logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Rais wa zamani wa Ufaransa Sarkozy anaanza kutumikia kifungo cha miaka mitano jela

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atawekwa rumande leo Jumanne. Ataanza kifungo cha miaka mitano jela kwa kula njama ya kukusanya fedha za kampeni nchini Libya. Ni pigo kubwa kwa kiongozi huy . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 21, 2025

Zelensky kushiriki katika mkutano kati ya Putin naTrump 'ikiwa ataalikwa'

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Vladimir Putin na Donald Trump mjini Budapest iwapo ataalikwa kwenye mkutano kati ya viongozi wa Urusi na Marekani. Mkutano huu, ulio . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

Odinga atunukiwa kuwa "Chief of the Order of the Golden Heart"

Rais wa Kenya William Ruto amemtunuku aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo hayati Raila Odinga heshima ya juu zaidi kwa raia Chief of the Order of the Golden Heart (CGH) ikiwa ni siku moja baada ya . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 20, 2025

WANANCHI MKOANI GEITA WAHAKIKISHIWA ULINZI NA USALAMA KABLA, WAKATI NA BAADA YA UPIGAJI KURA

Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Geita vimeendelea kuimarisha ulinzi na usalama ili kuhakikisha amani, usalama na utulivu kabla, wakati na baada ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Ndege ya Emirates EK9788 ilikuwa ikiwasili kutoka Dubai mwendo wa 03:50 saa za ndani ilipoacha njia na kugongana na gari la doria la uwanja wa ndege.

Ndege ya Emirates EK9788 ilikuwa ikiwasili kutoka Dubai mwendo wa 03:50 saa za ndani ilipoacha njia na kugongana na gari la doria la uwanja wa ndege.Watu wawili wamefariki baada ya ndege ya mizigo ain . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Kiongozi wa upinzani Moïse Katumbi anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi DRC

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République, Moïse Katumbi, anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ametoa ujumbe huu k . . .

AFYA
  • Na Asha Business
  • October 20, 2025

Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aondoka katika kituo cha matibabu cha Bulape

Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliyelazwa katika kituo cha matibabu cha Bulape katika Mkoa wa Kasai, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametangazwa kuwa amepona na kuruhusiwa kuondoka kituoni hapo s . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

Tanzania yashiriki Kongamano la Tano la Biashara na Uchumi kati ya Uturuki - Afrika, Istanbu

Tanzania imeshiriki Kongamano la Tano la Biashara na Uchumi kati ya Uturuki na Afrika (5th Türkey - Africa Business and Economic Forum) ambalo limefunguliwa Oktoba 16 mwaka huu  jijini Istanbul . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 17, 2025

Dkt. Mpango Amwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Asasi ya Siasa Ulinzi na Usalama ya SADC

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Philip Mpango ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini m . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Wataalamu wa Uturuki waenda Gaza kusaidia kutafuta miili

Uturuki imewatuma wataalamu kadhaa wa uokozi kwenda Ukanda wa Gaza kulisaidia kundi la Hamas kuitafuta miili ya mateka wa Israel ambao inaaminika imefunikwa na vifusi vya majengo yaliyoporomoshwa kwa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Papa Leo XIV "Kushindwa kuzuia njaa duniani ni dhambi"

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV ameikosoa dunia kwa kushindwa kuzuia mamilioni ya watu kufa kwa njaa.Papa amesema kuruhusu binaadamu wengine wafe kwa njaa ni kushindwa kwa pamoja . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wa Wakuu Wa Nchi Wa SADC Kuhusu Hali Ya Usalama Madagascar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mw . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

John Bolton, mshauri wa usalama wa kitaifa wa Donald Trump, akabiliwa na mashtaka 18

Aliyekuwa mshauri wa usalama wa taifa wa Donald Trump anakabiliwa na mashtaka 18 yanayohusiana na kumiliki na kufichua nyaraka za siri wakati wa muhula wake wa kwanza. John Bolton, ambaye amekuwa mkos . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 17, 2025

Wanne wauawa kufuatia vurugu wakati wa kuagwa mwili wa Raila Odinga

Watu wanne waliuawa katika mji mkuu wa Kenya Nairobi siku ya Alhamisi baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi na vitoa machozi kutawanya umati mkubwa wa watu katika uwanja wa michezo ambapo mwili . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

WANAWAKE VIJIJINI WAHIMIZWA KUENDELEZA MIFUMO ENDELEVU YA CHAKULA

Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Chakula Duniani Oktoba 15 mwaka huu yameendelea kwa shamrashamra mbalimbali mkoani Tanga huku Wananchi na Wadau wa Maendeleo na Taasisi za Kilimo wakijumuika kushereh . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

SERIKALI KUIMARISHA ELIMU YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA NCHINI

Serikali imedhamiria kuimarisha elimu ya kilimo kwa kuwa ni nguzo muhimu katika kukabiliana na changamoto za usalama wa chakula na mabadiliko ya tabianchi na suala la ajira kwa vijana.Amesema hayo Kat . . .

Teknolojia
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

Wananchi songwe wahakikishiwa uwepo wa mawasiliano ya uhakika

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla amesema Serikali imejipanga kuhakikisha watanzania wote hususan wanaoishi vijijini na maeneo ya mipakani wanapa . . .

UTALII
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

Sekta ya utalii yajiimarisha kisheria katika usimamizi wa biashara nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Utalii imeendelea kujiimarisha kisheria kwa kuwajengea uwezo Maafisa wake kupitia mafunzo maalum kuhusu Sheria na Kanuni za Usimamizi wa Biashara za Utal . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

NAIBU WAZIRI CHUMI AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA NAM

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi ameongoza ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa 19 wa Kati wa Mawaziri wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote ( . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 16, 2025

RC MTANDA AZINDUA BODI YA NANE YA YA MAJI BONDE LA ZIWA VICTORIA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameitaka bodi mpya ya Bonde la ziwa Victoria kusimamia menejimenti ya bonde la ziwa hilo ili iwajibike ipasavyo katika kulinda rasilimali maji kwa manufaa ya vi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Viongozi wa NATO wajadili namna ya kujilinda dhidi ya Urusi

Mawaziri wa ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO wamekutana Jumatano mjini Brussels nchini Ubelgiji kujadili namna ya kujilinda na kukabiliana na vitisho na uchokozi wa Urusi.Umoja . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Kanali Randrianirina kuapishwa kama rais Ijumaa

Nchini Madagascar, jeshi linaimarisha mamlaka yake mpya siku mbili baada ya tangazo lake mbele ya ikulu ya rais huko Ambohitsorohitra. Kanali Randrianirina ataapishwa siku ya Ijumaa Oktoba 17 kuwa rai . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Joseph Kabila ateuliwa kuongoza jukwaa jipya la kisiasa DRC

Mkutano mkubwa wa kisiasa na kijamii juu ya mustakabali wa nchi, ulioitishwa Nairobi, nchini Kenya, na rais wa zamani Joseph Kabila, umezindua jukwaa jipya la kisiasa siku ya Jumatano, Oktoba 15, 2025 . . .

Afrika Mashariki
  • Na Asha Business
  • October 16, 2025

Mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga kufanyika Jumapili

Kamati ya kitaifa ya mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga, ikiongozwa na Makamu wa Rais Kithure Kindiki, imebainisha kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani atazikwa Jumapili, Oktoba 19, kulingana na matakwa . . .

AFYA
  • Na Jembe Digital
  • October 15, 2025

DKT BITEKO AZINDUA MFUKO WA DUNIA WA PAMOJA WA KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji wa wizara ya Afya na wadau wa afya nchini kusimamia utekelezaji wa afua na misingi iliyoapangwa kwenye andiko la mradi . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 15, 2025

Meya wa Odesa avuliwa uraia na Zelensky

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amemvua uraia Meya wa Odesa, Gennadiy Trukhanov, kwa madai ya kumiliki pasi ya kusafiria ya Urusi. Hatua hiyo imezua mtafaruku wa kisiasa katika jiji hilo . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • October 15, 2025

Donald Trump atishia kusitisha ununuzi wa mafuta ya kupikia kutoka China

Rais wa Marekani Donald Trump ameikosoa China siku ya Jumanne, Oktoba 14, kwa kutonunua tena soya kutoka Marekani na kudai kuwa nchi yake inaweza, kwa kulipiza kisasi, kuacha kuagiza mafuta ya kupikia . . .

Afrika
  • Na Asha Business
  • October 15, 2025

Wanajeshi wachukuwa madaraka baada ya rais kuondolewa na Bunge

Bunge la taifa la Madagascar limepiga kura ya kumuondoa Rais Andry Rajoelina kwa kura nyingi (130 kati ya wabunge 163) siku ya Jumanne, Oktoba 14. Katika taarifa iliyotolewa muda mchache baadaye, Maha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 14, 2025

Mpango amewasili Viwanja vya Sokoine kushiriki kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Isdory Mpango, amewasili katika Viwanja vya Sokoine jijini Mbeya kushiriki kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025. Katika  hatua hiyo Ha . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • October 14, 2025

MANISPAA YA GEITA YANG’ARA KITAIFA KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu ikiongoza miongoni mwa Halmashauri zote nchini. Ushindi huu ni ushahidi wa mshikamano, ushi . . .

Kurasa 11 ya 129

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Mbappé Avunja Ukimya wa Miaka 12 Real Madrid, Aifikia Rekodi ya Ronaldo

    • 19 masaa yaliopita
  • SIMBACHAWENE AVIOMBA VYOMBO VYA HABARI KUFANYA UTAFITI JUU YA RUSHWA

    • 2 siku zilizopita
  • UN yaomba ufadhili wa dharura kuhudumia wakimbizi Burundi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode