WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 14 mwaka huu ameshiriki katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu . . .
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Oktoba 13 mwaka huu amekagua Maandalizi ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na Kumbukizi ya Baba wa Taifa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika u . . .
Venezuela imetangaza kufunga balozi zake nchini Norway na Australia, na kufungua mpya katika mataifa ya Burkina Faso na Zimbabwe, ikisema ni sehemu ya “mabadiliko ya kimkakati” ya huduma za kidipl . . .
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa . . .
China imesema iko tayari “kupambanaa hadi mwisho” katika vita vya kibiashara na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zote za China, hatua iliyotikisa ma . . .
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameshiriki leo, Oktoba 14, 2025, katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika ka . . .
Rais wa Misri ameuambia mkutano wa kilele wa viongozi wa dunia siku ya Jumatatu kwamba pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la Mashariki ya Kati ni "nafasi ya mwisho" ya amani katika eneo hilo n . . .
DEREVA wa Mbunge wa Kibra Peter Orero ambaye alinaswa kwenye kamera akiendesha gari upande usiofaa wa barabara siku ya Jumatatu ametozwa faini ya Sh100,000 au kutumikia kifungo cha miezi 12 gere . . .
Kambi ya Madaktari Bingwa wa Mama Samia ni mpango wa serikali ya awamu ya tano ya kusogeza huduma za afya kwa wananchi hasa huduma za kibingwa, na kupunguza adha inayosababishwa na ufinyu wa hospitali . . .
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imewatia washtakiwa wanne matatani baada ya kuwakuta na kesi ya kujibua mbapo wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine kilo 1. . . .
Mwenge wa Uhuru umeendelea na mbio zake mkoani Mbeya ambapo asubuhi ya leo umeingia katika Jiji la Mbeya Halmashauri ya mwisho kukimbizwa mwenge huo kwa mwaka huu tangu ulipowashwa mapema mwaka huu.Mw . . .
Mratibu wa Mradi wa BOOST kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Ally Swalehe amesema Programu ya BOOST imeendelea kuleta matokeo makubwa katika kuboresha elimu ya awali na msingi tangu kuanza kutekelezwa mwak . . .
Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kutekeleza mikakati ya kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za kujiletea maendeleo binafsi na . . .
Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Oktoba 14, 2025 amekutana na viongozi wapya wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na kuwataka . . .
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo kuu la Songea Damian Dallu aatangaza kuhusu tukio la kutoweka kwa Padri Camillus Nikata wa Jimbo Kuu la Songea ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu A . . .
Serikali kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekabidhi Vyuo vinne vya Ufundi Stadi na Huduma kwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) vilivyopo Njombe, Simiyu, Rukwa na Geita, . . .
WIZARA ya Maliasili na Utalii imeweka mikakati madhubuti katika utekelezaji wa Sera mpya ya Misitu na Ufugaji Nyuki ili kuimarisha usimamizi wa rasilimali za misitu kwa kushirikisha wadau mbalimbali w . . .
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Balozi Dkat. Batilda Burian amewataka Viongozi wa Vijiji na Kata kwa kushirikiana na Viongozi wa Wilaya kuhakikisha wanaweka misingi madhubuti ya kiusalama katika kusimamia . . .
HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) imejipata katika hali ngumu kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wanaofika kwa wingi, hasa kutoka kaunti za Nairobi na Kiambu, ambapo huduma nyingi za af . . .
Mfanyabiashara maarufu na bilionea Chief Jite Odeworitse Tesigimoje, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya GIM Brown Marine, ameibua mjadala mkubwa nchini Nigeria baada ya kufunga ndoa na mke wake w . . .
Rais wa Peru Dina Boluarte ametimuliwa usiku wa Alhamisi, Oktoba 9, kuamkia Ijumaa, Oktoba 10, kwa kura nyingi za wabugne, kufuatia hoja kadhaa zilizowasilishwa wakati wa mchana na makundi mbalimbali . . .
Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe (graphite) uliofanywa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde katika hafla iliyofan . . .
KIONGOZI wa wanamgambo wa Sudan amepatikana na hatia ya kufanya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu katika eneo la Darfur zaidi ya miaka 20 iliyopita.Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman, anayeju . . .
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imetangaza kuwakamata watu wanane wa shirika la misaada ya kibinadamu, wakiwemo raia watatu wa Ulaya, kwa tuhuma za ujasusi na uhaini.Waziri wa Usalama, Mahamadou S . . .
Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, katika hatua ya kushangaza, amemtaka kiongozi huyo ajiuzulu kuinusuru nchi hiyo kutumbukia zaidi katika mzozo wa kisiasaWito wa Ed . . .
Ethiopia imeishtumu Eritrea kwa kuungana na vikosi vya Tigray People's Liberation Front (TPLF), kujiandaa kwa ajili ya vita.Wizara ya Mambo ya nje ya Ethiopia, kupitia barua ilionekana na Shirika la H . . .
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kutangazwa rasmi kwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Rais wa Marekani, Donald Trump, anashika nafasi kubwa ya kushinda tuzo hiyo.Tuzo ya Alfred Nobel inatolewa ki . . .
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, amemteua Jenerali wa jeshi Ruphin Fortunat Dimbisoa Zafisambo, kuwa Waziri Mkuu mpya, wakati huu kisiwa hicho kinachoendelea kukabiliwa na maandamano ya vijana.Uteu . . .
Mahakama ya kimataifa ya ICC, imemkuta na hatia ya makosa ya uhalifu wa kivita na dhulma dhidi ya binadamu, aliyekuwa muasi na mbabe wa kivita nchini Sudan, Ali Muhammad Ali Abdi-Rahman, uhalifu aliou . . .
Wananchi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara wameishukuru serikali kwa kuwajengea vizimba maalum vya kuzuia mamba, hatua iliyosaidia kuwalinda wanapochota maji, kufua, kuoga na kufanya shughuli nyingine pe . . .