logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Kitaifa Na Kimataifa

  • Pata Habari Zilizojili Pande Zote Duniani
matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Madumu ya mafuta ya magendo yakamatwa Ubungo

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata madumu 23,755 ya mafuta ya kupikia yaliyoingizwa nchini Tanzania kinyume na taratibu kupitia Bandari ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.Akizungumza Kamishna Mk . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Mataifa ya Ulaya yaanzisha Kamisheni ya Madai ya Ukraine

Baraza la Ulaya ni shirika linaloongoza kwa masuala ya haki za binaadamu barani humuna na pia limepiga hatua muhimu kuelekea ulipaji wa fidia za kivita kwa watu wa Ukraine.Hatua hiyo imepelekea Baraza . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Venezuela yautaka Umoja wa Mataifa kulaani uharamia wa Marekani

Venezuela imetuma malalamiko yake rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa juu ya kile inachokiita "wizi" wa Marekani iliyoiteka meli yake ya mafuta kwenye Bahari ya Karibiani wiki iliyopita . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Lukashenko ataka hatua za haraka kukomesha vita vya Ukraine

Rais Alexander Lukashenko wa Belarus ametowa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha vita nchini Ukraine wakati huu Marekani ikiendelea na juhudi za kidiplomasia kuhusu mzozo huo uliodumu kwa mi . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

M23 wajiondowa Uvira kwa agizo la Marekani

Imefahamika kuwa kujiondowa kwa kundi la waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutoka mji muhimu wa Uvira kumetokana na agizo la Washington.katika taarifa iliyotelawa nchini humo . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Watu 30 washitakiwa kwa jaribio la mapinduzi Benin

Mahakama ya Uhalifu wa Kiuchumi na Ugaidi nchini Benin imewashitaki watu wapatao 30 ambao wengi wao wakiwa ni wanajeshi kwa jaribio la mapinduzi lililoshindwa mapema mwezi juu.Katika taarifa iliyotole . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 17, 2025

Madereva watakiwa kuacha tabia ya kupokea simu kwenye vyombo vya usafiri

Afisa Mnadhimu wa  kitengo cha usalama barabarani Makao Makuu ya Polisi Dar-es- Salaam- SACP Butusyo Akim Mwambelo amewataka waendesha  vyombo vya moto kuzingatia sheria wakati wanapoendesha . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Leo ni siku ya maridhiano nchini Afrika Kusini

Nchini Afrika Kusini kila ifikapo Disemba 16 huwa ni maadhimisho ya Siku ya Maridhiano kufuatia juhudi za upatanisho nchini humo zilizolenga kuleta  uponyaji kutokana na madonda yaliyochochewa na . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Dawa za kulevya zateketezwa Mtwara

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya mkoani Mtwara imefanikiwa kuteketeza kilo 73 za dawa za kulevya aina ya bangi, baada ya kesi zake kukamilika mahakamani na mahakama kutoa uamuzi wa . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Bunge la Zambia lapitisha mswaada wa sheria za uchaguzi

Bunge la Zambia limepitisha jana kwa wingi wa kura mswaada wa kurekebisha vifungu vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambavyo upinzani unadai vitamsaidia Rais Hakainde Hichilema katika uchaguzi wa m . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Kamati Mambo ya Nje Bunge la Marekani kutembelea Tanzania

MWENYEKITI wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Wawakilishi la Marekani, na Mbunge machachari wa Chama cha Republican katika Jimbo la Florida, Brian Mast, amepokea mwaliko wa kufanya ziara rasmi nchi . . .

siasa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Kesi ya wagombea wa ACT Pemba yaahirishwa hadi Desemba 23

Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Kanda ya Pemba, Chausiku Kuya, ameahirisha kesi ya madai iliyofunguliwa na waliokuwa wagombea wanane wa Uwakilishi kupitia chama cha ACT Wazalendo Kisiwani P . . .

matukio
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Polisi wapiga risasi washukiwa waliowakuta wakipora maduka usiku

WASHUKIWA wawili wa wizi wanauguza majeraha ya risasi baada ya polisi kutibua njama zao eneo la Likoni, Kaunti ya Mombasa.Walikuwa kwenye kundi la wezi waliokuwa wakipora duka usiku wa kuamkia jana.Tu . . .

Kimataifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Narendra Modi kumtembelea Abiy Ethiopia

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi anafanya ziara ya Kiserikali nchini Ethiopia leo Jumanne hii, Desemba 16 wakati India ikijaribu kuongeza ushawishi wake katika bara la Afrika.New Delhi imebaini kwam . . .

Elimu
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Msamaha wa riba na adhabu kodi za forodha

Katika kuhamasisha matumizi ya msamaha wa riba na adhabu unaoelekea kukoma Desemba 31 mwaka huu Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Mwanza imeandaa kipindi cha radio ili kuwaelimisha na kuongeza hamasa kwa wanu . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 16, 2025

Watumishi Wawili Wasimamishwa Kazi Mafia Kufuatia Dosari Za Usimamizi Wa Fedha Za Miradi

Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu, wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi ya . . .

UTALII
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Msichana aliyekumbatia mti kwa saa 72 ateuliwa kuwa balozi wa kupanda miti

Rais wa Kenya William Ruto amemteua Truphena Muthoni kuwa balozi wa kampeni ya taifa ya kupanda miti, kufuatia jitihada zake za kipekee katika kulinda na kuhamasisha uhifadhi wa mazingira.Akizungumza . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Mabasi yaendayo Mikoani na nje ya Nchi yakaguliwa: Madereva waonywa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limeendelea na zoezi la kutoa elimu kwa madereva na abiria sambamba na kufanya ukaguzi wa magari hususan mabasi ya masafa marefu ya . . .

Afrika Mashariki
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

M23 yawataka raia wa DRC waliokimbia warejee nchini mwao

Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka amewataka wakongomani kurejea nyumbani akitaja kuwa kwa sasa hali ya usalama ni shwari.Msemaji wa kundi hilo linaloungwa mkono na Rwanda amesema: "Kila kitu kinaend . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Mshirika wa Embalo akamatwa na euro milioni 5 taslim

Mshirika wa karibu wa rais aliyepinduliwa nchini Guinea Bissau, Umar Sissoco Embalo ametiwa nguvuni nchini Ureno akiwa na kiasi cha fedha taslimu euro milioni tano.Hata hivyo Mtu huyo alishikiliwa kwe . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Trump aishitaki BBC akitaka fidia ya dola bilioni 10

Rais Donald Trump wa Marekani amefunguwa kesi mahakamani akidai fidia ya dola bilioni 10 kutoka Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, akilituhumu kumchafulia jina.Kesi hiyo inatokana na vipande vya . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Hizi hapa baadhi ya sababu Zinazopelekea Gari la Rais wa Marekani kuogopwa zaidi Duniani

Rais wa Marekani Donald Trump ni kiongozi wa taifa lenye nguvu kubwa zaidi kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani hivyo basi katika nafasi hiyo nyeti, usalama wake hupewa kipaumbele cha juu ka . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 16, 2025

Mafia Watumishi Wawili Wasimamishwa Kazi

Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu  wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Mafunzo ya Madiwa yaleta mchakamchaka wa maendeleo Geita

Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Eng. Chacha Wambura amesema mafunzo ya madiwani wa Mkoa wa Geita ni muhimu katika kuwawezesha viongozi kushirikiana vyema na serikali na halmashauri ili kuhakikisha maen . . .

Kimataifa
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Elon Musk Atambulisha XChat mpya

Elon Musk mmiliki wa jukwaa la X (zamani Twitter) ametambulisha rasmi XChat mfumo mpya wa mawasiliano ulioundwa kuboresha faragha na kuongeza  kasi ya uhuru wa mazungumzo ya kidijitali.Hivyo basi . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Rais Samia Afungua Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu  Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA)  mkoani Tanga leo Desemba 15 mwaka huu kwa aj . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Nuhu aliyedai mwisho wa Dunia desemba 25 akamatwa

Nabli wa Ghana Nuhu Ebo anadaiwa kukamatwa kwa kosa la kuzua taharuki kwa kusambaza habari kuwa Mungu amemfunulia maono kwamba ataiagamiza Dunia kwa maji tena ifikapo Desemba 25 mwaka huu.Aidha Nuhu . . .

matukio
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Nchemba awasili Songea Kushiriki Ibada ya Mwisho ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15 mwaka huu amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramisho n . . .

Kitaifa
  • Na Jembe Digital
  • December 15, 2025

Naibu Waziri akagua karakana ya kisasa ya bidhaa za ngozi DIT Mwanza

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafidh Ameir amekagua karakana ya kufundishia na kujifunzia iliyojengwa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza ambayo . . .

Kitaifa
  • Na Asha Business
  • December 15, 2025

Mh.Balozi Dkt.Nchimbi Mgeni Rasmi Uwekaji Jiwe La Msingi La Ujenzi Wa Kampasi Ya Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa . . .

Kurasa 11 ya 138

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho

Habari Zaidi

  • Afrika Kusini yatangaza kuwaondoa wanajeshi wake Kongo

    • saa moja lililopita
  • Uchaguzi wa Japan: Chama cha Takaichi chatabiriwa ushindi

    • 2 masaa yaliopita
  • Nchemba Awaagiza Viongozi Kutatua Kero za Wananchi

    • 2 siku zilizopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode