logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 25, 2025

Sarkozy akutwa na hatia kuhusu sakata la kufadhiliwa kifedha na Libya

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy, amepatikana na hatia ya kupanga njama kuhusu sakata la kufadhiliwa na serikali ya Libya, wakati . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 25, 2025

JESHI LA POLISI LASISITIZA UZALENDO KWENYE MALI ZA UMMA

Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dkt. Lazoro B. Mambosasa, amewataka maafisa،wakaguzi na ask . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 25, 2025

Prof. Carolyne Nombo na Bi. Suzzane Ndomba Wajadili Mikakati ya Kuimarisha Ujuzi wa Ajira kwa vijana

Katika kuhakikisha kuwa mafunzo ya darasani yanaendana na mahitaji halisi ya soko la ajira, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekno . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 25, 2025

Serikali yatenga asilimia 20 ya bajeti kuu sekta ya elimu

Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko, amesema Serikali imeendelea kuipa kipaumbele sekta ya elimu kwa kutenga . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

MGAMBO WATAKIWA KUSHIRIKISHA POLISI KUTATUA CHANGAMOTO ZA KIUTENDAJI.

Polisi Kata ya Liganga iliyopo Wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma Mkaguzi wa Polisi (INSP) Datius Dioniz Septemba 23, 2025 amefanya kik . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

Iringa yafanya ukaguzi wa magari na madereva barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, Mrakibu wa Polisi Glory Mtui amewakumbusha wamiliki wa vyombo vya moto kufuatilia mien . . .

TOP STORY
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Fahamu mchakato mzima wa kukuza mkonge, kilimo kilichofana enzi za ukoloni

UKUZAJI wa mikonge ni shughuli inayohitaji maandalizi mazuri ya shamba, uteuzi wa miche bora, na uvumilivu kwa sababu zao hili ni la kudumu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Dk. Samia aweka shada la maua kaburi la Mkapa Lupaso

Mgombea urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 24, 2025 ameshiriki sala fupi na kuweka shada la maua katika kaburi la Rais wa A . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

RC Chalamila apiga marufuku mabaunsa kutumika kwenye migogoro ya nyumba

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemtembelea mama mjane Alice Haule, ambaye anadaiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akii . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Kiongozi Mkuu wa Iran afutilia mbali mazungumzo ya nyuklia na Marekani

Kiongozi Mkuu wa Iran ametupili mbali mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani siku ya Jumanne kuhusu mpango wa nyuklia wa nchi yake, uwezeka . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Donald Trump alaani hatua za kulitambua taifa la Palestina

Maafisa wa Uingereza wanahofia kuwa Donald Trump atatambua udhibiti wa Israel juu ya makaazi haramu katika Ukingo wa Magharibi, kulipiza kis . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 24, 2025

Ufaransa kuandaa mkutano wa dharura wa DR Congo, Kinshasa yaomba msaada

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kutambua "mauaji ya halaiki yana . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

Mkutano wa 20 baraza la Mawaziri Afrika Mashariki wafanyika Dar es Salaam

MKUTANO WA 20 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA KISEKTA LA ELIMU SAYANSI NA TEKNOLOJIA UTAMADUNI NA MICHEZO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAFANYIKA . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

Ujumbe wa Malawi umefika Tanzania kujifunza usimamizi rasilimali za madini

Kaimu RC Kazungu: Tanzania imepiga hatua kubwa usimamizi wa rasilimali madini*Wizara, Tume ya Madini zatoa elimu ya madini kwa ujumbe kutoka . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

Nombo amefanya ukaguzi wa awali Maonesho ya wadau wa Elimu

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo leo Septemba 24 mwaka huu amefanya ukaguzi wa awali wa Maonesho y . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

TEMESA yaanza maboresho ya mv Bukondo

Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inaendelea kutoa fedha kwa ajili ya kuboresha huduma za vivuko kote nchini, kwa . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

Mwanza huduma ya maji yarejea kwa baadhi ya maeneo

Huduma ya maji imeanza kurejea katika baadhi ya maeneo yaliyokua yameathirika kwa kukosa huduma ikiwemo Nyegezi, Mkolani, Stendi ya Mabasi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 24, 2025

Katibu Mkuu wizara ya Maji aweka kambi Butimba kurejesha huduma ya maji

Katibu Mkuu Maji aweka kambi Butimba kwa saa 24 kuhakikisha huduma ya maji inarejea Mwanza.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Wa . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

JUSTFIT yazindua rasmi mpira mpya wa Ligi Kuu Tanzania

Kampuni ya Kitanzania ya JUSTFIT ( @justfitsportsgear ) inayojihusisha na uuzaji na utengenezaji wa vifaa vya michezo Septemba 22 mwaka huu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Mgombea ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo ametangaza kuhamia CCM

Mgombea ubunge kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Jimbo la Nanyumbu, Hamad Hasheem ametangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), huku akisema . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

ACT yataka ipewe nafasi kuharakisha miradi

 MGOMBEA ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo), Zitto Kabwe amesema ni mu . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Bima ya afya, vyeti vya kuzaliwa bure kipaumbele chaumma

 CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ndani ya siku 100 tangu kuingia madarakani kitawapa bure wananchi bima ya afya na vyeti . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Wanafunzi 11,000 wadahiriwa NIT

 CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema hadi sasa kimefanikiwa kudahili wanafunzi 11,000 wenye sifa za kusoma katika taasisi hi . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Mashine mpya ya umeme yawasili Mtwara

 SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Mtwara limepokea mashine kwa ajili ya kufungwa katika kituo cha umeme cha Hiari Halmashauri . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Hizi hapa Mbinu 5 za Kumbaini Mpenzi Mchepukaji

USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini . . .

SOKA ULAYA
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Dembélé Awashinda Lamine Yamal na Mohamed Salah

Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG), Ousmane Dembélé, ameshinda Tuzo ya Ballon d’Or ya 2025, akiwash . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Simba Yamtangaza Hemed Suleiman Kuwa Kocha Mkuu wa Muda

Klabu ya Simba SC imefanya uteuzi rasmi wa kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ kuwa kocha mkuu wa muda wa timu hiyo. Hemed Morocco, ambaye pi . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Kocha Fadlu Davids Aaga rasmi Simba kwa hisia na mapenzi nzito

Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, ameaga rasmi klabu hiyo akieleza hisia zake nzito baada ya muda wake kumalizika Msimbazi.Katika ujumbe wake . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Hauseboy Atuhumiwa Kwa Shambulio La Aibu Kwa Mtoto

Mkazi wa Nyakato ambaye ni Mfanyakazi wa ndani (Hauseboy), Fred Kelendo Marekioli (19), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana M . . .

mahusiano
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Nilichoka Na Kejeli Za Watu Kuhusu Ndoa Yangu, Hatua Niliyopiga Ilibadilisha Maisha Yetu

Kwa muda mrefu, majirani na marafiki walinicheka kwa sauti ya chini kila waliponiona. Walijua ndoa yangu ilikuwa janga. Mume wangu hakuwa te . . .

Afya
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Unafikiri Kwa Nini Supu ya Kongoro Ni Maarufu? Hizi hapa Sababu

Supu ya kongoro ni moja ya vyakula vinavyopendwa sana barani Afrika, hususan Tanzania, ambapo mara nyingi huliwa hasa asubuhi au baada ya sh . . .

Riadha
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

SIMBU AMBAYE NI BINGWA WA MBIO ZA DUNIA AWASILI NCHINI

Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bi. Neema Msitha, ameongoza mapokezi ya Mwanariadha Sajini Alphonce Simbu ambaye ni Bing . . .

Uchumi | Biashara
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

Majaliwa Aitaja Sekta ya Madini Nguzo Kuu ya Uchumi Kanda ya Ziwa

WAZIRI MKUU,Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya madini imeendelea kuwa nguzo ya uchumi nchini ambapo katika mwaka 2022 sekta hiyo imekua k . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • September 23, 2025

WAAJIRIWA WAPYA WIZARA YA ARDHI WAHIMIZWA KUJIEPUSHA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amewasisitiza watumishi wa ajira mpya wa wizara hiyo kufua . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

VIJIDUDU TUMBONI VINAVYOSIMAMIA USINGIZI HADI UADILIFU WA AFYA

Sasa, wanasayansi wanapanga kuwatumia, ili kusaidia kumletea mtu usingizi kitandani usiku, mwili wake utakuwa na shughuli nyingi.Katika kila . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Kim Jong Un" Tuko Tayari Kuzungumza na Marekani Ila Tusiondolewe Silaha za Nyuklia"

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema hana sababu ya kuyakwepa mazungumzo na Marekani kama nchi hiyo haitomshinikiza kuachana na s . . .

Jamii
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Hausiboi’ Kortini Akituhumiwa Kwa Shambulio La Aibu Kwa Mtoto

Mkazi wa Nyakato ambaye ni Mfanyakazi wa ndani (Hauseboy), Fred Kelendo Marekioli (19), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana M . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Iran na E3 kukutana kwa mazungumzo muhimu ili kuepusha vikwazo

Iran na mataifa yenye nguvu ya Ulaya yanatayaria kufanya mazungumzo ya dakika za mwisho ili kuzuia kutekelezwa tena kwa vikwazo vya Umoja wa . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Vital Kamerhe, Spika wa Bunge la taifa, ajiuzulu

Spika wa Bunge la taifa nchini DRC, Vital Kamerhe, amejiuzulu. Alikuwa mada ya ombi ambalo lilipaswa kupigiwa kura wakati wa kikao cha masha . . .

Top Story
  • Na Asha Business
  • September 23, 2025

Ousmane Dembélé na Aitana Bonmati washinda tuzo ya Ballon d'Or

Mshambulizi wa Paris Saint-Germain, raia wa Ufaransa, Ousmane Dembele, ameshinda tuzo ya Ballon d'Or 2025 usiku wa Jumatatu, akimshinda Lami . . .

Kurasa 21 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category