logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Pata Habari Zote Hapa

  • Habari na Matukio Yote Ndani ya Nchi Na Duniani Kote
Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Juba inajaribu kuimarisha tena uhusiano wake na Washington

Nchini Sudan Kusini nyaraka za siri zilizovuja kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa, serikali jijini Juba imekuwa ikijaribu kuimarisha . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Upinzani kushutumu ongezeko idadi ya wakimbizi na wanasiasa wanatoroka nchi

Upinzani wa kisiasa nchini DRC unapaza sauti yake. Katika taarifa ya pamoja,viongozi kadhaa na vyama vinavyopinga serikali vimeshutumu kile . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Mwandani wa Gachagua kuhojiwa na DCI baada ya kudai serikali inaua Gen Z

MBUNGE wa Naivasha, Jayne Kihara, ameagizwa kufika mbele ya wapelelezi katika Makao Makuu ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), Jumba la Maz . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Sheria yasukwa kupandisha umri wa kunywa pombe hadi 21

KENYA inapanga kuongeza umri wa mtu kuruhusiwa kunywa pombe kutoka miaka 18 hadi 21 ili kudhibiti uraibu wa pombe hasa miongoni mwa vijana.A . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Serikali kutoa bilioni 5.7 ujenzi wa shule za wasichana mkoani Mara

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shu . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Kesi ya wanachuo waliomjeruhi mwenzao kusikilizwa leo

Kesi ya kusababisha madhara mwilini inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Mary Matogolo (22) na wenzake wawili itat . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Ombi la Chadema kumkataa jaji kusikilizwa leo Mahakama kuu

Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo  Julai 14 mwaka huu inatarajia kusikiliza maombi ya Chadema ya kumtaka Jaji Hamidu Mwan . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Rais mzee duniani atangaza kugombea tena urais Oktoba 12

Rais wa Cameroon Paul Biya (92), ambaye pia ni kiongozi mzee zaidi duniani, ametangaza kugombea urais kwenye uchaguzi wa Oktoba 12.Katika ta . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

Chelsea yatwaa ubingwa wa dunia baada ya kuipiga PSG

Timu ya Chelsea FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuishusha PSG kipigo cha Magoli 3-0 katika Fainali ya michuano . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 14, 2025

ACT kupinga uonevu bila kujali Itikadi za vyama

Chama cha ACT-Wazalendo kimesisitiza kuwa ni marufuku kwa wanachama na wafuasi wake kufurahia uovu wowote unaofanywa na vyombo vya dola bila . . .

SOKA
  • Na Asha Business
  • July 13, 2025

Miloud Hamdi Atwaa Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi Juni wa NBC

Kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Juni wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2024/2025 akiw . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • July 13, 2025

Humphrey Polepole Ajiuzulu Ubalozi Ampongeza Rais Samia Kwa Fursa

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

ACT kutoridhishwa na uongozi wa Mbunge jimbo la Same Mashariki

Chama cha ACT Wazalendo kimeonesha kutoridhishwa na namna Mbunge wa Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Bi. Anne Kilango Malecela anavyolihud . . .

DINI
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Waumini Kanisa la Gwajima ndani ya mahakama kufuatilia kesi

Waumini na viongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la Askofu Mkuu, Josephat Gwajima, wakiwa katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam leo, Jula . . .

Siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Mahakama yatupilia mbali maombi ya Tundu Lissu

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, aliyekuwa akitaka u . . .

Habari
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Mwasiasa na mwasisi wa G55 Qaresi afariki dunia

Familia ya ukoo wa Qaresi imetangaza kifo cha mwanasiasa mkongwe na kiongozi wa muda mrefu wa serikali, Mateo T. Qaresi, aliyefariki dunia t . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 11, 2025

Idadi ya watoto wenye utapiamlo imeongezeka maradufu Darfur

Idadi ya watoto wanaokabiliwa na utapiamlo mkali katika jimbo linalokumbwa na vita la Darfur Kaskazini imeongezeka maradufu tangu mwaka jana . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 11, 2025

Muuguzi wa India asubiri kunyongwa Julai 16

Nimisha Priya alihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamume mmoja ambaye alikuwa mshirika wake wa zamani wa kibiashara, Talal Abdo Mahdi – amba . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • July 11, 2025

Iran yasitisha ushirikiano na mamlaka ya atomiki ikiendelea kukuza zana zake za nyuklia

IRAN jana ilisema kuwa haitashirikiana na Mamlaka ya Kimataifa ya Atomiki (IAEA) inapoendelea na kukuza nyuklia yake, ikisema asasi hiyo sas . . .

Mahakamani
  • Na Asha Business
  • July 11, 2025

Mahakama Kuu kutoa uamuzi maombi ya Lissu leo

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 11, 2025 imepanga kutoa uamuzi wa maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • July 11, 2025

Ruto ateua Mwenyekiti mpya wa tume ya uchaguzi

Rais William Ruto ametangaza rasmi uteuzi wa Mwenyekiti na Makamishna wapya wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).Hatua hiyo inafuatia u . . .

Matukio
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Baba amuua mwanae kisa tikok

Polisi nchini Pakistan wameripoti tukio la kusikitisha ambapo mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16 ameuawa kwa kupigwa risasi na baba yake baa . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Serikali Yatangaza Gharama mpya za Kupima DNA

Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali haina lengo la kupata faida kwa shughuli zake, bali inatoa huduma kwa wananchi kwa gharama nafuu, amesema . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Marekani na China wakutana

Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Marco Rubio amehitimisha siku yake ya pili na ya mwisho kwenye mkutano wa usalama wa Jukwaa la Kikanda . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Mkataba wa kihistoria kati ya DRC na Rwanda mwisho miaka 30 ya Vita

 Rais wa Marekani Donald Trump amebainisha Julai 9 mwaka huu ili kutiwa saini kwa makubaliano ya amani kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia . . .

Afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Askari ajikuta mpweke kortini kwa mauaji wakati wa maandamano

Viongozi wakuu serikali wamekuwa wakiamrisha ulinzi kwa polisi kuhusisu  kuwau waandamanaji na kuwalazimu maafisa wa usalama kufuata am . . .

siasa
  • Na Jembe Digital
  • July 11, 2025

Vita baridi ndani ya upinzani miongoni mwa vinara wake uchaguzi wa 2027 ukinukia

JAPO la muungano wa upinzani linaonekana kuwa na mshikamano, mvutano unatokota miongoni mwa vinara wake, hali inayoweza kuvuruga mpango wake . . .

Teknolojia
  • Na Nattyebrandy
  • July 10, 2025

YAS ANZIA ULIPO :TUPOKIGWE AMBWENE KUTOKA MASTERS YA UTANGAZAJI HADI KUUZA MAKANDE POINT.

Katika dunia ya leo ambapo mafanikio hupimwa kwa vyeo, mshahara mkubwa na umaarufu, kuna hadithi chache sana zinazobeba uzito wa uhalisia ka . . .

Teknolojia
  • Na Nattyebrandy
  • July 10, 2025

ANZIA ULIPO: KUTOKA FREELANCER WA LAINI ZA YAS HADI KUMILIKI BIASHARA YA MAGARI

Watu wengi huota kuwa wafanyabiashara wakubwa, lakini si wote wanaochukua hatua za kweli za kuanza na kudumu. Hii ni hadithi ya kijana wa Ki . . .

Teknolojia
  • Na Nattyebrandy
  • July 10, 2025

JINSI NYANDA KABUNDI ALIVYOANZA SAFARI YA KITEKNOLOJIA KUTOKA KIJIJINI AKAANZIA ALIPO KAMA YAS

Kwenye familia ya Nyanda , maisha yalizunguka kwenye jambo moja kuu ufugaji na kilimo Hilo ndilo jambo lililopewa uzito kuliko chochote king . . .

Teknolojia
  • Na Nattyebrandy
  • July 10, 2025

YAS YAZINDUA KAMPENI YA “ANZIA ULIPO” KANDA YA ZIWA SAFARI YA KUWAWEZESHA WATEJA KUFIKIA NDOTO ZAO

Katika tukio maalum lililofanyika ndani ya Kanda ya Ziwa, kampuni ya mawasiliano ya YAS imezindua rasmi kampeni yake kubwa iitwayo “Anzia . . .

SOKA
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Manchester United imetia saini na mshambuliaji kinda

Manchester United imemsajili rasmi Enzo Kana-Biyik, mshambuliaji  kinda mwenye umri wa miaka 18 kutoka Le Havre, kwa uhamisho wa bure b . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Trump kutoza ushuru wa 50% wa bidhaa zinazotoka Brazil

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kutoza ushuru wa 50% kwa bidhaa zote zinazotoka Brazil, siku chache tu baada ya vita vya maneno had . . .

Michezo
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Fadlu ahusika kuvunjwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au ku . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Serikali yaendelea kuboresha mazingira rafiki kwa wafanya biashara

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, imeendelea kuboresha mazingira ya biashara kwa kushirikiana kwa karibu na sekta binafs . . .

afrika mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Ruto atoa maagizo polisi kuwapiga risasi za miguu waandamanaji

Rais wa Kenya William Ruto ameagiza Polisi kuwapiga risasi za miguu waandamanaji wanaoharibu mali za watu ili kuwazuia kufanya uharibifu huo . . .

Mahakamani
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Kesi ya mgawanyo mali za Chadema imeahirishwa

Kesi namba 8323/2025 ya mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo imeahirishwa mpaka Jumatatu ya tarehe 14, Julai 2025 saa . . .

Mafuriko
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

mafuriko yaua watu 119 Taxes Marekani

Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko makubwa huko Texas, Marekani imeongezeka hadi kufikia watu 119Hata hivyo wasiwasi umezidi kuongeze . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Mhamasishaji akamatwa kwa kuchochea vurugu Kenya

Mhamasishaji wa mtandao wa Tiktok nchini Kenya anayeshtumiwa kwa kuchochea vurugu dhidi ya maafisa wa polisi amekamatwa jijini Nairobi.Mtuhu . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • July 10, 2025

Dorothy kusambaratisha ndoa ya mtoto wa Darasa la Sita

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe Dkt Dorothy Gwajima ameleleza kufanikiwa kusambaratisha ndoa ya mtoto wa . . .

Kurasa 39 ya 212

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Habari Category