia nguvu kupita kiasi na waandamanaji baada ya kushambulia na kutumia virungu dhidi ya kundi la w . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 1, 2025

Rais Yoweri Museveni akosa kuhudhuria mdahalo wa Urais

Nchini Uganda, usiku wa Jumapili ya wiki iliopita kulifanyika mdahalo wa kwanza wa televisheni kwa nafasi ya Urais, mdahalo ambao kwa mara y . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • December 1, 2025

Kigali na Kinshasa zaendelea kutuhumiana kuhusu mzozo wa DRC

Wakati nchi za Rwanda na DR Congo zikitarajiwa kutia saini wiki hii makubaliano ya amani jijini Washington Marekani, Kigali na Kinshasa zime . . .

AJALI
  • Na Asha Business
  • November 30, 2025

Mafuriko yaua Mamia ya Watu Asia

Mamia ya watu wamekufa na wengine kutojulikana walipo Kusini Mashariki mwa Asia, kutokana na mvua kubwa zaidi kunyesha katika nchi za bara h . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • November 30, 2025

Kigamboni yahakikishiwa umeme wa uhakika

Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya ziara ya kikazi ndani ya Mkoa wa kitanesco wa Kigamboni na kuagiza kuchukuliwa hatua za . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 30, 2025

Afrika Kusini Yalaani Hatua ya Trump Kutaka Kuiweka Kando Kutoka G20 2026

Afrika Kusini imelaani nia ya rais wa Marekani Donald Trump ya kuizuia nchi hiyo kuhudhuria Mkutano wa Kundi la 20 (G20) huko Miami, Florida . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • November 30, 2025

Wajumbe wa Simba wamgomea Mangungu kwenye mkutano wa Simba

Baada ya Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu kuwajibu wajumbe wasubiri uchaguzi kutokana na suala la fedha lililoulizwa hivi ndivyo ambavyo . . .

Muziki
  • Na Nattyebrandy
  • November 28, 2025

“THE GUY WITH ENERGY” ALBAMU YENYE SAFARI YA MUZIKI WA DK BALAFU

Baada ya mashabiki kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye msanii mwenye nguvu na uthubutu mkubwa kwenye game akiwakilisha nchini congo DK Balafu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 28, 2025

Jeshi la Israeli lawauwa watu 10 kusini mwa Syria

WATU 10 wameuawa Novemba 28, 2025 kwenye operesheni ya wanajeshi wa Israeli iliyofanyika kusini mwa Syria.Hili likiwa shambulio baya zaidi t . . .

Mauaji
  • Na Asha Business
  • November 28, 2025

Baba na Mama Waua Mtato Wao

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua na kutupa maiti ya mtoto mchanga katika mto Morogoro, eneo l . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • November 28, 2025

Rwanda yaishtumu Kongo kwa kuchelewesha mkataba wa amani

Rais wa Rwanda Paul Kagame, ameilaumu serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kuchelewesha kutiwa saini makubaliano ya amani yenye . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 28, 2025

Rais wa Guinea Bissau akimbilia Senegal

Rais wa Guinea-Bissau aliyepinduliwa madarakani Umaro Sissoco Embalo amekimbilia katika nchi jirani ya Senegal baada ya kuzuiliwa wakati wa . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

IEBC yaonya wapiga kura dhidi ya kupiga picha za karatasi zenye alama za kupigia kura

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imewatahadharisha wapiga kura katika maeneo ambayo uchaguzi mdogo unafanyika dhidi ya upigaji picha wa karat . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Rigathi Gachagua Ataja Sababu ya Kuvaa Helmeti na Vest Ya kuzuia Risasi huko Narok

Kinara wa Democracy for Citizens Party Rigathi Gachagua aliingia kwa kishindo katika Mji wa Narok mnamo Jumatatu, Novemba 24.Kuwasili kwake . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Guinea Bissau" Jeshi lachukua udhibiti wa nchi, Rais ondolewa madarakani"

Nchini Guinea-Bissau jeshi limechukua udhibiti wa nchi hiyo ambayo imekuwa ikikabiliwa na mvutano wa kisiasa baada ya rais na mpinzani wake . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Waziri Ulega atoa maelekezo vijana wasifukuzwe kazi hovyo

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa maelekezo kwa Mameneja na wasimamizi wa miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini kuhakikisha wanalinda . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Wanunuzi wa madini wajipanga kwa mnada mkubwa leo

Wanunuzi wa madini kutoka maeneo mbalimbali nchini wameendelea kujitokeza katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) jijini Arusha, wakikagua . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Wanne wakamatwa na nyara za serikali Kagera

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia Watuhumiwa wanne (04) kwa tuhuma za kupatikana na meno ya tembo.Mnamo novemba 26 mwaka huu kat . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Shambulio la aibu lampeleka jera Rashid Ruambo miaka 20

Mahakama ya Wilaya Temeke Jijini Dar es Salaam  imemukumu kutumikia kifungo cha miaka 20 jela Rashidi  Ruambo mwenye umri wa miaka . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Serikali yazindua ugawaji wa vifaa vya kisasa kwa Vyuo vya VETA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imezindua ugawaji wa vifaa vya mafunzo ya . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Maswali 7 magumu kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kutoka kwa wahariri wa vyombo vya habari kuhusu vurugu za Oktoba 29 Tanzania

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Novemba 25 mwaka huu alikutana na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, na maswali mazito yakielek . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Polisi waanza Uchunguzi Dhidi ya Kauli ya OCD Chunya

Jeshi la Polisi Tanzania limesema linafanya uchunguzi kuhusu taarifa inayoenea kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Mkuu wa Polis . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

TFF yahairisha hafla ya tuzo za msimu 2024/2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuahirishwa kwa hafla ya utoaji wa tuzo za msimu wa 2024/2025, ambayo awali ilipangw . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

MWAUWASA yawahakikishia wakazi wa Mkolani na Nyegezi maji ya uhakika

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) imewahakikishia wakazi wa Mkolani, Nyegezi na maeneo ya jirani kuwa upat . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • November 27, 2025

Rais wa Guinea-Bissau akamatwa na wanajeshi baada ya uchaguzi wenye utata

Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa na wanajeshi wenye silaha leo Jumatano zikiwa zimepita siku tatu baada ya uchaguzi . . .

Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Gsengo
  • November 26, 2025

WATAALAM WA KIMATAIFA WATOA MWELEKEO MPYA WA UCHUMI KATIKA KONGAMANO LA TIA MWANZA

TIA Yasistiza Utafiti na Ubunifu Katika Kuchochea Uchumi – Kongamano la Kimataifa la 4 la Usimamizi wa Biashara na Ukuaji wa Uchumi Lafana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • November 26, 2025

ripoti "Sita kati ya watoto 10 duniani hawawezi kusoma licha ya kuwa shuleni,"

WATOTO sita miongoni mwa 10 duniani kote hawajui kusoma sentensi rahisi wala kusuluhisha maswali ya kimsingi ya hesabu licha ya thuluthi yao . . .

afrika mashariki
  • Na Asha Business
  • November 26, 2025

IEBC"Wala msiwe na hofu, tumejipanga kisawasawa kwa hizi chaguzi ndogo "

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa ipo tayari kwa uchaguzi mdogo utakaofanyika Alhamisi katika maeneo 24 ya uchaguzi — . . .

Kurasa 5 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category