Vikosi viwili vyenye kiwango bora zaidi barani Ulaya vitachuana usiku wa kesho jumatano tarehe 26 kwenye Ligi ya Mabingwa Ndani ya uwanja wa . . .
Mkutano wa 7 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) umekamilika jijini Luanda, Angola, baada ya siku mb . . .
Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka kampuni 15 za Jamhuri ya Korea ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya KOIMA Bi. Youn Young Mi umetembelea S . . .
Kliniki ya Ardhi inayoendelea mitaa ya Mbae Mashariki na Likombe katika manispaa ya Mtwara- Mikindani mkoani Mtwara imetoa muitikio kwa wana . . .
Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) imetangaza mpango wa kuboresha mitaala yake ili iendane na mabadiliko ya kasi ya sayansi na teknoloji . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanz . . .
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amewasihi wananchi kudumisha amani na kushirikiana na Jeshi la Polisi ili kuhaki . . .
WAZIRI wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameilekeza Tume ya Madini kufuta leseni 73 za uchimbaji wa kati na utafiti wa madini ambazo hazijaende . . .
Serikali imesema tukio la Oktoba 29 limeonesha wazi kuwa hakuna idadi ya kutosha ya waandishi wa habari waliobobea katika uandishi wa masual . . .
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanz . . .
Jeshi la Sudan limesema limezuia shambulizi la wanamgambo wa RSF kwenye mji muhimu kusini mwa nchi hiyo jana Jumanne, huku Marekani ikizihim . . .
Rais Donald Trump wa Marekani amesema Jumanne kwamba anamtuma mjumbe wake Steve Witkoff kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Moscow . . .
Tanzania kwa muda mrefu imekuwa mfano wa utulivu na mshikamano katika Afrika mashariki. Hata hivyo ,kama ilivyo katika mataifa mengine . . .
Wafanyabiashara wa Mkoa wa Mwanza wamehimizwa kuimarisha ulinzi shirikishi na kushirikiana kwa karibu na vyombo vya dola katika kukabiliana . . .
Umoja wa Ulaya katika taarifa kwa vyombo vya habari mapema wiki hii ulitangaza kutoa karibia Euro Milioni 10 kwa FAR . . .
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na Wahariri wa vyombo vya habari nchini kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyer . . .
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Estonia zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali zenye maslahi mapana kwa . . .
Wafanyabiashara wa madini nchini wameendelea kuwasilisha madini mbalimbali katika Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kama sehemu ya maandali . . .
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Taasisi zake imeanza kufanya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Wizara wa . . .
WANASAYANSI wamebaini umri halisi ambao ubora wa mbegu za kiume huanza kudorora, hali inayoongeza uwezekano wa wanaume kuwarithisha watoto w . . .
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetoa jibu kuhusu madai ya mipango ya kuvuruga chaguzi ndogo zinazokuja.Makamu wa Rais wa zamani, Ri . . .
Waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania , Dk Mwigulu Nchemba ameagiza Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na wadau wote wanaohu . . .
Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuja na mikakati thabiti itakayosai . . .
Katika kukabiliana na wimbi la wahamiaji haramu nchini, Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera imeendelea na Misako na Doria k . . .
Waziri wa Kilimo, Mhe. Daniel Chongolo ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kuangalia maeneo mengine ya kimk . . .
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesisitiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika kuleta mapinduzi ya huduma za majisafi n . . .
London, Uingereza — Tanzania na Qatar leo Novemba 24 mwaka huu wamesaini hati ya makubaliano (MoU) ya kutambuliana vyeti vya ubahari . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki katika Mkutano wa Saba wa Wakuu wa Nchi na S . . .
Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Morogoro umeanza matengenezo ya mfumo wa kupima uzito wa magari yakiwa kwenye mwendo (WIM) katika miza . . .
Wananchi wa Mkoa wa Tanga wametakiwa kuendelea kulinda amani na usalama katika maeneo yao ili kuimarisha maendeleo ya taifa.Wito huo umetole . . .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameagiza makatibu wakuu wa wizara kusitisha mara moja tabia y . . .
Tasnia ya filamu ya India imegubikwa na simanzi kufuatia kifo cha mmoja wa nguli wake wakubwa na kipenzi cha vizazi vingi Dharmendra Kewal K . . .
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Jabiri Makame amefanya oparesheni ya kushtukiza na kuwakamata wafanyabiashara wa Mbolea Wilaya ya Mbozi ambao w . . .
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema kila baada ya dakika kumi mwanamke mmoja, mahali fulani duniani aliuliwa na mtu wa karibu, mwaka uliopita . . .
Nchini Guinea Bissau mgombea huru Fernando Dias da Costa, anayeungwa mkono na chama cha Social Renewal Party (PRS) na Muungano wa kisiasa wa . . .
Kundi la RSF limetangaza kusitisha mapigano kwa muda wa miezi mitatu hatia inayokuja ikiwa imepita siku moja baada Jeshi la sudan kukataa wi . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima na kupewa ma . . .
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24 mwaka huu amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine ikiwemo nyi . . .
Mkuu wa Polisi Jamii Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Samuel Kijanga, amewataka wanafunzi wa vyuo kujiepusha na matumizi . . .
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Iringa, ASP Elizabeth Swai, amewasihi wanaume kuacha tabia ya kuvumilia kimya kimya vitendo vya u . . .